simba

  1. mwilawi

    JamiiForums Tanzania SIMBA VS DAR CITY wachezaji wa simba wamechangamka kuliko mechi ya KAGERA

    Kwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs Dar City wachezaji wa Simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya Kagera. Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha mkuu na kocha msaidi Matola na ilipelekea kuwa na molari kidogo siku ya mechi na kagera ambapo kocha...
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo tweets za Mo Dewji kabla ya kuzifuta, inaonekana kuna tatizo Simba!

    Mfanyabiashara bilionea na mwekezaji wa Simba Sc usiku kupitia akaunti yake ya twitter alipost tweet hizi kisha akazifuta ndani ya muda mfupi. Je kwa tweets hizi, kuna amani kweli huko Simba?
  3. N

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika

    Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao. Na...
  4. May Day

    JamiiForums Tanzania Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madam Barbara ni CEO sahihi ndani ya timu yetu pendwa Simba

    Ni wazi mwanadada huyu anapitia kipindi kigumu na si ajabu hakujua ugumu wa kazi kabla ya kukubali kufanya ya kondoo katikati ya kundi la mbwa mwitu. Pengine angejua tabia na desturi za watu wa nchi hii wanaojiita watu wa mpira asingekubali kuajiriwa kufanya kazi anayoifanya. Naamini yeye...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Udhaifu Wote wa Simba, Watachukua Kombe la Shirikisho

    Naomba mtunze hii kumbukumbu, pamoja na udhaifu tunaouona kwa timu ya Simba, hawa ndio mabingwa wa kombe la shirikisho 2022. Tunza hii..
  7. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea Simba na Yanga zikawa na ubora sawa

    Kwa wale wanaofuatilia soka mtakubaliana nami kwamba haijawahi kutokea hizi timu mbili kubwa zote kwa pamoja ziwe na ubora sawa. Hii miaka minne iliyopita Simba alitawala soka la Tanzania na Yanga alikua anasemwa kiasi kwamba walishazoea hali hiyo. Najua kuna watu watasema ubora wa timu au...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Yanga Kuishinda Simba 2022

    Taswira kwa hisani ya Jamii Forums
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mwenendo mbaya wa Simba SC ufuatao ni ushauri wa bure kwao

    1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu. 2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico Nyagawa. 3. Wachezaji watafutiwe haraka Mwanasaikolojia na nampendekeza awe ni mwana Simba SC Chris...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mzamiru Yassin ni jipu ndani ya Simba SC

    Watu wengi wanamsifia kama kiungo punde ila kwa maono na maoni yangu binafsi namuona kama mchezaji wa kiwango cha chini sana kuichezea klabu kubwa kama Simba SC. Miongoni mwa madhaifu yake ni kushindwa kupiga pasi za maana,mara nyingi amekuwa mtu wa kupoteza pasi. Uwezo wake wa kumiliki mpira...
  11. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Ili kuinusuru Simba kwa Sasa, Kagere anatakiwa awe anaanza kucheza na kikosi Cha kwanza

    Kagere ni mchezaj ambae bado Ana uwezo mkubwa tu wa kupachika mabao, hasa hasa presha inapokuwa kubwa mbele. Naomba Sana bench la ufund ilifanyie Kaz Hil ili tuinusuru Tim yetu na tulinde heshma tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana

    Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana. Mmeingia kwenye professionalism lakin bado mnaendeleza ajira za michongo. Kilicho wafanya msitishe ajira ya Zrane ninini! Kama sio mkelele tu ya nje yaani mgeni aanze tu kuipenda ya jirani alafu mkathibitisha alafu nduki...
  13. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC. Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki? Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF UPDATE Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba. 17” Kagera Sugar 0...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa na simba wengi kuliko nchi nyingine duniani

    Bwana Sven Lindqueast Rais wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI) ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye nusu ya Simba wote Duniani katika Mkutano wa 50 wa Mwaka wa Uwindaji wa Kitalii uliofanyika nchini Marekani hivi karibuni. Rais Sven Lindquest amesema kwa hatua hiyo ameipongeza kwa juhudi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Leo Simba anashinda dhidi ya Kagera Sugar

    Wanasimba wote msiwe na wasiwasi leo huyu kagera sugar hasira zetu zote tunaenda kummalizia yeye, kosa lao Uwanja wao kuwa mzuri ndio kitachowacost
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania MO DEWJI, tamaa yako ya pesa imeiharibu Club ya Simba, sisi kama club hatusubiri mikataba yenu, jitafakari

    Huyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO jitafakari, usidhani hatukutafakari.
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba kugomea nembo ya GSM ni dharau kwa TFF sio GSM, laana wataipata

    GSM ameongea na kukubaliana na mwenye mbwa, TFF kuhusu udhamini wa ligi kuu. Timu kugomea kuvaa nembo ya GSM ni dharau kubwa kwa mwenye mpira wake na sio kwa GSM. Huku ni kuota mapembe dhidi ya baba yako, lazima watapata laana la kimichezo. Hapa mbwa ameifuata TFF hadi msikitini. Wacha...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

    simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi. Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria. Club hii yenye makao yake Kariakoo mtaa wa Jangwani na Twiga ilianzishwa mwaka 1935
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa Kocha Pablo wa Simba SC unavyozidi kuisafishia Yanga SC njia ya kuwa Mabingwa wa NBC Premier League kwa 75% mpaka sasa

    Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha? Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha...
  20. Labani og

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela: Simba haitamaliza top 4 msimu huu

    Makamu mwenyekiti wa klabu ya YANGA FC Fedrick Mwakalebela amesema kuwa simba haiwezi. Kumaliza ndani ya top four mwishoni mwa msimu huu Mwakalebela amezitaja timu ambazo zitamaliza Top Four mwishoni mwa msimu wa ligue ya NBC Premier kuwa ni 1. Yanga 2. Azam 3. Mbeya city 4. Polisi Je, kwa...
Back
Top Bottom