Leo viungo wa Ruvu Shooting Shabani Msalla na Zubery Dabi waliwatawala sana simba na kuwapoteza haswa kwenye nafasi ya kiungo,sijawahi kuona simba ikipotea eneo la kiungo kwa dakika 90 zote.
Kocha akamtoa Bocco na kumuingiza Mzamiru Yassin ili kuweza kuwazuia viungo hawa wawili waliokuwa...