simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Chibike

    JamiiForums Tanzania Aione Mohammed Dewji kuhusu mapendekezo ya kimkakati, Audit na maboresho ya benchi la ufundi Simba SC

    Heshima kwako Mohammed Dewji Pole na majukumu ya kuijenga Simba SC. Ili Simba irejee kwenye utawala wa soka la Afrika na Ligi ya NBC, nimefanya uchambuzi wa kina (Squad Audit) kufuatia matokeo ya hivi karibuni yasiyoeleweka ikiwemo sare ya 2-2 dhidi ya Esperance mwenye ligi ya mabingwa na mechi...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

    Next match;Simba SC vs Esperance hii ni machinjioni kwa mkapa hatoki mtu All the best Mnyama 🦁 #nguvu Moja💪
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC l NBC premier League l MEJ GEN.ISAMUHYO l 29-1-2026 l 16:00HRS

    Matchday ; Simba SC vs Mashujaa FC Tunaanzia tulipoishia. Nguvu Moja 💪 All the best Simba 🦁
  4. uran

    JamiiForums Tanzania Esperance De tunis Vs Simba SC l CCL l Hammadi Agrebi Stadium l 24-01-2026 l 🇹🇿 7pm

    #nguvumoja#
  5. Red black

    JamiiForums Tanzania Simba SC inatia hasira na fedhea sanaa

    Hii ni zaidi ya dharau Team haina map inatia kichefuchefu
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Muembe Makumbi| Mapinduzi Cup 2026|New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

    Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku. Hii itakuwa mchezo wa kwanza wa Simba chini ya kocha wake mpya, Steven Barker.
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chama kurejea Simba Sc kwa mara ya 3

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Yanga SC na kwa sasa Singida Black Stars, Chota Chama “Triple C”, inasemekana yuko mbioni kurejea tena kwenye viunga vya Msimbazi. Endapo Simba SC watamrudisha nyota huyo, itakuwa ni mara ya tatu kuivaa jezi ya klabu hiyo. Swali linabaki: Je, Simba SC wamekosa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Oya huu Utani wenu wa kutuita Simba SC Wagawa Utamu uishie humu humu Mitandaoni, ila Mtu akiniita live Mtoa Utamu hakyanani Nakata Nafunua na Ndoo Juu

    Na wengine nadhani Kiasili mnatujua ni Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) na tulishacheza Boxing Majeshini Kitambo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania simba Sc 0 -Azam fc 0

    Matokeo yanasomeka kama hivi 👇
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Mbeya City|NBC Premier League| Meja Jeneral Isamuhyo Stadium| Desemba 04, 2025| Saa 19:00 Jioni

    Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC leo, Mnyama Simba atashuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Kikosi cha Simba kitaongozwa na kocha wao wa muda mrefu ndani ya klabu, Seleman Matola. Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita, klabu ilimtangaza kumfuta kazi Meneja Mkuu Dimitar...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT Stade Malien 2-1 Simba SC | CAF CL | 30 Novemba 2025 | Stade du 26 Mars, 7:00 usiku

    Mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuchezwa leo saa 7:00 usiku wakati Stade Malien kutoka Mali itakapokutana na Simba SC ya Tanzania. Mechi hii itachezwa Stade du 26 Mars, Bamako, Mali Novemba 30, 2025, na mashabiki wanatarajiwa kuonja ushindani mkali kwani pande zote mbili...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Crescentius Mgori: Kuna Viongozi wana matatizo ya Afya ya Akili ndani ya Simba SC

    “ Kuna watu wanajiona bila wao baadhi ya Mambo ndani ya Simba hayawezi kwenda nadhani wanatatizo la afya ya akili . Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc Crescentius Mgori, akizungumza kupitia Crown Fm Novemba 27,2025.
  13. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Simba Sc yaburuza mkia kwenye kundi D, michuano ya CAF Champions league

    Mpaka sasa klabu ya Petro de Luanda kutokea nchini Angola ndiyo inayoongoza kwenye msimamo wa Kundi D, michuano ya CAF Champions League hatua ya makundi mara baada ya kuitandika Simba SC chuma moja kwa sifuri katika dimba la Benjamin William Mkapa, Jijini Dar es Salaam.
  14. Red black

    JamiiForums Tanzania FT: Simba Sc 0 - 0 Nsingizini hotspurs l CAF CL l second preliminary round l 2nd Leg l Benjamin Mkapa Stadium l 26-10-2025 l 16:00pm.

    Next Match : Simba SC vs Nsingizini hotspurs. Starting Xl ya Simba SC All the best Simba SC 🦁 #Nguvu moja.
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba SC itacheza mechi ya kirafiki Oktoba 29, 2025

  16. R

    JamiiForums Tanzania Simba SC wamshukuru Rais Samia kwa kitita cha Milioni 15

    Kupitia ukurasa wa Mtandao wa Instagram ya timu ya Simba sports club wameandika kumshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa kitita cha Millioni 15 kama zawadi kwa mabao matatu waliyofunga timu ya Nsingizini Hotspurs ya Eswatini "Asante Mhe. Rais...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba imeteuliwa kuwania tuzo ya klabu bora ya mwaka Afrika 2025

    Klabu ya Simba SC imepata heshima kubwa baada ya kutajwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kuwania Tuzo ya Timu Bora (Club of the Year) kwa mwaka 2025. Tuzo hii inatambua klabu zilizofanya vizuri katika mashindano ya kimataifa na ndani ya bara. Simba SC itashindana katika mchujo wa timu 10...
  18. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba wamegoma kutii wito wa bosi wao kutoka ACA Eng Hersi?

    Wakuu I salute you kinsmen Kiukweli Simba wamefanya utoto mkubwa sana kugoma kuhudhuriq shughuli iliyoandaliwa na Rais wa African club association ACA na mjumbe ilipo kamati kuu tendaji ya FIFA. Ambaye sote tunamjua ni Hersi. Sasa shirikisho hili la Africa nzima ikiwemo Simba ipo chini ya...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Simba SC wamesaidia kusambaza taarifa ya Maandamano na MO 29 ikimaanisha Maandamano Oktoba 29. Hutaki kula jiwe!

    Wakuu, Kwani jamaa kasema uongo hapa Wakuu? Jezi za Simba zilizoandikwa MO 29 maana yake ni M - Maandamano O - October 29 - Hii haitaji hata tafsiri inajieleza, siku ya tar 29 ndio yenyewe! Simba wameupiga mwingi kuhakikisha Watanzania hata wa Nanjilinji wanapata taarifa kuhusu maandano...
  20. Red black

    JamiiForums Tanzania Simba Sc 3-0 Namungo Fc l NBC premier League lBenjamin Mkapa Stadiuml 1 October 2025

    Next match : Simba SC vs Namungo Fc game itapigwa saa 8:15PM Starting Xl ya Simba SC All the best Simba SC 🦁 #Nguvu moja
Back
Top Bottom