simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Simba wameamka safari hii kushitukia mbinu za nyuma mwiko kuwejeza kwa mameneja viwanja

    Kwa Mkapa sio eneo tena la ufalme wa Simba kwa sasa. Ukifuatilia vizuri hivi karibuni amekuwa akipata matokeo kwa mbinde sana akiwa kwa Mkapa. Nakumbuka Kirumba Mwanza meneja alikuwa mzee Tegete.Simba aliteseka sana na timu za Mwanza hata akina Mbao FC walimtesa sana.Alipata ushindi kwa mbinde...
  2. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CAS yabaini Bodi ya Ligi na Simba Sc zilikula njama kuahirisha mchezo halali wa ligi

    Habari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mzee Dalali nakuheshimu sana na acha kabisa kutaka Kuwadanganya wana Simba SC kuwa sijui Yanga SC wanatuhujumu ili tufungwe Keshokutwa na Al Masry

    “Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu. Lakini nawambia tarehe 9 mwarabu atatafuta sehemu ya kupitia.”- Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Nuru imeingia kwenye mpira wa nchi hii, ushirikina lazima ufe

    "Kuna Wachezaji wengi wamekuja tumewaombea Mungu amewasaidia wanakwenda Vuzuri naimani hata Simba watafanya Vizuri, Wachezaji wakazane Kufanya mazoezi na Sisi tutakazana kuwaombea
  5. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Mechi ya Simba SC vs Al Masry SC, Japo Mchezo utakuwa Wenye ushindani ,Lawama kwa Refa kuwabeba na Penalty Simba atafuzu Nusu Fainali!

    Nakuletea Utabiri Ambao Nitauchambua kwa kutumia number vibration (Numerology) na Pia Some of the astrological Effects Za siku hiyo.. Ambavyo Vyote vinaonyesha Simba Anaweza Kufuzu Aidha kwa Matuta au Atafunga ns Kusawazisha Agg.. kuwa 2:2 Haya Tuangalie.. Numerology Analysis Tarehe ya...
  6. Bueno

    JamiiForums Tanzania Tarehe 09.04.2025 ikitokea Simba Sc amemfunga Al Masry Mods naomba nipigwe Ban ya Muda mrefu sana isiyopungua siku 3

    Ndio hivyo wakuu nimesema kwamba hio tarehe tajwa hapo juu ikitokea Simba Sc akamfunga Al Masry goli hata 1 tu ndio namaanisha goli hata 1 tu yaan hata mechi ikiisha 1-1 Mods nipigwe ban ya muda mrefu usuopungua siku 3. Kifupi tu tarehe tajwa hapo juu Simba Sc hatofunga hata goli 1 namaanisha...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Simba SC wageukia Madhabahu. Wamuomba Mtume Mwamposa "ahudhurie" mchezo wa tarehe 9/04

    Katika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025. Ameahidi kuhudhuria au kutuma wawakilishi katika mechi hiyo na atawaombea. Hongereni Simba SC kwa kuachana na Matunguli. Shikilieni hapo...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa Denis Kibu kuelekea mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry

    Rastaman Denis Kibu, Mwanangu nakukubali sana na mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nakutetea sana mitandaoni na hata mtaani. Ebwana mwanangu nakubali sana uwezo wako wa upambanaji na nguvu ulionao. Hizi ni silaha zako kuu na usiziache kamwe. Nakushauri mambo matatu ya kuacha au kubadilisha...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiniambia kuwa unawatia Moyo wana Simba SC Wajaze Uwanja Jumatano sawa, ila Kumfunga Al Masry tarehe 9 sahau sawa?

    Ni bora nichukiwe kwa kusema Ukweli na kutokuwa Mnafiki kuliko Kuwafurahisha Wapumbavu na Washamba wa Mpira.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya marudiano robo fainali send off league: Mashabiki wa Al Masry tukutane hapa

    Sisi mashabiki wa tjmu yetu ya Madrassa ya Al Masry tukutane hapa tukiichagiza mechi ya marudiano.
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia na RC wa Tabora, Paul Chacha kuwa wageni maalum kwenye mechi ya Simba SC dhidi ya Al Masry

    Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwana Simba SC anayeamini kabisa kuwa Simba SC ya Jana Misri itaifunga Al Masry Goli 3 na Kufuzu CAFCCSF awahi sasa Hospitali ya Wendawazimu akatibiwe

    Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Napata wasiwasi Yanga wanaweza kuchukua kombe mara ya 4 mfululizo, Simba hatupo serious kwenye usajili, usimamizi wa fedha na siasa za mpira

    Leo nimeangalia mechi ya Yanga nikitarajia kuwepo na upinzani mkali baada ya sakata lilotokea siku chache zilizopita nikitegemea Tabora watadraw au kushinda nikiwa na shauku ya Simba kurudi kileleni. Nilichokiona wanachokifanya Yanga nimejikuta napata wasiwasi na hofu, Yanga ame dominate vibaya...
  14. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Simba SC, Sisi Yanga tulifika fainali , Nadhani nyie habari yenu imeishia Misri, what a shame

    Mpira ni TECHNICO kama kwenye Vita. SSC ameingia uwanjani with bad technic , kitendo cha kufunguka pale MISRI na kujizolea possession ya 59% ….. ni failure ya technique na kumdharau adui. Hakuna timu iliyofungwà zaidi ya goli moja except SSC. Ni kama kocha hana expérience na Hii michuano. Ni...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sababu za Simba kufungwa na Al Masry

    Leo tumeshuhudia mechi nzuri ya kiufundi huku Simba alipigwa goli 2 bila kwenye mashindano ya shirikisho 1. Kuchezesha goal keeper Mousa Camara. Simba ina walinda mlango 4. Kwanini coach Fadlu ame opt kmtumia Camara ambaye alikuwa na majeraha, angekuwa timamu asingefungwa magoli mepesi 2...
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Wilson Oruma awatia gundu Simba SC huko Misri

    Mimi nilijua tokea awali kuwa makolo hawawezi kutoboa katika ardhi ya firaun , hasa baada ya kumlipia tiketi ya ndege pamoja na malazi, mchambuzi mwenye njaa na makasiriko ya Yanga sc , ndugu wilson oruma a.k.a ngiri boy
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

    Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika. Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku 🏟️ New Suez Stadium Kaa karibu kwa Live updates Vikosi vya timu zote (Team news) Mechi imeanza 4' Mashambulizi kwa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC ya Kimataifa kushuka dimbani kuikabili Al Masry Aprili 2, Misri

    Kikosi cha Simba Sc kitamenyana na Al Masry katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kesho saa 1 Jioni nchini Misri katika dimba la New Suez. Mechi hiyo ikiwa ni mechi ya kwanza ugenini nchini Misri, Mechi ya marudiano itakuwa Aprili 9, 2025 hatua ya robo fainali katika dimba la Benjamin Mkapa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

    Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025. Soma: Bodi...
  20. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Medali iliyopelekwa ikulu na Yanga SC inawatia Tumbo joto Simba SC

    Naaam! Medali ya fainali waliyoipata Yanga SC Baada ya Kucheza fainali kwenye michuano ya kimataifa (SHIRIKISHO) ni mzimu unaowatafuna Simba SC kwa kuwatia Hamasa, nguvu morali ya Kupambana ili kurejesha amani ya Mashabiki Wao Wenye ugwadu na uchu Wa kuona timu Yao imefika ama kuvuka hatua...
Back
Top Bottom