Hii timu yangu ya Simba kumbe bado ni takataka 🚮

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
58,066
Reaction score
166,562
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔

Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.

Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .

Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .

Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
 
Sio mchezo
 
Pengne umeangalia juu juu.
Hawa madogo waliosajiliwa kutoka ndan ya Ligi yetu wako vizur.
Nashon, Chilambo na Bakar Msimu wako vizuri sana.

muda mfupi ujao utamuona Kaletso (jezi namba 11 ). Doumbia pia tumpe muda.
Na hawa wa zaman
Aura ,Gueye, Chama, Toure, De Reuck, kagoma na Mpanzu.

Bado una wasiwasi?.
 
Sawa tupo tutaona
 
Kidogo tu!!
 
Sahihi, Kaletso ni moto sana.
Ngoja tumuone
 
Simba Hii..ni nzur sana...nina matumaini kibao...
Kuna talents kama wakipata chemistry....( GUEYYE, KALETSIO, AOURA., CHAMA, MPANZU, DOUMBIA
Wanahitaji HAMASA ili wajiamini na kujitoa....
...Worry yangu ipo tu kwenye WING BACKS ... kuhimili forward janja...
 
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔

Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.

Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .

Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .

Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Naweza kusema hii ndiyo Simba Day Bora kuwahi kutokea toka lianzishwe hili tamasha, ubunifu wa Msemaji wa Simba SC naweza kusema leo ndiyo Man of The Match, huyu ndo kaifanya Simba Day ipendeze zaidi.
Mwamba atabaki kwenye historia ya soka la Tanzania.
Very creative
 
Simba Hii..ni nzur sana...nina matumaini kibao...
Kuna talents kama wakipata chemistry....( GUEYYE, KALETSIO, AOURA., CHAMA, MPANZU, DOUMBIA
Wanahitaji HAMASA ili wajiamini na kujitoa....
...Worry yangu ipo tu kwenye WING BACKS ... kuhimili forward janja...

ni kweli.
Simba ndio timu pekee ya TZ kuanzia mwez wa 2 mwaka huu haijafungwa mechi yoyote ya ndani.

Huku Wing Back. Duchu ndio simuamini. Na Chapombe nimeona kama ameumia mkono wa kushoto.

Ila Nathanael Chilambo anacheza vizur.
Kibabage na mligo pia wako vizur.

Ni kweli talents nying. Kwahiyo hata team rotation itakuwa ni rahisi.

Shida ni pale CM.
Kagoma akipata majeraha. Je Nashon na Jabaar wataweza kuimudu?.
 
Kesho watan inabidi wafanye comeback.

Ile Kibonzo cha Simba anamuua Chura na hii ya 3D Drones ni habar nyingne.
 
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔

Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.

Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .

Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .

Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Wape imani, kikosi ni kipana ila hakina usajili wa majina makubwa, wanahitaji tu kujitoa na kupigania timu, pia kina wachezaji ambao wameshakaa pamoja nusu msimu mzima uliopita. Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom