silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uchambuzi: Vikwazo vya Urusi vinaweza kuchochea mauzo ya silaha za China kwa Nigeria

    Vikwazo vya Magharibi kwa Urusi na Belarus vinaweza kusukuma Nigeria kuagiza silaha za China zinazoweza kufikiwa zaidi na za bei nafuu Uvamizi wa Februari 24 wa Ukraini uliofanywa na Urusi umevuruga uhusiano wa kisiasa wa kijiografia na kibiashara kote ulimwenguni, kutoka kwa maswala ya kununua...
  2. Die Glockie: Je, ni kweli chombo hiki chenye nguvu ya ajabu, Hitler alikitumia kuunda silaha za ajabu na kufanya time traveling?

    Wasaalam Naam, Miaka fulani hadithi kuhusu ndege zenye umbo la sahani Almaarufu kama UFO (unidentified Flying Object ) zilishamili sana kuliko hata neno lenyewe, na usichokijua ni kwamba hata jina lenyewe lilipatikana kwasababu ya kutokufahamu vyombo hivi vilikuwa vinatoka wapi! Na viko chini...
  3. A

    MUZIKI: SILAHA KUNTU KUELEKEA MEI MOSI HII

    Wanabodi Habari zenu. Kuna watu wengi wanao uwezo wa kutunga nyimbo. Nawaalika watu wote wenye uwezo huo katika uzi huu. Tungeni mashairi yenye heshima na staha kuelekea mei mosi hii(2022). Zimebaki siku chache sana kufahamu mbichi na mbivu juu ya stahiki za wafanyakazi wote hapa Tanzania...
  4. Lazima Tanzania iwe na mpango maalumu wa kutengeneza Silaha za kujilinda

    Bajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu. Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu. Je, tunaogopa walami? Hakuna siku walami wataturuhusu kuunda silaha kali za kivita bali sisi tunatakiwa...
  5. M

    Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

    Marekani hoi! Silaha walizojinadi kupeleka Ukraine hivi karibuni na kuzificha kwenye ghala LA silaha lililojengwa kwenye kambi ya jeshi, ghala lililochimbiwa chini (underground), zimeteketezwa zote hata kabla hazijaanza kusambazwa kwa walengwa!! Iko hivi: Urusi kwa kutumia silaha Kali iitwayo...
  6. M

    Mgogoro wa Urusi na Ukraine: Nchi za magharibi zaumbuka. Zilitaka kupeleka silaha Ukraine zikidai ni misaada ya kibinadamu

    Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu! Nchi za magharibi ni washenzi! Wanashangilia vita kwa kuwa kwao ni soko la silaha na fursa ya kufanya majaribio ya...
  7. S

    Maafisa wa Marekani waduwazwa na silaha 'ngeni' za Urusi

    Wanaintelijensia wa Marekani wamesema kuwa Russia inatumia silaha za ajabu nchini Ukraine. Wanainteligensia hao wamebaini kuwa makombora ya balistiki (Iskandar-M short range ballistic missiles) yanayovurumishwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine yameongezewa vionjo au vikorombwezo fulani...
  8. Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

    WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa...
  9. Nchi zenye vinu vya nyuklia na silaha za nyuklia humu duniani

    NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA (angalia Ukraine) NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA NCHI ZENYE SILAHA ZA NYUKLIA Yaani nahisi ajali ya nyuklia ni tishio zaidi ya vita vya nyuklia
  10. Albert Einstein: Sijui silaha gani zitatumika kupigana WWIII, lakini lakina zana za mawe na miti zitatumiwa kupigana WWIV

    Dunia inaenda kasi sana, hivyo hivyo technolojia na ugunduzi wa mashine na vifaa mbalimbali. Kasi ya ukuaji wa science na silaha za maangamizi kama atomic bomb wakati uhai wake ulimfanya Albert Einstein kushindwa kujua vita vya 3 vya dunia zitakuwepo silaha gani za kivita. Leo hii AI, defensive...
  11. Hii ndiyo idadi ya silaha za nyuklia Urusi, hali ilivyo mataifa mengine

    Urusi ina silaha ngapi za nyuklia? Takwimu zote za silaha za nyuklia ni makadirio lakini, kwa mujibu wa Shirikisho la Wanasayansi wa Marekani, Urusi ina vichwa vya nyuklia 5,977 - vifaa vinavyosababisha mlipuko wa nyuklia - ingawa hii inajumuisha takriban 1,500 ambazo zimechoka na zinatazamiwa...
  12. Fahamu mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani

    Mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani Kufuatia uvamizi wa Ukraine uliotekelezwa na Urusi, kitengo cha BBC Reality Check mwaka 2018 kiliangazia kule ambapo silaha za kinyuklia zipo na nani anayezimiliki. Huku mkusanyiko mkubwa wa silaha hizo za kinyuklia ukidaiwa...
  13. Y

    Nimeamini ukitaka Marekani ikuheshimu, tengeneza silaha za nyuklia (silaha za maangamizi)

    Hakika nimeamini silaha za maangamizi (nyuklia)ni silaha zinazoogopwa dunia nzima matokeo yake endapo mataifa makubwa yakitumia nadhani ndio mwisho wa sayari hii ya dunia ,kwa kitisho alichokitoa urusi kwa silaha za nyuklia na mataifa ya magharibi ku-surrender ni...
  14. S

    Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

    Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel. Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
  15. S

    Hungary, mjumbe wa NATO, yasema haitaruhusu NATO kupitishia silaha zake kwenye nchi hiyo kwenda Ukraine

    Hungary ambayo imo katika umoja wa NATO imetoa msimamo wake kwa uwazi pasi na kumung'unya maneno kuwa haitatuma vikosi wala silaha kwenda Ukraine na wala haitaruhusu silaha kupitishwa kwenye ardhi yake ili kulinda amani ya nchi hiyo. Maneno hayo kayazungumza waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo...
  16. S

    North Korea yasema imefanya jaribio la kutengeneza mfumo wa setilaiti ya udukuzi wa kivita (millitary reconnaissance satellite)

    North Korea imesema ilicheki ufanisi wa mifumo ya kamera na mifumo mingine ktk jaribio lake muhimu zaidi la kutengeneza setilaiti ya udukuzi wa kivita. Hayo yanajiri baada ya nchi hiyo kulaumiwa jana kwa kurusha kombora la balistiki. Setiliti hizi hutumika ktk oparesheni za kijeshi na...
  17. S

    Belarus yaamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia, itarejesha tena silaha zake za nyuklia kwenye ardhi yake

    Nchi ya Belarus kupitia kura iliyopigwa Jumatatu, imeamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia na hivyo ipo tayari kurejesha silaha zake za nyuklia iliyozikabidha kwa Putin pasi na masharti yoyote. Pia imeamua kuyaweka majeshi ya Russia kwa kudumu katika ardhi yake. Hatua...
  18. S

    Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

    Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo. Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
  19. Rais wa Ukraine kumpatia silaha mwananchi yeyote anayetaka kupigana vita dhidi ya Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr ZelenskyImage amewahamasisha wananchi wake kuwa tayari kupigana kwa taifa lao na kuwa atampatia silaha mtu yeyote anayetaka kushiriki katika vita dhidi ya Urusi. Picha kadhaa zilionekana hivi karibuni mitandaoni zikionesha raia wa Ukraine wakipewa mafunzo ya msingi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…