simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

    CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023. "Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya...
  2. JamiiForums Tanzania Alhamisi 50% Simba SC atafungwa au 50% atatoka Sare na Prisons FC, kwani Wachezaji Waandamizi watamchomesha Kusudi ili afukuzwe

    Kwa niliyohakikishiwa GENTAMYCINE kwa wale Wenzangu ( wana Simba SC ) nawaombeni Mechi ya Alhamisi ya Simba SC dhidi ya Prisons FC msiende na Matokeo yenu na mjiandae mapema Kisaikolojia kwani kuna Miwili Kufungwa au kutoka Sare ila Kushinda tusahau labda tu Mpango huu Usitishwe rasmi Usiku huu...
  3. JamiiForums Tanzania Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

    Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla Kundi la Kwanza Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira. Kundi la Pili...
  4. JamiiForums Tanzania FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

    Haya Sasa, Siku tuliokuwa tunaisubiria kwa hamu imetimia, Leo Tarehe 01/10/2023. Mtanange wa Round ya Pili kuwania kuingia Makundi ya Club Bingwa Afrika. Simba SC ya Tanzania dhidi ya Power Dynamos ya Zambia. Mtanange huu utaanza majira ya saa 10 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Ikumbukwe...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga SC mnatoa Saa ngapi Silaha zenu Chamazi ili nasi Simba SC tuweke zetu ili Power Dynamos FC akione cha Mtema Kuni

    au kama vipi tuelekezeni tu hii Miguu ya Fisi na Kinyesi cha Nguruwe Pori tukavitupe wapi, kwani nasi tunataka Kufukia ya Paka na Mkojo wa Chatu Jike aliyetoka Kuzaa Jana tu Msituni Bagamoyo ili angalau Weekend hii Taifa lifurahi kwa Vijana wao wa Kariakoo na tusije Kuchekana.
  6. JamiiForums Tanzania Nilichogundugua kwenye mchezo wa leo wa Simba v Coastal Union

    Ni kama Simba sc haikwenda kushinda ule mchezo ila makosa ya wachezaji baadhi yakapekekea Simba sc kuondoka na ushindi,. 1. Baleke: Nimeona magoli aliyeshinda huyu jamaa nikama vile amekaidi kitu flani na hayakuusishwa sana na msaada wa wachezaji wengine. Ni kama timu ilitaka...
  7. JamiiForums Tanzania Wewe Mchezaji Mzawa wa Simba SC uliyeiba 'Soksi' ya Mchezaji Aubin Kramo ili 'Ukamroge' mrudishie haraka sana

    Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba SC mnaonisoma GENTAMYCINE 24/7 hapa tafadhali nifikishieni hili Tamko langu Takatifu na Tukuka kwa Wachezaji wote wa Simba SC

    TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC Kutinga orodha vilabu bora Afrika

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Simba Sc na uongozi wake kiujumla kwa hatua hii kubwa. Kwa mujibu wa Orodha ya shirika linalohusika na Takwimu za kimichezo duniani IFFHS, Iliyotoka mapema jana, aimeonyesha vilabu viwili pekee kutoka Tanzania vikiwakilisha vyema. Place Last Clubs Country /...
  10. JamiiForums Tanzania Simba iombeni radhi Ngome FC

    π™π™Šπ™†π™€π™‰π™„ π™ƒπ˜Όπ˜Ώπ™ƒπ˜Όπ™π˜Όπ™‰π™„ π™ˆπ˜Όπ™†π™Šπ™‡π™Š Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu. Ombeni msamaha [emoji1666]. Cc: castor Yanga NB: how...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuseti Dream league soccer 23 Simba SC mod.

    Salaam wakuu. Kama picha inavyoonekana hapa juu, nimeseti hili game la Dream league soccer Simba SC mod vizuri lakini mwishoni kwenye hatua za kuanza kuplay linagoma na kuleta maneno Kama picha inavyoonekana hapa chini. Je, tatizo Nini wakuu? Mwenye uzoefu anipe msaadaπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
  12. JamiiForums Tanzania Simba SC achaneni na Kumtaka Simon Msuva kwani japo ni mwana Simba SC, ila ni Mnafiki na haaminiki

    Mwacheni aende tu huko kwa Marafiki zake Wakubwa akina Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC ) na wana Yanga na wala msipoteze muda Wenu kumhitaji kwani ana Sifa kuu nisiyoipenda ya Unafiki na Kutumika. Kikosi cha sasa cha Simba SC Kinatosha na Kikiaminiwa tu kina Uwezo wa kufanya Makubwa ndani...
  13. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali waambieni Wachezaji wazawa (Waswahili) waache kuwapiga Miba (Kuwaroga) Wenzao wa Kigeni

    GENTAMYCINE nimetaarifiwa na Mdau Mwenzao ( Mshirikina ) Mwenzao bila Yeye kujua aliyekuwa nae ni Mtu HATARI kwa kutafuta Taarifa Ngumu na Zilizojificha na mpaka aliko huyo Mganga Wao na Wachezaji Wenzake wote wa Simba SC, Yanga SC na hata wa Azam FC anaokwenda nao. Na huyo Mganga Wao wa...
  14. JamiiForums Tanzania FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo August 17 2023 kwa Bingwa wa ngao ya jamii Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi wakiwa na furaha ya kutoka kumshindilia mtani wake yanga kwa penati 4-1. Sasa wanageukia ligi kuu kuwakaribisha Mtibwa Sugar, WakataMiwa kunako uwanja wa manungu...
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC kufungwa mara tatu mfululizo na Yanga hii itakuwa ni fedhea

    Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo? Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia. Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.
  16. JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  17. JamiiForums Tanzania Mwakilishi wa Kampuni ya N-Card: Taarifa inayosambaa kuhusu Yanga SC kuizidi Simba SC mapato ni Uwongo

    "Moja ya Makubaliano ya Kisheria tukiingia na hivi Vilabu vya Simba na Yanga katika Matamasha yao ni kutotaja Mapato yao na hiyo Taarifa inayosambaa kuwa Sisi N-Card tumesema Yanga SC imeizidi Simba katika Mapato ya Matamasha yao ni ya Uwongo na ipuuzwe imeandikwa na Waandishi Wahuni" amesema...
  18. JamiiForums Tanzania Takwimu za Kipa mpya wa Simba SC Hussein Abel

    Mara nyingi makipa wanaonekana sana ni hawa wa timu kubwa, lakini aliyekuwa kipa wa KMC amethihirisha uwezo wake kwenye takwimu.
  19. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC Kocha Robertinho akiendelea Kutompanga Mshambuliaji Moses Phiri nitamtaja Kiongozi anayemchukia

    Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila kitu anakalishwa Benchi. Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
  20. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kuna Watu leo wataifuatilia Simba Day na Matukio yote Kiumakini kuliko hata wenye Simba SC yetu na tukio letu

    Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji Nguli, Mahiri na Gumzo Salim Kikeke, Msanii Mkubwa na Dhahabu kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…