simba

  1. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Simba na Coastal Union kesho Juni 9, 2023

    Kesho Coastal Union anahitaji kushinda ili aepuke kucheza playoff. Simba anahitaji sana mshambuliaji wake Ntibazonkiza awe mfungaji bora wa ligi. Basi matokeo ya kesho Coastal anashinda lakini Ntibazonkiza anafunga si chini ya goli mbili. Kwa hiyo matokeo ya kesho Coastal anashinda 3-2.
  2. JamiiForums Tanzania Watoto wangu Sina nguvu tena za kuua Simba

    Ni mchezo wa kitoto unanikumbusha mbali sana. kwa wale tuliosoma pwani vijijini tukisomea mtini madarasa hayapo mlango na dirisha vyote sawa lakini bado tulikuwa na adabu ya kuomba ruhusa kwa mwalimu. Najaribu kuangalia kizazi kilicholelewa kwauadilifu mkubwa leo hii kikiongoza kwa kutenda...
  3. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE:Yanga wana mlima, Simba inahitaji kusafisha haswa

    GHAFLA tu Yanga imejipeleka katika maji marefu. Yanga wamefika katika fainali ya kombe la Shirikisho na hii ina maana kwamba msimu ujao lengo lao kubwa linakuwa kutwaa ubingwa. Ubingwa upi? Ndio swali la kwanza la msimu. Msimu ujao watakuwa katika michuano ya Ligi ya mabingwa. Kwa namna ambavyo...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga wakipata Philip Kizumbi na Kipre Junior watakuwa wamefaidika sana

    Ningepata nafasi ya kuwashauri Yanga kuhusu usajili ningewambia watafute mawinga wazuri zaidi ambao wanajua ku dribble, wana speed na pia ni wazuri kwa kutoa pass. Moloko ni mzuri some time kwa kutoa pass na speed lakini hajui ku dribble, na ni lazima winga awe mzuri pia kwa ku dribble kama...
  5. JamiiForums Tanzania Nilijua anakuja kwetu Simba kweli sisi ni mambumbumbu

    Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a Simba Guvu moya
  6. JamiiForums Tanzania CAF watalifuta goli la ugenini endapo Al Ahly ataonja uchungu kwa kutolewa na Wydad Casablanca kwa goli la ugenini

    Jambo wanamichezo na wadau wa football kwa ujumla, NALIA NGWENA the great thinker, mkombozi wa fikra mpya kama mnavyoniita Wanajamiiforums wenye upendo wa dhati, leo naleta hoja kidogo kuhusu goli la ugenini katika michuano ya CAF. Kwa kweli goli la ugenini linaumiza sana, tena sana, lakini...
  7. JamiiForums Tanzania FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

    Ratiba imebadilishwa mechi inachezwa saa 12 jioni
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe simba sc ushamba walianza kitambo

    Hawa mabwana walianza kujiita QUEENS baadae ikaonekana kuwa siyo vyema timu yenye wachezaji wa kiume kuitwa QUEENS Wakaja wakajiita SUNDERLAND jina la mji mmoja huko UINGEREZA baadae ikaonekana haileti uhalisia ndipo wakajiita SIMBA DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS toka KITAMBO HICHO jina lao hilo...
  9. JamiiForums Tanzania CAF CL 2023/2023 Yanga anaazimia kwenda kufyeka kichaka pekee cha karanga Simba alichobaki nacho CAF CL

    Kwa sasa Simba amebaki kujificha nyuma ya Wydad, AlAhyl na "wakubwa" wengine kulingana na kamusi yake binafsi Ukimbana kidogo kwenye kanyampasira, utasikia "mpaka mcheze siuji na Wydad, sijui Al Ahyl sijui Raja...." Utafikiri Hawa hawafungiki Sasa Yanga ashaonja damu na hatoacha, Waarabu...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi pesa za magoli ya Simba na Yanga zilipitishwa kwenye bajeti ipi?

    Je, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi Wasafi FM inapendwa na wana Yanga na EFM Radio inapendwa na wana Simba

    Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili...
  12. JamiiForums Tanzania Simba acheni wivu kuona Yanga inapongezwa kila kona na kualikwa Ikulu

    Wana Simba a.k.a Lunyasi kila kitabu na zama zake. Huu ni mwaka wa Yanga, wamefanya vizuri mno. Sisi ni Watanzania, kiu yetu nikuona timu zetu zinafanikiwa kwenye uso wa ndani na kimataifa. Nimeshangaa kuona nyuzi za chuki wazi wazi zikitoka humu. Jamani kwanini roho mbaya hivyo? Simba imewahi...
  13. JamiiForums Tanzania Sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakivaa jezi ya Simba SC msimu ujao timua wote

    Simba SC imejaa wachezaji mizigo, mimi kama mwanachama, shabiki na mpenzi wa Simba SC sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakiendelea kuvaa jezi yetu pale Simba. 1. Ottara 2. Onyango 3. Bocco 4. Kapama 5. Kyombo 6. Saido (mchezaji mzuri umri unamtupa) 7. Okwa 8. Akpan 9. Sawadogo 10. Mangungu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga kucheza tena Fainali sio baada ya miaka 10 bali ni miaka 88 ijayo

    Wadau nichukue nafasi hii kuipongeza Klabu ya Yanga kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho mwaka huu 2023 ikiwa ni miaka 88 toka Klabu ianzishwe. Miaka 88 sio muda mfupi ni muda mrefu sana. Kuna Shabiki mmoja ametabiri kuwa labda itacheza baada ya miaka 10 lakini mimi ninampinga sana...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi Simba Imeachana na Augustine Okrah

    KWAHERI AUGUSTINE OKRAH Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah 🇬🇭 baada ya kumalizika mkataba wake ndani ya klabu na mchezaji hataongezewa mkataba mpya.
  16. JamiiForums Tanzania Salamu toka Kwa Shabiki wa Simba, Simba ijifunze kwa Yanga

    Binafsi nikiri wazi mbali ya kujaribu kuponda mafanikio ya watani zetu Yanga kwa ajili tu ya uhasimu tulionao, lakini nina uhakika sisi kama wanasimba na wanamichezo wapenda mpira wa miguu mioyoni mwetu tumeona na kukiri Yanga walivyofanikiwa. Tubeze kwa sababu ya ubinadamu wetu na utani na...
  17. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Simba walitolewa na Jwaneng Galaxy kwa matokeo ya jumla ya 3-3

    Kejeli dhidi ya mafanikio ya Simba ya zinakuwaga kubwa halafu pale upande wa pili wanapofikia mafaniko hayo au wanapopata changamoto fulani ambayo Simba waliwahi kupitia ndiyo fahamu zinawajia wanasahau yale waliyowahi kubwabwaja. Msimu uliopita katika mashindano ya Champions League hatua ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba kwenye sajili za kimataifa

    ipo hivi nisiwachoshe kihivyo.. simba ni timu kubwa sana Africa kwa sasa hata hivyo kwa sasa timu hii inakabiliwa na changamoto ya kuwa na wachezaji walio chini ya kiwango huu ni ushauri wangu wa jumla. tujifunze kutoka yanga tusione aibu wenzetu wamefanya maajabu makubwa kwenye mashindano ya...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga imetoa funzo kubwa kwa Simba na wengineo. Italiandika tena kwenye msimu ujao wa Klabu Bingwa?

    Mwanzo mwanzoni nitamke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga tangu utoto wangu. Lakini, kila ninapotazama mechi ya mpira(nilianza kufuatilia tangu miaka ya 90), huwa nauweka ushabiki wangu pembeni. Daima huwa naitazama mechi kiufundi na kunasa cha kuondoka nacho, achilia mbali matokeo. Huwa...
  20. JamiiForums Tanzania CAF: Yanga imekufa kiume lakini Simba imeuawa na wanaume.

    Wakati Simba ikiwa imeuawa na wanaume Yanga imeonyesha maana halisi ya kufa kiume. Simba wamefia uvunguni mwa kitanda wakati Yanga imefia juu ya kitanda.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…