Nilichogundugua kwenye mchezo wa leo wa Simba v Coastal Union

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Ni kama Simba sc haikwenda kushinda ule mchezo ila makosa ya wachezaji baadhi yakapekekea Simba sc kuondoka na ushindi,.

1. Baleke: Nimeona magoli aliyeshinda huyu jamaa nikama vile amekaidi kitu flani na hayakuusishwa sana na msaada wa wachezaji wengine.

Ni kama timu ilitaka kufungwa ila baleke hakuusishwa kwenye hilo swala au ameusishwa na amekaidi,.
Au hata jeuri tu aliyokuwa nayo,.

2. Mabeki wa Coastal union fc: mabeki walionyesha uzaifu mkubwa kiwango cha kushindwa Baleke kujizuia asishinde kuna wakati unawaona kabisa washambuliaji wa Simba sc kama hawahitaji kabisa kuwafunga Coastal union ila ila wanashindwa kwani mabeki wanaonyesha udhaifu mkubwa katika eneo lao.

Kuna mUda mpaka nawaza wenda hata mabeki kama hawajaambiwa kuwa hii gemu wacheze kwa namna gani,.
 
Ni kama Simba sc haikwenda kushinda ule mchezo ila makosa ya wachezaji baadhi yakapekekea simba sc kuondoka na ushindi,.

1. Baleke: Nimeona magoli aliyeshinda huyu jamaa nikama vile amekaidi kitu flani na hayakuusishwa sana na msaada wa wachezaji wengine.

Ni kama timu ilitaka kufungwa ila baleke hakuusishwa kwenye hilo swala au ameusishwa na amekaidi,.
Au hata jeuri tu aliyokuwa nayo,.

2. Mabeki wa Coastal union fc: mabeki walionyesha uzaifu mkubwa kiwango cha kushindwa Baleke kujizuia asishinde kuna wakati unawaona kabisa washambuliaji wa simba sc kama hawahitaji kabisa kuwafunga coastal union ila ila wanashindwa kwani mabeki wanaonyesha udhaifu mkubwa katika eneo lao.

Kuna mUda mpaka nawaza wenda hata mabeki kama hawajaambiwa kuwa hii gemu wacheze kwa namna gani,.
@mttupolli Una kitu utafika mbali
 
Kuna baadhi ya threads unajuta hata kwanini umesoma tena ukiwa serious kabisa.

🚮
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Beki za Coastal Union na mlinda mlango wao, wanatakiwa wajitafakari sana kutokana na ule mchezo wa jana.

Ningekuwa mimi ndiyo Mwinyi Zahera, ningemshauri yule beki aliyesababisha goli la kwanza atafute tu timu nyingine. Beki makini na anayejielewa, kamwe hawezi kufanya makosa ya aina ile. Au ndiyo yale mambo yetu ya bahasha za khaki!!!

Viungo wa kati na washambuliaji, kwa upande wao walijitahidi sana.
 
Ni kama Simba sc haikwenda kushinda ule mchezo ila makosa ya wachezaji baadhi yakapekekea Simba sc kuondoka na ushindi,.

1. Baleke: Nimeona magoli aliyeshinda huyu jamaa nikama vile amekaidi kitu flani na hayakuusishwa sana na msaada wa wachezaji wengine.

Ni kama timu ilitaka kufungwa ila baleke hakuusishwa kwenye hilo swala au ameusishwa na amekaidi,.
Au hata jeuri tu aliyokuwa nayo,.

2. Mabeki wa Coastal union fc: mabeki walionyesha uzaifu mkubwa kiwango cha kushindwa Baleke kujizuia asishinde kuna wakati unawaona kabisa washambuliaji wa Simba sc kama hawahitaji kabisa kuwafunga Coastal union ila ila wanashindwa kwani mabeki wanaonyesha udhaifu mkubwa katika eneo lao.

Kuna mUda mpaka nawaza wenda hata mabeki kama hawajaambiwa kuwa hii gemu wacheze kwa namna gani,.
Mchambuzi mpya mjini
 
Back
Top Bottom