simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpepetaji

    SI KWELI Simba imethibitisha Murtaza Mangungu kung'atuka kwenye uongozi Simba SC

  2. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC tumeshaanza 'Kupigishgana Shoti' halafu mwisho wa siku Yanga SC anakuwa Bingwa na tunabaki na Ubingwa wetu wa kuwa namba Nne CAF RANKS

    𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦: Simba wako kwenye mazungumzo na kiungo wa Bravos do Maquis ya Angola,Higino Epalanga Kapitango (22). Kiungo huyo anasifika kwa upigaji pasi mzuri na magoli ya mbali. Chanzo: Baraka 255 Tunaoujua vyema Mpira wa Kitanzania na hasa Siasa zake za ndani GENTAMYCINE tayari kuna...
  3. Waufukweni

    Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

    Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake. Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo: MAKIPA: Aishi Manula...
  4. GENTAMYCINE

    Naomba kujua pamoja na Yanga SC kuchukua Vikombe vitatu kwa Msimu huu je, mpaka sasa katika Viwango vya CAF ipo ya ngapi kulinganisha na Simba SC?

    Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
  5. GENTAMYCINE

    Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  6. GENTAMYCINE

    Mangungu tayari uliyekuwa ukimuuzia Simba SC na kila mara wana Simba SC tunalia nao keshachukua Fomu ya Ubunge Kigamboni nawe yako unaichukua lini?

    Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...
  7. GENTAMYCINE

    Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
  8. Franky Samuel

    Andiko la kwanza la Ahmed Ally baada ya Simba kufugwa, hata Madrid amefungwa EL CLASSICO 4 mfululizo

    ANDIKO LA KWANZA LA AHMED ALLY KUHUSU SIMBA YA SASA..!! . Nianze na pole kwa Wana Simba kumaliza msimu bila ubingwa katika mashindano tuliyoshiriki hususan ligi kuu ya NBC Wana Simba tuepuke presha za wanaotuaminisha tumefeli kupita kiasi Ni kweli hatujapata ubingwa lakini sote ni mashahidi...
  9. GENTAMYCINE

    GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  10. GENTAMYCINE

    Nilisikitika sana tu kuona wana Simba SC wengi wakiyadharau Maneno ya Mchezaji Obrey Chirwa kelekea Mechi yetu tuliyoadabishwa ki haki jana kwa Mkapa

    Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
  11. M

    Simba imesababisha watu wapoteze ajira zao, gharama za kuleta marefa wa nje, hasara kwa Azam tv na mashabiki na bado imecheza mpira mbovu sana

    Habari wadau. Ukweli simba ya msimu huu ilipaswa wachezaji wote na viongozi wachapwe viboko. 1. Simba kugoma tarehe 8 kwa sababu ya kipuuzi ya mazoezi ya nusu saa, imesababisha ma bosi wa bodi ya ligi wamejiuzulu. Wazee wa watu wamepoteza ajira yao. Watoto wao wanateseka sababu baba hana kazi...
  12. Voltaire

    Coach Fadlu: Simba hii haivutii kuitazama ikicheza

    Frankly speaking, mimi kama shabiki wa Simba,naona kabisa tunapoelekea na aina ya uchezaji wa team ni ngumu sana kwenye mechi za Champions league baada ya makundi!(Kama tutapita). Tuna expect kukutana na Mamelodi,Ahly,Esperance,Wydad na berkane! Hakuna muunganiko kuanzia nyuma kuja katikati na...
  13. M

    Kipigo cha 5 mfululizo dhidi ya Simba kinatoa majibu Yanga ni timu bora kwa sasa na sio vinginevyo!

    Ni ngumu sana kutegemea propaganda kukuvusha badala ya kufanya usajili Bora na makini, Ni ngumu sana kutegemea waandishi machawa kukufanyia promo kwamba timu yako ni Bora wakati wanakupoteza! Na auwezi kuukwepa ukweli kwamba yanga ni Bora dhidi yako kwasababu amakupiga mechi 5 mfululizo Tena...
  14. Waufukweni

    Kabla ya mchezo wa Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote kupimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni

    Inaelezwa kuwa kabla ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote mbili watapimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni. Ikumbukwe kuna mwaka Jana, kuna video ambayo ilizua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano...
  15. Eli Cohen

    Simba wathibitisha kupeleka timu uwanjani

    Simba imemaliza utata wa Dabi ya Kariakoo baada ya kuweka taarifa za kuwa tayari kucheza mchezo huo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Simba ilikua kimya kwa muda mrefu kuhusu mchezo huo, hali ambayo iliibua maswali kwa mashabiki wengi waliokuwa wanataka kufahamu msimamo wa timu hiyo...
  16. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC Wenzangu hapa JF hivi huyu Shabiki Mandala siyo 'Pancha' kweli?

    Kila Siku ninavyozidi kumtizama katika Mitandao mbali mbali naona kama vile simwelewi na kama vile ni Pancha Kubwa.
  17. Bueno

    Leo Ndio 25.06.2025 Leo Ndio ile Siku Simba SC anaenda Kukichapa na Yanga. Je! Watacheza?

    Ya Ngoswe tumwachie Ngoswe. Leo ndio siku ile iliyokua inasuburiwa kwa hamu na Wadau na Mashabiki wa timu hizi mbili, hapa naizungumzia Dabi ndio ni Dabi ya Kariakoo, huku Simba SC kule Yanga SC nani atamtwanga mwenzie siku ya leo? Je! Ni kweli leo Simba SC hawataingiza timu yao uwanjani yaani...
  18. Muimba SINGELI

    Utabiri kwa picha: Kesho Simba tunapoteza kwa goli 2

    Nitaifaangalia mpira nikiwa home Mechi itaanza kwa kasi sana kiasi cha mabanda umiza kulipuka kwa change. Wale wana yanga wenye roho nyepesi wanaofatilia mchezo kupitia redio hali itakuwa mbaya sana kwao. Wale ambao walishaisusa hii mechi kutokana na kuwa na mazonge mengi wataendelea na...
  19. GENTAMYCINE

    Kama mlikuwa mnatuchukulia Simba SC poa poa nadhani kwa hiki kidogo tulichowafanyia leo ndiyo mtajua hutukukosea kuja na Msemo wa UBAYA UBWELA

    “Tumejaribu kuwapigia simu Simba Sc kuja kwenye Press lakini hatuwapati, kwakuwa hili ni jambo la kanuni hatuwezi kukaa muda wote kuisubiri timu, tuendelee na ratiba nyengine taarifa zaidi tutatoa kwa kurasa zetu” – Karim Boimanda – Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Chanzo: East Africa TV dakika 30...
  20. Holoholo

    Full Time: Simba SC 1 - 0 Kagera Sugar FC || NBC PL || KMC COMPLEX || 22.06.2025

    Wakuu Simba mnyama leo majira ya saa kumi kamili kwa saa za Africa masharki watashuka dimbani uwanja wa manispaa ya Kinondoni kuwakaribisha matajiri wa sukari mkoani Kagera, Kagera Sugar FC kunako ligi kuu ya NBC Ikumbukwe kuwa Kagera Sugar tayari ameshuka daraja,huku Simba akipigania pointi...
Back
Top Bottom