Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kwa mujibu wa Mwandishi Lorenz Köhler amesemea kuwa kiungo mshambuliaji Neo Maema anatarajiwa kurejea Simba SC kwa mkopo akitokea Mamelodi Sundowns kwa msimu wa 2026/27.
Simba SC na Mamelodi kukamilika, Klabu hizo zipo katika hatua ya mwisho ya mazungumzo kumruhusu Maema kurejea Simba SC, Kocha Steve Barker amehusika kwa kiasi kikubwa.
Endapo dili hilo litakamilika, Maema atakuwa sehemu ya kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kinachojiandaa kwa msimu mpya, ingawa hadi sasa hakuna tangazo rasmi kutoka Simba SC au Mamelodi Sundowns linalothibitisha taarifa hizo.
Je, unadhani ni usajili sahihi kwa mahitaji ya timu?