Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC
Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili...
Wana Simba a.k.a Lunyasi kila kitabu na zama zake. Huu ni mwaka wa Yanga, wamefanya vizuri mno. Sisi ni Watanzania, kiu yetu nikuona timu zetu zinafanikiwa kwenye uso wa ndani na kimataifa.
Nimeshangaa kuona nyuzi za chuki wazi wazi zikitoka humu. Jamani kwanini roho mbaya hivyo? Simba imewahi...
Wadau nichukue nafasi hii kuipongeza Klabu ya Yanga kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho mwaka huu 2023 ikiwa ni miaka 88 toka Klabu ianzishwe. Miaka 88 sio muda mfupi ni muda mrefu sana.
Kuna Shabiki mmoja ametabiri kuwa labda itacheza baada ya miaka 10 lakini mimi ninampinga sana...
KWAHERI AUGUSTINE OKRAH
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah 🇬🇭 baada ya kumalizika mkataba wake ndani ya klabu na mchezaji hataongezewa mkataba mpya.
Binafsi nikiri wazi mbali ya kujaribu kuponda mafanikio ya watani zetu Yanga kwa ajili tu ya uhasimu tulionao, lakini nina uhakika sisi kama wanasimba na wanamichezo wapenda mpira wa miguu mioyoni mwetu tumeona na kukiri Yanga walivyofanikiwa.
Tubeze kwa sababu ya ubinadamu wetu na utani na...
Kejeli dhidi ya mafanikio ya Simba ya zinakuwaga kubwa halafu pale upande wa pili wanapofikia mafaniko hayo au wanapopata changamoto fulani ambayo Simba waliwahi kupitia ndiyo fahamu zinawajia wanasahau yale waliyowahi kubwabwaja.
Msimu uliopita katika mashindano ya Champions League hatua ya...
ipo hivi nisiwachoshe kihivyo..
simba ni timu kubwa sana Africa kwa sasa hata hivyo kwa sasa timu hii inakabiliwa na changamoto ya kuwa na wachezaji walio chini ya kiwango huu ni ushauri wangu wa jumla.
tujifunze kutoka yanga tusione aibu wenzetu wamefanya maajabu makubwa kwenye mashindano ya...
Mwanzo mwanzoni nitamke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga tangu utoto wangu. Lakini, kila ninapotazama mechi ya mpira(nilianza kufuatilia tangu miaka ya 90), huwa nauweka ushabiki wangu pembeni.
Daima huwa naitazama mechi kiufundi na kunasa cha kuondoka nacho, achilia mbali matokeo. Huwa...
Wakati Simba ikiwa imeuawa na wanaume Yanga imeonyesha maana halisi ya kufa kiume. Simba wamefia uvunguni mwa kitanda wakati Yanga imefia juu ya kitanda.
Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF.
Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0
Mashabiki walisononeka sana wakaisusa timu yao. Kikosi kikaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano...
Baada ya ubishani wa watani wa Jadi kupamba moto kuhusu timu ipi hasa imeshawahi kucheza Fainali ya Michuano ya Afrika. Wadau mbalimbali wanaibuka kutoa uthibitisho kutetea hoja zao.
Mashabiki wa Simba wameleta video hii ya Tundu Lissu akifafanua kuhusu mwaka 1993 kwenda uwanjani kushuhudia...
Wakati Yanga wakiendelea kutafuta mchawi aliyesababisha wakapigwa na USMA wikendi iliyopita, baadhi ya mashabiki wao wameanza kuwashutumu baadhi ya watendaji wao kwa usaliti kisa kuvaa nguo zenye rangi nyekundu na nyeupe.
Katika jambo lililoshangaza wengi, siku ya mechi ya USMA kocha mkuu wa...
Klabu ya Simba leo imemtangaza Patrick Rweyemamu kuwa Mkuu wa Programu za Vijana wa Simba wakati Selemani Matola akitangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu za Vijana U-17 na U-20.
Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amesema Simba imedhamiria kuimarisha timu zake za vijana akiamini huo ndio utaratibu...
MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi yangu inahusu simba, mfalme wa wanyama, na nyani, mshauri wake. Hadithi yangu inatokea katika hifadhi ya...
Augustine Okrah na Simba wamefikia makubaliano ya kuachana mwishoni mwa msimu huu, imethibitishwa. 🚨🇬🇭
Okrah alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba wenye kipengele cha kuongezwa zaidi.
Mambo hayakwenda sawa kama ilivyopangwa kwa hivyo pande zote mbili zimeamua kuachana.
Hivyo, msimu ujao...
Kwa yanayoendelea sasa kwenye mpira wetu ni ujinga na upumbavu mkubwa kuoneshwa na wapenda maendeleo ya michezo hususan huu mchezo pendwa wa mpira wa miguu.
Ndani ya siku tatu kumekuwa na matukio yasiyo ya kuvutia kwa wanamichezo wa kweli. Lilianza la Ali kamwe kumshambulia kwa maneno ya kejeli...
Tafadhali kama huyo Mchezaji wako Nassoro Kapama kakupa Pesa ili Umfagilie na asiachwe na Simba SC acha mara moja au anzisha Timu yako ya Mpira wa Miguu kisha Msajili katika Timy yako akufanyie Kazi sawa?
Tena GENTAMYCINE nikuchane Mubashara hapa hapa JamiiForums kuwa kama kuna mchezaji mbovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.