simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya sasa wana Simba SC wenzangu bahati hii imekuja, tafadhali tuitumieni na tuachane rasmi sasa na Tajiri Mo Dewji ambaye anatupotezea tu muda

    Taarifa zilizonifikia ni kwamba Kampuni Tajiri ya DP WORLD inataka Kuidhamini Simba SC na kuichukua kwa 49% tu.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC bado tu mnataka GENTAMYCINE niendelee kuwaambia kuwa Mo Dewji hatufai na atuachie Timu au sasa mmeshanielewa?

    Wiki hii hii niliandika Uzi hapa kusema kuwa tunamuonea zaidi Mangungu ila kama kuna Mtu HATARI zaidi Simba SC na ndiyo ANATUUMIZA mno kila tukikutana na Yanga SC kuwa ni Salim Abdallah Mhene 'Try Again" nikaishia Kudhihakiwa na hata Kutukanwa. Na katika Uzi huo huo pia nikasema wazi wazi kuwa...
  3. Labani og

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumekucha: Simba mivurugano bado inaendelea

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wana Simba SC mnaodhani kutopata Ushindi mara 5 dhidi ya Yanga SC ni Kufeli angalieni na Wao walichokipitia Kwetu kisha mbadilike tugange yajayo

    Wana Yanga SC wasiwanyimeni Amani na Raha huku Wakiwadanganya kuwa ni Sisi tu ndiyo hatupata Ushindi dhidi yao kwa mara tano mfululizo bali hata Wao kuna miaka Walisota mno kutufunga Simba SC na Ushindi wao Kwetu ulikuwa ni Sare tu ila Vichapo walivichezea na viliwakuta sana tu.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    Mtasema yote au tutasema yote sijui mara Mangungu mara try again mara tajiri kibyongo Mo Dewji mara rafiki yangu na mtani wangu wa Kiha Kocha Matola mara sijui Mtani wangu mwingine wa Kihaya Meneja Rweymamu mara Wajumbe Poti wangu kutoka Kwetu kwa Wanaume wa Shoka Mkoani Mara (Musoma) Magori...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mwana Simba SC anayejificha katika hiki Kivuli jua hana Akili na ukimmudu mzabe kabisa cha Kibao cha Kutukuka akome....

    Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo. Pumbavu Wahed zenu wenye hii Fikra hivi ukiwa kabisa na Akil Timamu Kichwani utaweza kulinganisha Mafanikio ya Real Madrid ya...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiwa namsema Mo Dewji kuwa ni Samjo Samjo (Muongo Muongo) na hatufai Simba SC bali anapiga tu Hela naambiwa namchukia na Mimi ni Yanga

    Mchome nakubaliana nawe kwa 100% zote.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

    Wakuu! Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC. Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania MO Dewji: Tangu mwaka 2018 nimewekeza Bilioni 87 Simba SC

    Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), amesema dhamira yake ya kuijenga Simba kuwa klabu bora barani Afrika haijabadilika, huku akibainisha kuwa tayari amewekeza zaidi ya Sh bilioni 87 ndani ya klabu hiyo tangu mwaka 2017. Akizungumza kwa njia ya video leo jijini Dar es...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuingia uwanjani na jeneza ni kumbukumbu ambayo itaendelea kuwatesa mioyoni mwao – historia haifutiki

    1. Tukio la Simba SC kuingia uwanjani na jeneza ni kumbukumbu ambayo itaendelea kuwatesa mioyoni mwao – historia haifutiki. 2. Waliingia kwa mbwembwe, jeneza juu ya mabega – lakini kilichowasubiri uwanjani ndicho kilichowachoma zaidi. 3. Jeneza walilobeba halikuwazika wapinzani, bali...
  12. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC Wanajikaanga Wenyewe Kama Mkia wa Kondoo kwenye sufuria la moto

    Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu: kushindwa kwa mipango ya usajili, kukosekana kwa mwelekeo wa kiufundi, na viongozi wanaozunguka...
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa mbeba maono wa Simba SC kuelekea msimu ujao 2025/26

    Wakuu, Ngungu kama ngungu, maono ya simba sc yamebebwa na huyu mwamba, ukimuangalia tu kwa jicho la kawaida unaona kabisa ni tapeli pamoja na jopo lake lote. Nadiriki kusema, kama huyu mwamba pamoja na jopo lake hawatong’atuka simba sc, ni vilio tena. Kwanza wapinzani wao wanawamudu. Kugungwa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Na Wewe pia unaondoka lini Simba SC Kwetu kwani licha kwamba una Nuksi Isiyotibika kwa Mizimu yote lakini binafsi nakujua Wewe ni mwana Yanga SC 100%

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu huyu anayetoa Siri za Wachezaji wazuri wanaotakiwa na Simba SC kwa Yanga SC ndiyo huyu huyu anayetumiiza kwa Yanga SC kila tukikutana nao

    Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo Dewji anamuamini 100% japo ameshaonywa mno tu juu yake ambaye ni Salim Abdallah Mhene 'Try Agai' Wewe...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Clatous Chama juzi tu 'Kuinanga' na 'Kuikoga' Simba SC baada ya Yanga SC kubeba Vikombe lukuki, ila Ndoa yake na Yanga SC imeisha rasmi

    Ila ninavyokujua unavyopapenda Dar es Salaam hasa lile Chimbo lako la Mbezi Beach (BK) ninajua tu utabakia Tanzania.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
  18. Labani og

    JamiiForums Tanzania Yanga yapendekeza kucheza na Simba kwenye Yanga day

    YANGA WATUMA MAOMBI SIMBA KUCHEZA NAO SIKU YA MWANANCHI Afisa habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema wanatafuta timu nzuri ya kucheza nayo katika kilele cha wiki ya wananchi, Kamwe amesema kwakuwa kipindi cha matamasha ya wiki ya wananchi na Simba day itakuwa ngumu kupata timu za kucheza nazo basi...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Emil Mpanzu kwa Upuuzi ulioko Simba SC nakushauri kwa hizi Timu tatu kubwa ambazo zimeleta Ofa Kwako nenda na usibaki Simba SC kwani unapoteza muda tu

    Hizi ndizo Timu tatu ambazo tayari zimeshaonyesha Nia ya Kumsajili Mchezaji Emil Mpanzu tena kwa Fedha nono sana.... 1. KRC Genk 2. Brest FC 3. RS Berkane Ila Mimi kama GENTAMYCINE mwenye Jicho la USHAURI na kuona mbali kama Ndege Tai nakushauri uende KRC Genk ok?
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nasikia mnataka kuwaacha Nahodha Zimbwe Jr na Kapombe. Kwa Kapombe nawaunga mkono ila kwa Nahodha Zimbwe nakataa 100%

    Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo. Ngojeni leo...
Back
Top Bottom