Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.
JUMAPILI TUNAENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA MWAMPOSA!"
Mashabiki wote wa Simba Sports Club, ushindi wetu si wa kawaida – ni wa kiroho! Ni lazima tumrudishie Mungu utukufu kwa neema, nguvu na ushindi aliotujalia.
Jumapili hii (Tarehe 13 Aprili, 2025)
Mahali: Kanisa la EFATHA, Ubungo – Dar es Salaam...
Mashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno. Kama hawa Waarabu wamelegea
Mno
Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama
Simba ndo ikutana na Al Hilal, Mc Alger au TP Mazembe kudadek laZima 5imba ingepigwa 5
Kaduguda...
Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeeleza kwamba litahakikisha usalama wa hali ya juu katika mchezo wa kombe la shirikisho Afrika (CAF) kati ya timu ya Simba ya Tanzania na AL Masry kutoka Misri.
Jeshi linawahakikishia wananchi kwamba kutakua na ukaguzi...
Mechi ya Maamuzi hii baada ya kipigo cha bao 2-0 ugenini mkondo wa kwanza.
Mnyama Simba SC dhidi ya Al Masry SC mechi ya mkondo wa pili ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
⏰ Mchezo huu unapigwa saa 10:00 Jioni
🏟️ Uwanja wa Mkapa
Vikosi vya timu zote tayari zimetoka
Mechi imeanza (Kick...
Wanajamvi, ikumbukwe hapo jana kuna clip ilikuwa inatembea kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha wazee wa klabu ya Simba wakilalama kutokuwa na imani na meneja wa uwanja. Wakimtaka akae pembeni mpaka mechi yao itakapo kwisha.
Ukweli ni kwamba toka jana meneja ameamua kukaa pembeni na kuwaachia...
Leo katika timu zinazopambana kesho kati ya Simba na hao waarabu wanajiitaje sijui Sasa wakati wanakuja wakakataa kupita mlango official ambao kila mtu anatakiwa kupita
Wao wakaenda kupita mlango mwingine, wakakutana na askari, ila askari wamewazuia ila nashangaa Bado wakapita hapo mlango usio...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu inawakilishwa na Simba Sc pekee kwenye Kombe la Shirikisho Afrika.
Akithibitisha ongezeko la thamani hiyo...
Kwa Mkapa sio eneo tena la ufalme wa Simba kwa sasa. Ukifuatilia vizuri hivi karibuni amekuwa akipata matokeo kwa mbinde sana akiwa kwa Mkapa.
Nakumbuka Kirumba Mwanza meneja alikuwa mzee Tegete.Simba aliteseka sana na timu za Mwanza hata akina Mbao FC walimtesa sana.Alipata ushindi kwa mbinde...
Habari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote...
“Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu. Lakini nawambia tarehe 9 mwarabu atatafuta sehemu ya kupitia.”- Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan...
"Kuna Wachezaji wengi wamekuja tumewaombea Mungu amewasaidia wanakwenda Vuzuri naimani hata Simba watafanya Vizuri, Wachezaji wakazane Kufanya mazoezi na Sisi tutakazana kuwaombea
Nakuletea Utabiri Ambao Nitauchambua kwa kutumia number vibration (Numerology) na Pia Some of the astrological Effects Za siku hiyo..
Ambavyo Vyote vinaonyesha Simba Anaweza Kufuzu Aidha kwa Matuta au Atafunga ns Kusawazisha Agg.. kuwa 2:2
Haya Tuangalie..
Numerology Analysis
Tarehe ya...
Ndio hivyo wakuu nimesema kwamba hio tarehe tajwa hapo juu ikitokea Simba Sc akamfunga Al Masry goli hata 1 tu ndio namaanisha goli hata 1 tu yaan hata mechi ikiisha 1-1 Mods nipigwe ban ya muda mrefu usuopungua siku 3.
Kifupi tu tarehe tajwa hapo juu Simba Sc hatofunga hata goli 1 namaanisha...
Katika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025.
Ameahidi kuhudhuria au kutuma wawakilishi katika mechi hiyo na atawaombea.
Hongereni Simba SC kwa kuachana na Matunguli. Shikilieni hapo...
Rastaman Denis Kibu,
Mwanangu nakukubali sana na mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nakutetea sana mitandaoni na hata mtaani.
Ebwana mwanangu nakubali sana uwezo wako wa upambanaji na nguvu ulionao. Hizi ni silaha zako kuu na usiziache kamwe.
Nakushauri mambo matatu ya kuacha au kubadilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.