Tatizo la Simba SC ni kumkufuru Mwenyezi Mungu

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,298
12,600
Sio kituo la kawaida kwa Simba iwe mbele kwa BAO 3-0 uwanja wa Mkapa halafu zote zirudishwe kwenye kipindi kimoja na timu ndogo kabisa kama Galaxy.

Sio kitu Cha kawaida watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania kuwa mtu maarufu kama Haji Manara. Huyu mtu kufika level aliyonayo kwenye nchi kama ya Tanzania sio jambo la mzahamzaha na hivihivi. Lazima Kuna nguvu ya mtu mwenye mamlaka kuu kuliko sisi wanadamu Yuko nyuma yake.

Simba na mashabiki wanavuka Mipaka ya mapungufu ya kibinadamu Haji na kuingilia mambo ambayo yako juu ya Haji, wanakejeli hata uwezo na mamlaka ya Mungu kuhusu maumbile ya Haji, wanakufuru. Wanashindwa hoja na Haji na ku attack ulemavu wake kama njia ya kumnyamazisha Haji.

Kwa kufanya hivyo Simba wanayashika Mungu masharubu yake. Watu wa aina ya Haji ni watu wanaohitaji upendo, kusaidiwa, Kutiwa moyo, na kuheshimiwa sana kwakuwa yeye hawezi kwenda kulima, kuvua, kuponda kokoto, kuchimba madini, nk sisi wengine.

Dua moja ya Haji kwa Mungu wake inasikika na Ina nguvu sana kwasababu anaomba kwa kumaanisha. Hakuna mtu hata mmoja chini ya jua atafanikiwa kwa kuwathihaki, wadhulumu, wabeza na kuwadhulu walemavu na mayatima na wajane.
 
MI nasema hivi.

Makolo bado sana, mbwembwe tu zimewajaa!

Yaani Makolo kufika 1/4 fainali ndo wanajiona wapo level moja na akina Al Ahyl na kujiona eti wao ni timu kubwa na bora barani Afrika!!

Huwezi kukosa consistency halafu eti ujione upo sawa na akina Espearance.

Mwaka juzi iliyopita kwa mfano, wamefika 1/4 fainali lakini msimu uliofuata, wakatupwa nje na UD Songo!

Msimu uliopita wamefika 1/4 fainali, msimu huu wanatandikwa 3 kwa Mkapa!! Yenyewe kuanzia round hii ndo yakajiona yashakuwa ma-champion, wakasahau wamepata nafasi hiyo baada ya Kaizer Chief aliyefika fainali msimu uliopita, kwenye ligi ya kwao alivurunda na hivyo kukosa nafasi ya kushiriki michuano yaCAF msimu huu!!

Kama sio hivyo, wangeanzia kwenye preliminary stage kwa sababu bado ni katimu kadogo kanakojitahidi kuchipua kwenye soka la Afrika!!!

Na mwaka huu ndo kwavile CAF wamewashtukia zile janja janja zao za kupulizia dawa za maiti kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji; wakalazimika kuingia uwanjani na wapinzani wenye utimamu wa akli na afya, na kilichoteka.... TATU aka 3!
 
MI nasema hivi...

Makolo bado sana... mbwembwe tu zimewajaa!!

Yaani Makolo kufika 1/4 fainali ndo wanajiona wapo level moja na akina Al Ahyl na kujiona eti wao ni timu kubwa na bora barani Afrika!!

Huwezi kukosa consistency halafu eti ujione upo sawa na akina Espearance...

Unamaanisha hata kule Botswana Simba waliwawekea dawa hao Galaxy?
 
Kusema Haji hawezi kulima, kuvua, n.k nako ni kumdhihaki, tena sana.

Ila nakuunga mkono. Kuacha kuongelea mambo ya mpira na kuanza kumshambulia/kumdhihaki maumbile yake haipendezi machoni mwa muumba wake.
Kaka labda alime kwa Trekta, maana adui mkubwa namba moja ya watu wenye albinoism ni jua.
 
MI nasema hivi...

Makolo bado sana... mbwembwe tu zimewajaa!!

Yaani Makolo kufika 1/4 fainali ndo wanajiona wapo level moja na akina Al Ahyl na kujiona eti wao ni timu kubwa na bora barani Afrika!!

Huwezi kukosa consistency halafu eti ujione upo sawa na akina Espearance...

Mwaka juzi iliyopita kwa mfano, wamefika 1/4 fainali lakini msimu uliofuata, wakatupwa nje na UD Songo!

Msimu uliopita wamefika 1/4 fainali, msimu huu wanatandikwa 3 kwa Mkapa!! Yenyewe kuanzia round hii ndo yakajiona yashakuwa ma-champion, wakasahau wamepata nafasi hiyo baada ya Kaizer Chief aliyefika fainali msimu uliopita, kwenye ligi ya kwao alivurunda na hivyo kukosa nafasi ya kushiriki michuano yaCAF msimu huu!!

Kama sio hivyo, wangeanzia kwenye preliminary stage kwa sababu bado ni katimu kadogo kanakojitahidi kuchipua kwenye soka la Afrika!!!

Na mwaka huu ndo kwavile CAF wamewashtukia zile janja janja zao za kupulizia dawa za maiti kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji; wakalazimika kuingia uwanjani na wapinzani wenye utimamu wa akli na afya, na kilichoteka.... TATU aka 3!
Shida Yao wanacheza na Galaxy huku wanamuaza Yanga na Haji. Wakachomekwa vitatu.
 
Sio kituo la kawaida kwa Simba iwe mbele kwa BAO 3-0 uwanja wa Mkapa halafu zote zirudishwe kwenye kipindi kimoja na timu ndogo kabisa kama Galaxy.

Sio kitu Cha kawaida watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania kuwa mtu maarufu kama Haji Manara. Huyu mtu kufika level aliyonayo kwenye nchi kama ya Tanzania sio jambo la mzahamzaha na hivihivi. Lazima Kuna nguvu ya mtu mwenye mamlaka kuu kuliko sisi wanadamu Yuko nyuma yake.

Simba na mashabiki wanavuka Mipaka ya mapungufu ya kibinadamu Haji na kuingilia mambo ambayo yako juu ya Haji, wanakejeli hata uwezo na mamlaka ya Mungu kuhusu maumbile ya Haji, wanakufuru. Wanashindwa hoja na Haji na ku attack ulemavu wake kama njia ya kumnyamazisha Haji.

Kwa kufanya hivyo Simba wanayashika Mungu masharubu yake. Watu wa aina ya Haji ni watu wanaohitaji upendo, kusaidiwa, Kutiwa moyo, na kuheshimiwa sana kwakuwa yeye hawezi kwenda kulima, kuvua, kuponda kokoto, kuchimba madini, nk sisi wengine.

Dua moja ya Haji kwa Mungu wake inasikika na Ina nguvu sana kwasababu anaomba kwa kumaanisha. Hakuna mtu hata mmoja chini ya jua atafanikiwa kwa kuwathihaki, wadhulumu, wabeza na kuwadhulu walemavu na mayatima na wajane.
Unaelewa maana ya gongo wazi? Kama unaelewa maana yake basi hiyo ndio ilikuwa lugha ya Manara kuwakejeri Yanga.

FB_IMG_1634698846452.jpg
 
Kusema Haji hawezi kulima, kuvua, n.k nako ni kumdhihaki, tena sana.

Ila nakuunga mkono. Kuacha kuongelea mambo ya mpira na kuanza kumshambulia/kumdhihaki maumbile yake haipendezi machoni mwa muumba wake.
Yy haji anaongea mpira kenge yule kila siku Ni kuitukana simba. Msukule yule.

Kenge maji yule asiyejua hata kupiga mswaki.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Sio kituo la kawaida kwa Simba iwe mbele kwa BAO 3-0 uwanja wa Mkapa halafu zote zirudishwe kwenye kipindi kimoja na timu ndogo kabisa kama Galaxy.

Sio kitu Cha kawaida watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania kuwa mtu maarufu kama Haji Manara. Huyu mtu kufika level aliyonayo kwenye nchi kama ya Tanzania sio jambo la mzahamzaha na hivihivi. Lazima Kuna nguvu ya mtu mwenye mamlaka kuu kuliko sisi wanadamu Yuko nyuma yake.

Simba na mashabiki wanavuka Mipaka ya mapungufu ya kibinadamu Haji na kuingilia mambo ambayo yako juu ya Haji, wanakejeli hata uwezo na mamlaka ya Mungu kuhusu maumbile ya Haji, wanakufuru. Wanashindwa hoja na Haji na ku attack ulemavu wake kama njia ya kumnyamazisha Haji.

Kwa kufanya hivyo Simba wanayashika Mungu masharubu yake. Watu wa aina ya Haji ni watu wanaohitaji upendo, kusaidiwa, Kutiwa moyo, na kuheshimiwa sana kwakuwa yeye hawezi kwenda kulima, kuvua, kuponda kokoto, kuchimba madini, nk sisi wengine.

Dua moja ya Haji kwa Mungu wake inasikika na Ina nguvu sana kwasababu anaomba kwa kumaanisha. Hakuna mtu hata mmoja chini ya jua atafanikiwa kwa kuwathihaki, wadhulumu, wabeza na kuwadhulu walemavu na mayatima na wajane.
Sasa ndiyo akate miuno yote jamani? Mzee Tozi alifaidi sana
 
Hapa hakuna cha kukufuru wala nini.

ukweli utabaki palepale kuwa manyara ni ZERUZERU na utopolo wote ni UMBWA na MACHIMPANZEE.
Mbwa ni wale waliokuwa wanamsifu Gomez na Sasa wanamuona hafai eti kwa kufungwa 3-0
 
Manara ana mambo ya kishamba! Yeye akichamba wenzie anaona yuko sahihi ila akigeuziwa kibao akachambwa au kujibiwa mashambulizi anajifanya kutia tia huruma!😂
 
Hivi Kuna watu ambao walimwita manara majina mabaya kama utopolo, halafu mnavyowanga huwa mnakumbuka Kama Kuna Mungu au mnaona upande wa pili tu
 
Yanga pamoja na kutukanagwa na haji hawajawahi kumtukana na kumkufuru Mungu kama Simba inayofanya Sasa.
Hivi Kuna watu ambao walimwita manara majina mabaya kama utopolo, halafu mnavyowanga huwa mnakumbuka Kama Kuna Mungu au upande wa
 
Back
Top Bottom