Coach Fadlu: Simba hii haivutii kuitazama ikicheza

Coach Fadlu: Simba hii haivutii kuitazama ikicheza

Voltaire

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
1,964
Reaction score
2,190
Frankly speaking, mimi kama shabiki wa Simba,naona kabisa tunapoelekea na aina ya uchezaji wa team ni ngumu sana kwenye mechi za Champions league baada ya makundi!(Kama tutapita).

Tuna expect kukutana na Mamelodi,Ahly,Esperance,Wydad na berkane!

Hakuna muunganiko kuanzia nyuma kuja katikati na forwards,ule unyumbulifu umekosekana (Ule wa Aussems) ndio maana hata wachezaji wazuri mathalani Mpanzu anakosa flow nzuri kuanzia nyuma inabidi aanze kukokotea mpira mbali kusogea kwa mpinzani.

Hii issue ilionekana kuanzia mwanzoni kabisa mwa msimu ila ilifunikwa na matokeo ya CAFCC!
Tatizo limeendelea, tukiamini anajenga team.

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Ushauri:
Coach atakuwa na report na mapendekezo ya maingizo mapya,sawa team itachanika kumpa anachokitaka, ila uongozi wa Simba lazma uelewe, team imepoteza falsafa yake ya kucheza mpira mzuri wenye flow ya kasi kama wenzetu walivyoweza kufanya ,wazungumze na coach kuhusu hilo na kulifanyia kazi,otherwise waachane nae kwani mpira ni matokeo na burudani!

Poleni wana Simba,Yanga wameonesha ubora zaidi yetu, wanastahili pongezi!
 
Simba ameaibishwa sana misimu hii kadhaa.Mashabiki wa simba wameumizwa sana na mwenendo wa timu hasa kufungwa fungwa na Yanga kirahisi.
Na bado uongozi wa Simba haupo sawa.
 
Mkuu mimi nilishawahi kuanzisha thread kuhusu kocha fadhlu ngoja nikutagi ili viongozi waone uozo wa kocha kilaza Dortmund walifukuza kocha japokuwa amefika final lakini hata inter Milan imefukuza kocha licha ya kufika final simba wasijifiche kwenye kichaka hicho .
 
Simba ameaibishwa sana misimu hii kadhaa.Mashabiki wa simba wameumizwa sana na mwenendo wa timu hasa kufungwa fungwa na Yanga kirahisi.
Na bado uongozi wa Simba haupo sawa.
 
Simba ameaibishwa sana misimu hii kadhaa.Mashabiki wa simba wameumizwa sana na mwenendo wa timu hasa kufungwa fungwa na Yanga kirahisi.
Na bado uongozi wa Simba haupo sawa.
 
Back
Top Bottom