simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Klabu ya Simba mna maswali ya kujibu, michango ya Ujenzi wa Uwanja imeshia wapi?

    Desemba 17, 2021, Klabu ya Simba ilizindua kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja wao uliopo Bunju, Dar es Salaam. Malengo ni kujenga uwanja wenye uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 30,000. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba kwa wakati huo, Barbara Gonzalez, ndiye aliyekuwa akizungumza zaidi siku...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ilivyotolewa Juzi mliicheka je, ni lini mtaanza Kuwacheka Timu Kubwa Raja Casablanca FC nayo kwa Kutolewa?

    Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

    Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Beki wa Kimataifa Henock Inonga atumike kama 'Blueprint' ya Usajili wa Wachezaji wa Kimataifa wa Simba SC kwa Msimu ujao

    GENTAMYCINE nataka Wachezaji wote wapya wa Kigeni watakaosajiliwa na Simba SC kwa Msimu ujao wawe na Sifa Kuu hizi zifuatazo za Mchezaji Henock Inonga..... 1. Kujiamini mno Uwanjani 2. Uwezo mkubwa sana 3. Control ya uhakika muda wote 4. Akili nyingi Uwanjani 5. Mwenye Ari ya Upambanaji 6...
  5. McCord

    JamiiForums Tanzania Simba Sc kapambana kiume, kutolewa na Wydad ni suala la kiufundi zaidi.

    Hello fellas! Baada ya safari ya Simba Sc kuishia mbele ya Wydad wamekuja watu wengi ambao hawaufahamu mpira vizuri au labda ni mashabiki nyanya ambao wanaitusi Simba na kuimwagia lawama. Jambo moja la kujua ni kwamba jana Simba Sc kapambana kiume, tofauti na wengi walovyotabiri kwamba...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sina Deni na Wachezaji wa Simba SC hata kama Kapombe na Chama Wamekosa Penati zao

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba SC Robertinho akisajiliwa Wachezaji Majembe Msimu ujao Simba SC inafika Fainali CAFCL

    Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa. Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tusipoenda Kuwapokea Wachezaji wakirejea kutoka Morocco tutawakosea sana

    Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90. Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Kutolewa ila Simba SC imeiheshimisha nchi Waitwe Bungeni Kushukuriwa

    Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa. Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
  10. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Uongozi Simba SC waapa kuandika rekodi Afrika

    Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
  11. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Simba sc ni klabu madhubuti ya mfano wa kuigwa nchini Tanzania

    NALIA NGWENA the big fan of Simba sc (shabiki Lia Lia). Nimeona itakuwa siyo desturi/ utamaduni mzuri Kama sijaimwagia/ kuipa maua yake Simba sc. Hakika inastahili kupewa maua yake tusisubiri mpaka wayada Casablanca aharibu hali ya hewa. Hizi ndiyo sababu kuntu/maridhawa NALIA NGWENA mpaka...
  12. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mratibu Simba SC Abbas na Msemaji nimeambiwa mnanisoma mno hapa haya nifikishieni Usiku huu Ujumbe wangu kwa Kocha Robertino

    Mwambieni GENTAMYCINE namkubali sana na mno ila kwa Umuhimu wa Tukio Takatifu la Kesho huko Morocco naomba aanze na Moses Phiri badala ya Saido Ntibanzonkiza. Halafu ikimpendeza Kipindi cha Pili afungue Busta zote kwa Kuwaingiza Sakho Kulia na Okra kama yuko Fiti upande wa Kushoto ili...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Simba SC kufungwa goli 2 - 1 na Wydad

    Mpaka sasa nje ya uwanja Wydad anaongoza mbili kwa moja, ngoja tusubiri ndani ya uwanja tuone mambo yatakuwaje.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

    Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika. Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa Simba SC wakitumia Low Block na Counter Attack Wydad Casablanca FC anatupeleka Semi Finals CAFCL

    Nami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals? Karibuni...
  17. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Najiandaa kuwa mwanachama mtiifu wa Simba SC baada ya mechi hapo Ijumaa

    Kama Simba Sc itafuzu kwenda nusu Fainali hapo Ijumaa basi mimi kwa utashi wangu mwenyewe nitaenda mitaa ya msimbazi kukabidhi kadi yangu ya YANGA (klabu yangu pendwa)na kuchukua rasmi kadi ya SIMBA SC. 1. Nitahakikisha nalipa Ada yangu ya uanachama kwa uaminifu mkubwa mno 2. Nitachangia...
  18. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Simba Sc tuna mengi ya kujifunza kutoka Yanga

    Kwanza nikiri kwamba nitazungumza bila unafiki na kwa nia ya dhati kabisa naomba nitoe mtazamo wangu kwamba tukiwa kama moja ya klabu inayokuja kwa kasi nadhani wanasimba tuna mengi ya kujifuñza kutoka kwa watani zetu Young Africans wanaofanya vizuri nyumbani na kimataifa. 1.Mpira ni uwekezaji...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Namuombea Msamaha in advance Kipa Kinda wa Simba SC Ally Salim kwa Goli nyingi atakazofungwa Morocco

    Siyo tunafungwa Goli 10 au 17 na Wydad Casablanca FC Siku ya Jumamosi tarehe 29 April, 2023 huko Kwao nchini Morocco halafu tunaanza Kumchukia na Kumlaumu Kipa Wetu Kinda ambaye nimembatiza rasmi Jina la Juma Kaseja Mpya. Sijui nitaficha wapi Sura yangu mie.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu waliwekeza muda Wao mwingi kutuombea mabaya Simba SC Jana wakati Leo wana Mlima mrefu kwa Wapopo

    Jitu linaingia Kibanda Umiza halafu Wachezaji wa Wydad Casablanca FC wanakosa Magoli linaumia kweli kweli wakati lenyewe lina Kazi kweli leo kwa Wapopo ( Wanaijeria ) ambapo nina uhakika litafungwa tu.
Back
Top Bottom