silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tour Guide wa Kisasa: Maarifa Yako Ndiyo Silaha Yako"

    Kazi ya kuwa tour guide si tu kuonyesha maeneo – ni kuwa na uwezo wa kusimulia, kuelezea kwa usahihi na kuvutia, hadi mgeni ajione sehemu hiyo kwa moyo, si macho tu. Maarifa ya historia, utamaduni, na maisha ya watu ndio yanakufanya utofautiane na wengine. Unapozungumza kwa ufasaha, kwa lugha...
  2. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Silaha 3 Zifuatazo Zitakusaidia Kutoboza Maishani (Ya Mwisho ni Muhimu Kweli)

    Habari mwanaJF, Natumaini kuwa unaendelea vizuri. Hatujaonana siku nyingi. Nilikuwa nafanya "reset". Na Mungu amekuwa mwaminifu. "Ameninyeshea mvua" za baraka katika maisha yangu. Sikuwa na kitu January, lakini maghala yangu yanafurika sasa. Mungu ni mwaminifu! Leo unapowaangalia watu...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

    Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala...
  4. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni Kichaka cha Unyonyaji na Kura ni silaha ya Umaskini.

    Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
  5. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Uturuki: Kundi la kigaidi La PKK limetangazwa kuvunjwa na kuweka silaha chini

    Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) kimetangaza Mei 12 kufutwa kwake na kumalizika kwa zaidi ya miongo minne ya mapambano ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je ni ruhusa kubeba silaha ?

    Ikiwa ni ruhusa labda mtu awe na kibali ,ni urahisi upi uliopo wa kupata kibali ? Kuna nchi hizi za dunia ya tatu wananchi wanabeba silaha,hapo Somali ni kawaida kumkuta mtu ana kifaru nje ya nyumba ,Yemeni watu wazima mjini na watoto mnijishamba wanabeba smg na risasi zinauzwa sokoni kama...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Iran iliyolipuka au kulipuliwa ndio ilikua inatumika pakubwa kupeleka silaha kwa magaidi wenye mlengo wa kiislamu

    Ndio bandari iliyokua inategemewa kuuza mafuta kisiri kwa China, na pia ilitumika sana kupeleka silaha kwa magaidi wa kiislamu, japo haijabainika nini kilijiri ila kuna uwezekano makomando wa Mosad walifanya yao....kwa kifupi hapo Iran hamna sehemu ambayo haiwezi kupigwa au haipigiki...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Lebanon: Hezbollah wekeni silaha zenu chini au muondoke Lebanon

    Mbunge wa Lebanon kwa Hezbollah: Toa silaha zako au utuache na uende kuanzisha nchi yako Biar Abu Aassi, Mbunge wa Lebanon kutoka chama cha Vikosi vya Lebanon: "Tunasisitiza kwamba Hezbollah lazima ikabidhi silaha zake ndani ya miezi sita. Tunataka kujenga dola. Ikiwa hawataki kukabidhi...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Houth kuzipiga droni za MQ-R yatajwa ndio sababu ya kutoshindwa kwao.Makamanda waonya matumizi ya silaha zinazohitaji kupigana na China

    Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo. Hizo ni aina ya droni zilizotengenezwa kwa bei kubwa kila moja ikigharimu dola milioni 30.Lakini...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mpiganaji wa Hamas afariki na mwingine akamatwa baada ya kuviziwa wakisafirisha silaha

    Maafisa wa polisi wa kitengo cha wasomi cha Gideons cha Lahav 433, chini ya uongozi wa Shabak, walimkamata mpiganaji wa Jihadi aliyekuwa na silaha nzito huko Qalqilya ambaye alikuwa akielekea kutekeleza shambulio kubwa la kigaidi. Bunduki tatu za M-16 zilipatikana kwenye gari lake. Magaidi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ghala kubwa la silaha kuliko lote huko Russia 🇷🇺 lalipuliwa

    Inasemekana ndilo ghala kubwa kuliko yote huko Russia. Mlipuko uliotokea ni mkubwa kuliko milipuko ya bomu la nyuklia. Ni hasara kubwa zaidi kwa Russia tangu vita vya Ukraine vianze. Haifahamiki nini chanzo cha kulipuka japo kuna uwezekano mkubwa wa hujuma maana hakukuwa na drones wala nini...
  12. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Hezbollah Sheikh Naim Qassem agoma wanajeshi wa Hezbollah kupokonywa silaha

    Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem: "Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi. Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.' Kwa lugha...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba details za biashara ya SILAHA anayofanya marekani

    Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa zipoje yaani mauzo ya SILAHA duniani na viwanda alivyonavyo na je vinamilikiwa na jeshi au hata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hezbollah kusalimisha Silaha zao

    Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata? Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la Hezbollah. Ila Tangu Nasrallah afe wamekuwa mdebwedo Hadi kufikia hatua ya kusema wako tayari kusalimu amri...
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Iran: Hatuna Chaguo ila Kutumia Silaha za Nyuklia

    Iran imesema haitakuwa na njia nyingine ila kutumia silaha za nyuklia endapo itashambuliwa na Marekani au Ali Larijani, Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kwenye mahojiano na televisheni ya taifa la Iran kwamba "hawaelekei kwenye kuunda silaha za nyuklia, lakini...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Trump aionya Iran itarajie mambo mabaya kuipata isipokubali mazungumzo kusitisha mpango wake kutengeneza silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached 14 hours ago Share US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025. US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Poland yatafakari mpango wa kumiliki silaha za nuclear za kujihami.

    Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk anasema ni wakati sasa wa Poland kufikiria kuwa na silaha za juu zaidi ya za kawaida ikiwemo silaha za nuclear. Hatua hii inakuja baada ya Marekani kujiondoa kama mdhamini mkuu wa usalama wa Ulaya pamoja na kuwa na sera zisizotabirika tena katika mahusiano...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DC Ubungo afika nyumbani kwa Damian Method anayedaiwa kutekwa na watu wenye silaha, asema uchunguzi unaendelea

    Wakuu Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Lazaro Twange amefika nyumbani tarehe 03 Februari, 2025 akisema vyombo husika vinaendelea na uchunguzi wa tukio la kutekwa kwa Damian Method huku akiitaka familia kutoa ushirikiano mara wanapopata taarifa yoyote kuhusu tukio hilo la utekaji. Kijana anayejulikana...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Method Damian Kumdyanko adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na silaha

    Method Damian Kumdyanko mkazi wa Sinza Dar Es Salaam anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wenye silaha siku ya Februari 28, 2025 nje ya geti la nyumba yake Sinza Dar Es Salaam. Akizungumza na Jambo TV Tura Chaula ambaye ni rafiki wa kike wa Method na aliyeshuhudia tukio hilo amesema siku hiyo...
Back
Top Bottom