simba

  1. JamiiForums Tanzania Naombea Simba atolewe na Orlando

    Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu. Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo. Mungu ibariki Orlando!
  2. I

    JamiiForums Tanzania Siombei lakini natarajia vimbwanga siku ya mechi ya Simba Jumapili

    Naam nawaza utaratibu gani utatumika kuhakikisha kila aliyeingia uwanjani kwa ajili ya mashindano ya quran aweze kutoka kupisha waliolipia viingilio vya mechi baada ya mashindano hayo kuisha. Kumbuka mashindano hayo ya quran kiingilio ni buure kabisa. Lakini bado nawaza, kweli nchi nzima yenye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, nguvu kubwa ya Simba SC iwe ni katika hamasa ya Mitaani au kuiandaa timu Kisayansi (Kiufundi) ili ishinde?

    Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za Hamasa na Tambo za Hekaya za Abunuasi?
  4. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Sophia Simba ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW). Bi. Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua Jaji Hamisa Hamisi Kalombola kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma. Jaji...
  5. JamiiForums Tanzania George Job: Simba haiwezi mechi za mtoano

    Mchambuzi wa michezo kutoka Wasafi Fm, George Job amesema klabu ya Simba bado haijajiandaa vema katika mechi za mtoano. Kikosi cha Simba ilkinaweza kupambana vizuri kwenye mechi za makundi ila linapokuja suala la mechi mbili za mtoano hapo ndipo ulipo mtihani kwa Simba SC. Kwa kauli hiyo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Jionee umaarufu wa Mayele Simba

    Mayele style imeteka Soka la Tanzania. Nini maoni yako kuhusu hiki akifanyacho mchezaji huyu wa Simba?
  7. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

    Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR). Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo. Pamoja na kwamba Wanasema saa...
  8. JamiiForums Tanzania Haji Manara: Paul Makonda alilazimisha kwa nguvu uteuzi Simba SC, Mo Dewji asilaumiwe hakuwa na namna

    Haji Manara ameendelea kuanika maovu ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, kupitia Instagram yake, Haji Manara amesema haya kuhusu Paul Makonda kulazimisha uteuzi katika Klabu ya Simba. Ukalazimisha uteuzi Simba kwa nguvu, ktk hili MO alikuwa hana namna asilaumiwe, angefanyaje...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je Clatous chama wa simba atacheza robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika?

    wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
  10. JamiiForums Tanzania Mwamuzi Eli Sasii na mapenzi ya wazi kwa timu ya Simba na chuki iliyopindukia kwa timu ya Yanga

    Ninaandika uzi huu kwa maslahi ya ligi yetu na ustawi wa soka letu liweze kupiga hatua. Katika mchezo wa tarehe 10/4/2022 mwamuzi wa akiba Eli Sasii alionyesha maumivu ya wazi kabisa kutokana na matokeo ya pale Kilimanjaro kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba. Hii imejidhihirisha kwa vitendo...
  11. JamiiForums Tanzania Timu nyingi zimepigwa kwenye usajili kuanzia Chelsea, Man Utd, PSG, Arsenal, Yanga, Simba

    Chelsea: kumsajili Torres kutoka Liverpool na Lukaku kutoka inter. Man Utd: kumsajili Ronaldo kutoka Juventus. Psg: kumsajili Neymar na Messi kutoka Barcelona. Arsenal: kumsajili Pepe kutoka Lille. Yanga: kumsajili Makambo mara ya pili. Simba: kumsajili Chikwende kutoka Platnum.
  12. JamiiForums Tanzania Simba sport club. Tuleteeni wafungaji mashine kisawa sawa

    Nimeangalia mechi ya leo ya simba akiwa ugenini pale ushirika moshi akicheza na mwenyeji wake polisi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kiuhalisia na ukweli usiofichika simba tuna tatzo la wafungaji/wamaliziaji. Mfungaji anakimbia kabla mpira haujapigwa au anashindwa kusoma position...
  13. JamiiForums Tanzania FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

    Leo tarehe 10 April 2022 majira ya saa 16:00, Mnyama hatali Sana , mnyama mwenye njaa ,, mfalme wa nyika , Club ya 12 kwa ubora Africa nzima,, club ya 12 miongoni mwa vilabu vya soka Africa nzima, simba sports club atakuwa na mazoezi ya kupasha misuri pale atapofika kumfundisha mazoezi ya viungo...
  14. JamiiForums Tanzania Manara tumembeba habebeki. Ndo maana Simba walimfukuza. Huyu jamaa ni kirusi

    Manara ana Nyota ya Ufitini na Uchonganishi. Wakati anakuja kwa Steve kuomba asaidiwe usemaji Yanga, mimi nlikuwa mmoja ya watu ambao tulikuwa tunaona Manara kafukuzwa kwa kuonewa Simba. Lakini kwa kipindi hiki ambacho tumekaa naye huyu jamaa ni kunguru. Hafugiki. Kashawachonganisha watu wengi...
  15. JamiiForums Tanzania Maono: Kati ya Simba na Yanga kuna timu moja leo itafungwa!

    Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti. Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports Federation. Simba itashuka dimbani Ushirika Moshi kuwakabili maafande wa Polisi katika muendelezo...
  16. JamiiForums Tanzania Salehe Jembe: Viongozi Yanga wanaumia Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR

    Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika. Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya… @ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba @VAR...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya serikali kutenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuisapoti Simba SC

    Hakuna ubishi kuwa Simba ndio nembo ya Taifa hili kwenye medani za kimataifa ngazi ya klabu barani Afrika. Simba imekuwa tunu ya Taifa hili hakika tunapaswa kujivunia, huko nyuma tulikuwa wanyonge timu kutoka nje ya nchi zilikuja na kujibebea pointi na kuondoka zao. Hivi sasa kuna klabu gani...
  18. JamiiForums Tanzania Kukataliwa Goli la Simba dhidi ya Coastal, Azam TV Hamtutendei Haki Wateja Wenu

    Kwema Wakuu, Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Kenya iliyosimamishwa na FIFA kujihusisha na shughuli za kimichezo imetoa muamuzi wa kisimamia mechi ya CAF CC ya Simba Vs Orlando Pirates?

    Habari wana jukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Mnamo tarehe 22/02/2022 shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) lilizipiga marufuku nchi za Kenya na Zimbabwe kujihusisha na shughuli zozote za soka kutokana na Serikali zao kuingilia mashirikisho ya soka ya nchi hiyo kitu...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna watu humu wanajulikana kama mashabiki wa simba lakini hawaisemei vizuri timu yetu

    Watu hao waiuponda uongozi wa Simba in the name of mashabiki kindakindaki wa Simba. Nafkri wanajukwaa hasa ambao ni wanaSimba wenzangu, mtakuwa mashahidi kama nikisema mwenzetu GENTAMYCINE ana chuki binafsi na uongozi uliopo pale Simba, lila kukicha Uongozi wa Simba umefanya kosa hapa mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…