Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,251
- 7,576
Yeah nawapongeza sana Simba sc, kwasababu naona nafasi ya pili msimu wa 2026/2027 nafasi yao iko very secured.
Naona mabeki wao wazuri Kameta Duchu, Kibabage wakipambana angalau wafikie nafasi ya pili , napongeza Kwa usajili wao mzuri wa kumleta Victor Osimeh Doumbia mfumania nyavu wa kutisha, hongera Simba Kwa kulinda nafasi ya pili ya ligi kuu.