simba

  1. JamiiForums Tanzania Je, mwaka 1993 Simba ilicheza fainali za michuano ipi Afrika na Stella ya Ivory Coast?

    Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF. Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani? Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
  2. JamiiForums Tanzania Simba SC ilivyotolewa Juzi mliicheka je, ni lini mtaanza Kuwacheka Timu Kubwa Raja Casablanca FC nayo kwa Kutolewa?

    Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi...
  3. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wengine hawajitambui Kabisa

    Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
  4. JamiiForums Tanzania Chama na kipa Ally ndio walioiondosha Simba mashindanoni

    Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi, uongozi wa Simba, Chama na Ally Salim. Wydad waliokolewa na golikipa wao kudaka mikwaju 2 iliyopigwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

    Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

    Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂. Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia...
  7. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa mashabiki wa Simba

    Nawapongeza sana wana lunyasi wotee kwa umoja huu mlioonyesha kwa timu yetu dhidi ya wydad hapo jana... Kuna baadhi ya wana utopolo hawaamini macho yao.. Kwanza tulimfunga wydad kwa Mkapa japo wao wanamuogopa mnoo yani walimuona kama hafungiki na pia waliamini tungeoga magoli ila sio kwa mnyama...
  8. JamiiForums Tanzania Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

    Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni 1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ? 2. Atabaki Simba ? 3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?
  9. JamiiForums Tanzania Simba kama mmekubaliana na kichapo cha Wydad msihamishie hasira Kwa Yanga

    Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni , hakuna attacking midfielder anayeweza kupunguza angalau wachezaji wawili ama wa tatu wa timu pinzani...
  10. JamiiForums Tanzania Inasemekana Kipa wa Simba ana uwezo kudaka na miguu

    Msishangae wataalam Inasemekana Goalkeeper mahiri wa Simba SC anao uwezo mkubwa kutumia miguu yake kudaka mipira.Sababu hii inapelekea kuruka upande wa kushoto tofauti na uelekeo wa mpira ili aweze kutumia miguu yake kudaka mpira. Kongole Wanasimba kwa ushindi mnono, Kongole Wanalunyasi kupata...
  11. JamiiForums Tanzania Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

    Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo...
  12. JamiiForums Tanzania Robertinho aondoke Simba timu ivunjwe. Haiwezekani tunaishia Robo Fainali kila mara

    Haiwezekani kila mara tunaposhiriki michuano yoyote huwa tunaishia robo fainali, Yaani sisi tumekuwa wasindikizaji na wala hatuna taji lolote huku tukiishia kutiana moyo kuishia robo fainali. Ifike mahala hatua zichukuliwe, Ukubwa wetu umebakia midomoni huku tukichekwa kwa mpira 0...
  13. JamiiForums Tanzania Beki wa Kimataifa Henock Inonga atumike kama 'Blueprint' ya Usajili wa Wachezaji wa Kimataifa wa Simba SC kwa Msimu ujao

    GENTAMYCINE nataka Wachezaji wote wapya wa Kigeni watakaosajiliwa na Simba SC kwa Msimu ujao wawe na Sifa Kuu hizi zifuatazo za Mchezaji Henock Inonga..... 1. Kujiamini mno Uwanjani 2. Uwezo mkubwa sana 3. Control ya uhakika muda wote 4. Akili nyingi Uwanjani 5. Mwenye Ari ya Upambanaji 6...
  14. JamiiForums Tanzania Simba Sc kapambana kiume, kutolewa na Wydad ni suala la kiufundi zaidi.

    Hello fellas! Baada ya safari ya Simba Sc kuishia mbele ya Wydad wamekuja watu wengi ambao hawaufahamu mpira vizuri au labda ni mashabiki nyanya ambao wanaitusi Simba na kuimwagia lawama. Jambo moja la kujua ni kwamba jana Simba Sc kapambana kiume, tofauti na wengi walovyotabiri kwamba...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba fanyeni usajili wa wachezaji watakaowavusha zaidi ya hapo, vinginevyo wimbo utabaki kuwa ule ule miaka yote

    Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba na wachambuzi wakiipongeza simba kuwa pamoja na kutolewa na whydad lakini wamejitahidi. Ikumbukwe kwenye hatua ya robo fainali akunaga cha kujtahidi kinachoangaliwa ni kuvuka kwenda hatua inayofata ya nusu fainali aijalishi umevukaje, na mafanikio yako...
  16. JamiiForums Tanzania Sina Deni na Wachezaji wa Simba SC hata kama Kapombe na Chama Wamekosa Penati zao

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
  17. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba SC Robertinho akisajiliwa Wachezaji Majembe Msimu ujao Simba SC inafika Fainali CAFCL

    Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa. Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera...
  18. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tusipoenda Kuwapokea Wachezaji wakirejea kutoka Morocco tutawakosea sana

    Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90. Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine...
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja na Kutolewa ila Simba SC imeiheshimisha nchi Waitwe Bungeni Kushukuriwa

    Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa. Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Zama za kufungwa goli nyingi kwa Simba na timu za waarabu tumezizika rasmi. Kumwembe ukubali ukweli huu

    "Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele” Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…