silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Putin atia saini agizo la kuruhusu vigezo zaidi vya matumizi ya silaha za nyuklia

    Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha ======================================================== Russian...
  2. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa namba ulikuwa ni mmoja ya silaha ya mamlaka za dunia kucheza na akili za watawaliwa.

    Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates, hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani. Mara nyingi hizi rates zinakuwa propaganda za wavaa suit ku-prove wamefanya jambo au kuwa challenge wengine kwamba wameshindwa mambo.
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

    Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usikose silaha nyumbani kwako au popote unapokuwa

    Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, hili somo tunalifundishwa tangu utotoni. Unatembea na simu nne, wallet, kipegi, pafyumu, kondomu — lakini huna hata kisu! Kwa mwanaume, silaha ni lazima. Kujihami na kushinda ni lazima. Sio kidume unatekwa, na watekaji wanatoka wananukia pafyumu. Lazima upasue...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Japan ni kama wamesahaulika katika Ulimwengu wa Vita na Silaha?

    Hawa jamaa huwaoni wakionesha onesha silaha zao. Huwasikii wakitishiana na mtu au kupiga mkwara. Lakini rudi miaka ya nyuma katika vita utawasikia kwa uzuri. Nenda kawaulize wachina. Watakuambia. Jamaa kwenye technology ni wazuri sana. Na hawana ubabaishaji. Wanatengeneza vitu vya ukweli na...
  7. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni silaha ya kulinda na kukuza biashara

    📖Mhadhara (57)✍️ Hebu fikiria, tunaagiza magari kutoka Japan na nchi nyingine, jinsi tunavyoyaona magari kwenye mitandao ndivyo ambavyo tunaletewa na kuyapokea bandarini kama tulivyoyaona. Huo ni uaminifu wa hali ya juu kwenye biashara. Lakini unakuta gari hilo hilo lililotoka Japan...
  8. 5523

    JamiiForums Tanzania BBC: Korea Kaskazini kupata tani 700,000 za mchele kwa kupeleka silaha na wanajeshi Urusi

    Kwenu wadau njaa mbaya: Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

    Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry. Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Putin anakumbusha NATO kuwa wasimsaidie Ukraine silaha. Ama sivyo wataona cha moto

    Sasa hapa nachanganyikiwa. Sisi huku tunasema Ukraine anasaidiwa na NATO. Putin anasema bado ila wakijaribu atawapasua. Sasa lipi ni lipi? 1. Je Ukraine anasaidiwa na NATO? 2. Je Onyo ambalo alitoa Putin kuwa wakisaidiwa atasambaza kipigo kwa msaidizi halifanyi kazi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau asema shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilisambaratisha viwanda vya kutengeneza kifo! Iran kamwe haitomiliki silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania India: Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki muhimu linalosimamiwa na India, Kashmir

    Mambo yanazidi kuwa moto kwenye baadhi ya mataifa. Matukio ya kuuwana yamendele kushika kasi sana Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki muhimu katika eneo linalosimamiwa na India, Kashmir, na kuwajeruhi wengine watano, maafisa wanasema...
  13. U

    JamiiForums Tanzania IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda watatu

    News alert IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda waandamizi 3 Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha kituo kikuu cha uongozaji cha Hezbollah huko Beirut...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Israel kufanya Cyber attack kwenye mifumo ya nyuklia na silaha za Iran amewahi control ya silaha anaweza kuwalipua kwa silaha zao

    Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya. Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo. MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi Israel lamnasa kamanda Hezbollah alijificha handakini chini ardhini lenye silaha na mahitaji muhimu, apelekwa Israel kuhojiwa

    Wadau hamjamboni nyote? Shughuli inaendelea huko Lebanon Gaidi anaswa live chini ya ardhi huko Lebanon, apelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya mahojiano Mungu ibariki Israel Taarifa zaidi kwa kimombo hapo chini: October 13, 2024 IDF troops capture Hezbollah fighter in underground bunker...
  16. Judah Tribe

    JamiiForums Tanzania Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Swahili Subtitles: Netanyahu amcharua Rais wa Ufaransa "Tutashinda vita hata mkikataa kutuuzia silaha aibu inawasubiri"

    Mods tafadhalini msiunge huu uzi, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms Embargo). Bajeti ya ulinzi ya Israel ni Dola Bilioni 30 (Shilingi Trilioni 82) Marekani huisaidia Dola...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

    Wanaukumbi. BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza. "Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache kupeleka silaha kupigana huko Gaza"…🇫🇷🇵🇸...
  19. ward41

    JamiiForums Tanzania Musiogope, silaha za nyuklia hazitatumika kwenye vita zinazoendelea sasa

    Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi ya mataifa kutumia silaha za nuclear. Nataka kuwatoa hofu hizo silaha hazitatumika kwenye hizi...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Iran ijipange upya. Walichoweza ni kuua Mpalestina moja wakati Israel inalipua viongozi, maghala ya silaha, pagers zikiwa mifukoni n.k

    Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ? Israel Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa...
Back
Top Bottom