Wachezaji wapya wa simba, ni nani anamzidi kiwango Francis kahata alieachwa na simba?

Simba mpya haipati matokeo mazuri msimu huu.

Simba imesajili wageni wengi na kuwaacha wageni wengine kama francis kahata.

Je katika wachezaji wapya wa simba ni nani anamzidi kiwango Francis kahata?
Simba tunamalizia kusajili magari ndio tuhamie kusajili wachezaji wa mashindano, hawa tuliosajili kwa buku jero ni geresha tu.
 
Arudishiwe tu kwa pale simba ilipofikia hawatakaa hata masaa tajiri mwingine kashajitokeza kuichukua ile klabu
...tajiri gani huyo?maana huyu nambari wani TZ kila siku analalama mpk nje ya nchi huko kwamba timu inamtia hasara,yeye anaweka pesa zake na faida haoni sasa huyo tajiri aliyeko nyuma ya Muddy anaweza kuja himili hizi hasara ni nani?
 
Sihitaji ubishi kwa hili mdau
 
Kwa kweli Kahata kuondoka kwake kuliniuma sana. Ni kama tu imetonyesha donda.
Abarikiwe mfadhili wetu na alaaniwe aliyemuuza Chama Konde Boy.
 
Simba mpya haipati matokeo mazuri msimu huu.

Simba imesajili wageni wengi na kuwaacha wageni wengine kama francis kahata.

Je katika wachezaji wapya wa simba ni nani anamzidi kiwango Francis kahata?
Simba mpya haipati matokeo mazuri msimu huu.

Simba imesajili wageni wengi na kuwaacha wageni wengine kama francis kahata.

Je katika wachezaji wapya wa simba ni nani anamzidi kiwango Francis kahata?
Simba SC acha wavune walichopanda
 
Kwa kweli Kahata kuondoka kwake kuliniuma sana. Ni kama tu imetonyesha donda.
Abarikiwe mfadhili wetu na alaaniwe aliyemuuza Chama Konde Boy.
Huyo huyo uliyembariki ndyie aliyewauza chama na konde boy Sasa sijui abarikiwe na kulaniwa at the same time
 
Sihitaji ubishi kwa hili mdau
Mkuu kama kweli kuna matajiri wanaitamani Simba basi kuweni macho na Muddy,huoni kama anawaharibia kwa kusema ana endesha timu kwa hasara,hii itawarudisha nyuma hao matajiri na kupeleka pesa kwenye biashara zingine siku Muddy atakopo bwaga manyanga?
 
Wafanyabiashara wanajuana kauli zao kuwa makini na hili
 
Back
Top Bottom