simba

  1. JamiiForums Tanzania Mkasa wa Yanga kuchapana bakora na kuvunja timu baada ya kupigwa 4-1 na Simba, Mwaka 1994

    Tukiwa tunaeleka derby ya kariakoo hapo kesho, sio mbaya tukakumbusha baadhi ya vituko, mikasa na visa vilivyowahi kutokea huko nyuma. Leo tuikumbuke mechi iliyowafanya Yanga (Gongowazi) kuchapa bakora na kupelekea kufukuza karibia wachezaji wake. July 2, 1994 katika dimba la Uhuru, Dar Es...
  2. JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya derby Simba yapewa nafasi kubwa ya ushindi

    Kwa mechi kadhaa nyuma, Yanga ilikuwa ikipewa nafasi kubwa ya kushinda na makampuni ya kamari, lakini safari hii hali imekuwa tofauti. Watu wakiamini Yanga ni bora kuliko Simba, watu wakiamini kuwa Yanga ina wachezaji wengi bora kuliko Simba lakini kwa makampuni ya kamari yamefanya uchambuzi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Simba na Yanga Jumapili hii hapa! Atakayefugwa kapenda mwenyewe kwa uzembe!

    Mchezo wa simba na yanga kesho hauna mwenyewe! Atayefungwa kataka mwenyewe! Yanga watakuwa bora sana kipindi cha kwanza! Hakika Simba watakimbizwa na mabeki wa simba wasifanye masihara kipindi cha kwa hususani kuanzia saa 11.00 hadi 11:15 ni hatari tupu, Njia pekee ya simba nikuondosha mipira...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kinachoimaliza Simba ni uchawi wa wachezaji wao kwa wao

    Simba kila wakati imekuwa ikisajili wachezaji wazuri sana. Tatizo kuna wachezaji pale Simba hawataki kukubali kuwa muda wao umeisha. Kwa hiyo SIMBA walifnyikie kazi. Mnaweza kuona PHIRI alichofanyiwa banda kapombe. Wanasimba tuamke hawa wazee waliopo SIMBA bocco mkude mikataba ikiisha wasepe...
  5. JamiiForums Tanzania Game tumeshaimaliza. Simba analala kesho. Tunamgonga kama kawaida yetu. Kama sivyo nifanywe hivi

    Safi sana..... Watu ndo tunatoka Kazini asubuhi hii baada ya kukaa huko kwa siku 2. Ambazo ni ushindi wa bao 2 kwa Yanga. Na ustaadhi katuambia kuna bonus ikiwa tutafanya jambo moja zito zaidi. Tumewaacha jamaa waendelee. Uhakika upo. Simba ni kama mti embe wa uwani. Unajichumia tu embe...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kwa Kauli yake ya Kukafini Maiti Yanga SC kapimweni Akili

    Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC Prisca Kishamba na Mchambuzi mwana Simba SC Master Tindwa alitudhihaki wana Simba SC kuwa Tumebikiriwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Habari Simba Matatani kwa Kauli Chafu

    Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua" kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.
  8. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuwachunga siku ya dabi Simba vs Yanga

    Yanga inabidi wawe makini na chama na baleke ni wachezaji waliokuwa kwenye form nzuri hivi Sasa na ni HATARI. Simba inabidi wawe makini na wachezaji wote wa yanga na kocha Nabi. hivi Sasa ukiongelea timu yenye team work hali ya kupambana kwa wachezaji ni Yanga na kila mchezaji anatamani...
  9. D

    JamiiForums Tanzania ⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

    Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo! 😂Ushabiki pembeni, Pesa Kwanza!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Simba tunaweza kabisa kuwafunga Yanga

    Simba tufanye mambo haya; 1. Kudhibiti kambi yetu. 2. Kuhakikisha uchawi wa Yanga tunautegua. 3. Viongozi wa Simba wawe na ushirikiano. Mwisho, Simba tukifanikiwa kudhibiti katikati na pembeni tunashinda. MHM simba tuwe na discipline ya kucheza katikati pia kuhakikisha hatuachi space kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Simba SC yatinga Robo Fainali Kombe la Dunia kwenye mtandao wa Twitter

    SIMBA SC ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA Klabu ya Simba Sc kutoka Tanzania imetinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia linaloendele kwenye mtandao wa Twitter likiendeshwa na mtandao wa Deportes &Finanzas kutoka Brazil likihusisha vilabu vyenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii. Kombe...
  12. JamiiForums Tanzania Kususa kuhamasisha mashabiki wenu kuja uwanjani kisa nyie sio mwenyeji ni ujinga

    Kuna hili jambo niliwahi kuambiwa ila sikulitilia maanani siku za nyuma ila wiki hii nalishuhudia tena. Pale timu mojawapo inapokuwa mwenyeji wa mechi hii ya "dabi", hiyo timu mwenyeji kwa kuwa inaenda kupata mapato yote ya mchezo ndiyo pekee inafanya hamasa. Timu ambayo ni mgeni "inauchuna"...
  13. JamiiForums Tanzania Simba SC yatinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia huko twitter

    Klabu ya Simba SC Kutoka Tanzania Inatinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwenye Mtandao wa Twitter Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia linaloendeshwa kupitia mtandao wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mshambuliaji Jean Baleke awasha moto Simba SC

    Habari kuhusu mshambuliaji Jean Baleke wa Simba imewaacha mashabiki wa Yanga wakishangaa kutokana na ubora wa mchezaji huyo katika kupiga mabao. Baleke amekuwa akifunga mabao kwa wingi na kwa sasa kocha wake amewapa mabosi wa Simba ramani ya kumweka ndani ya timu hiyo. Kocha wa Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga kuifunga Simba siyo habari (news) ila kinyume chake ndiyo habari (news)

    Wananchi tumezoea ushindi, tunafunga Simba, Paka, Chui, Sungura na yeyote ajaye mbele yetu. Yanga kuifunga Simba haijawahi kuwa ni habari, na pengine vyombo vya habari visiandike au kutangaza, ndiyo kawaida, yaani mfumo wa maisha kimichezo kwa sasa. Ni kama binadamu kula samaki, ni jambo la...
  16. JamiiForums Tanzania Simba SC izuieni upesi hiyo Alphard nyeusi inayokuja Kambini na Mdau wa Simba SC ina Watu wabaya Kwetu

    Uongozi wa Simba SC pitieni sana hapa Jamiiforums na muwe mnanisikiliza mno Mimi GENTAMYCINE sawa? Nawapambania kuliko hata hao Wanafiki baadhi walioko Kambini kwa sasa. Haya GENTAMYCINE naamuru haraka sana hiyo Gari aina ya Alphard Nyeusi iishie nje na isiingie Kambini ina Mtu Kirusi na...
  17. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC naomba tujadili Kikosi kipi Kipangwe katika Derby ijayo ila Mimi nashauri tujilipue na hiki

    1. Aishi Manula ( kama Kapona ) 2. Shomary Kapombe ( kama Kapona ) 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga ( kama Kapona ) 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Muzamiru Yassin 9. Jean Baleke 10. Clatous Chama 11. Saido Ntibanzokinza Baadae napendekeza Waingie wafuatao...
  18. JamiiForums Tanzania Hoja ya Simba kuitwa Bob Jr, Serikali yasema ‘Simba akiitwa jina la Masanja hakuna atakayemjua’

    Serikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza kimataifa. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema “Tunapotumia majina maarufu...
  19. JamiiForums Tanzania Wafuatao ni Wachezaji hatari Kinyota kwa Simba SC Jumapili tarehe 16 Aprili, 2023

    Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90. 1. Farid Musa 2. Aziz Ki 3. Bernard Morisson 4. Kennedy Musonda Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Utabiri mechi ya Simba na Yanga itaisha Sare, pia Timu zote mbili zitatolewa kwenye robo fainali ya mashindano ya Caf

    Habari za jioni. Utabiri wangu ndio huo. Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa. Na Yanga nayo itatolewa na Rivers Utd kwenye kombe la shirikisho barani Africa Mnakaribishwa na wengine kuweka utabiri wenu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…