Narudia tenaa utakuwa nii jinga la mwisho kuamini kwamba media za makanjanja zinataka simba sc ifuzu robo fainali
Bahasha za khaki zishatembea kilichobaki ni Leo shughuli inaanza rasmi
Maana kila simba akiwa na week ya mechi ngumu utasikia nawapeleka mahakamani walinifanyisha kazi bila...
Ofisa habari wa Ruvu shooting Masau bwire amesema sio kwamba yeye ni mshabiki wa simba ila mpira sio vita ndio maana linapokuja suala la kimataifa anatanguliza uzalendo kwanza. pia akatolea mfano kwamba hata wachezaji wa simba sc camera zimewahi wanasa wanatetema.
Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu.
Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa wameweka wazi kuwa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki...
Mpaka sasa World Cup 2018 ndiyo inashikilia rekodi ya kutazamwa na watu wengi ambapo jumla ya watu bilioni 3.5.
Source: More than half the world watched record-breaking 2018 World Cup
Hata hivyo imedaiwa kuwa Klabu ya Simba katika mechi zake za CAFCL na kampeni ya visit Tanzania wametazamwa na...
Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana.
Morrison amesikitishwa na kitendo cha kuonekana anadharaulika wakati amecheza katika klab kadhaa kubwa...
"Ninachojua tu ni kwamba Rafiki yangu Haji Manara ni Mwanachama Hai wa Simba SC na anaipenda Klabu ya Simba kuliko Kitu kingine chochote isipokuwa ujio wake huku Kwetu Yanga SC ni kutokana tu Hasira pamoja na kutafuta Ridhiki ila nina uhakika Siku isiyo na Jina Hasira zake zikiisha au Yanga SC...
SIMBA WASIPOBADILIKA ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali. Lakini Pia hata wakivuka wanakazi ya kufanya inaonekana mechi za away hawawezi kuzuia hili ni janga kwao.
Mimi niwashauri wanapocheza away au na timu yenye vijana wengi wamchezeshe LWANGA + KANOUTE PAMOJA UPANDE wa Tshabalala akae...
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee.
Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
Kuna Mkongo mmoja Rafiki yangu mno aliwahi kuniambia kuwa kwa Vipaji vilivyopo Kwako Congo DR hata wakihitajika Wachezaji 100 wa Kuunda Timu yao ya Taifa bado akina Mayele na Bangala hawatoweza Kuitwa labda kidogo atakayebahatika Kuitwa ni Beki wa Simba SC, Henock Inonga Baka kwakuwa ana Akili...
Siku chache kabla ya pambano la ugenini dhidi ya Asec Mimosas ,, boss mkubwa wa Simba Try Again anasikika akitamba kwamba Simba itasajili Wachezaji wanne wa kigeni mwishoni mwa msimu. Kipigo dhidi ya Asec kilianzia hapo.
Twende taratibu.
Kwa mujibu wa KANUNI za TFF kila Klabu nchini...
Kwa kuangalia analysis na game plan ya mchezo kati ya Asec vs Simba Coach Pablo alifeli sana katika mipango. Alijisahau kuitizama asec wakiwa na mpira wanakuwa na kasi ya ajabu huku sisi wachezaj wetu ni wazito sana. Kwanza ilibidi aanze na Viungo wa kukaba wawili LWANGA+MZAMIRU ili kuipa nguvu...
Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda.
Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma... ila kwa upande wa robo fainali na nusu fainali litabia hili likiendelea kuingia nusu fainali ni...
Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec.
Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?
Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita.
Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo zilipofika kwa kweli CAF Wanatakiwa wazishukuru Kwa Kuja,Matumaini ya Kupita ni Zero!
Simba...
Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana
Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli.
Tukija kwa tajiri yetu MO...
Kwa mujibu wa CAF, Simba imekuwa ndio klabu inayotazamwa kwa wingi na mashabiki kupitia akaunti za mitandao ya kijamii za CAF, ikiwamo Youtube (CAF TV) kulinganisha na timu nyingine kongwe Afrika na ikifuatiwa na Al Ahly ya Misri.
.
Rekodi zinaonyesha pambano lililotazamwa zaidi ni lile la Simba...
Kuna mdau wa Klabu ya Simba, ameweka mtandaoni ratiba hii ya michezo ijayo ya Simba akijumlisha ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Afrika inayoratibiwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).
⚽Asec Mimosas vs Simba
📅 20 March 2022
🏟 General Mathieu Kerekou Benin.
⏰ 19hrs
⚽Polisi TZ...
Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2021 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro.
Huu sasa ni uhuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.