siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Novemba 19, 2023: Siku ya Kimataifa ya Wanaume, una ujumbe gani kwao leo?

    Novemba 19 ya kila mwaka, huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Wanaume kwa lengo ka kutambua michango ambayo Wanaume hutoa katika Familia na Jamii kote duniani. Pia, Siku hii inalenga kuongeza ufahamu kuhusu takwimu za juu za Wanaume kujiua ikiwa ni eneo ambalo mara nyingi hupuuzwa wakati wa...
  2. Kheri ya siku yako ya kuzaliwa kipenzi cha Wananchi 𝐆𝐒𝐌

    Leo tarehe 19.11.2023 siku hii inaitwa #GSMDay na Wananchi wote tunajumuika pamoja kusherekea siku hii maalum.
  3. Leo Novemba 19, ni Siku ya Choo Duniani

    Habari ya wakati huu kwenu watu wa jamii ya JamiiForums. Katika kuadhimisha siku ya choo duniani kuna baadhi ya mambo ni muhimu kuyajua ikiwa ni jitihada zifanyikazo kuongeza uelewa kwa jamii inayotuzunguka. Siku ya Choo Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba na inalenga kuongeza...
  4. Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

    Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini. Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa. Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy. Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse...
  5. Tufungue siku na haka ka jarida ka Upendo au Kupenda

    Iko hivi Mungu ni upendo, A material which create God is Love. Kama huna upendo wewe ni bure kabisa. Mungu anawapenda watu wote wanao mjua na wasio mjua, wenye akili na wasio na akili wote Mungu anawapenda.. Upendo una sura pana, Mzazi akimchapa mtoto unaweza fikiri anachuki nae, lakini ni...
  6. Mameneja watatu ila personality ya Diamond Platnumz inashuka siku hadi siku

    Huyu jamaa ana mameneja watatu ila naona kwenye suala la personality wameshindwa kumshauri kabisa. Kwa muonekano wa mondi wa sasa ni either kajiingiza kwenye drugs au mambo ya kigasho..muda utasema tu. Diamond wa leo karudi kwenye usela ule wa black Americans wa miaka ya 90 kuvaa manguo makubwa...
  7. Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

    International Day Of Tolerance' Every 16th of November. Smart911 tumechoka vimesemo vya mara ooh acha waje wakupe muongozo, haunaga cha kusema kingine haha anyway much love bro.
  8. Kama sio kutukimbia uwanjani siku ile, Yanga ingeambulia kipigo cha fedheha mno

    Hawa watu naona MUNGU aliwanusuru na kichapo kikali sana, kikosi changu kilikua sawasawa haswa. Nakumbuka siku iyo nilishiba wali maharage, satisa nanusu alasiri nikawahi siti ya mbele kucheki mechi hii Ya SIMBA vs YANGA pale kwenye banda umiza la diwani. Michuano ilikua ya kagame na klabu za...
  9. Lindi: Wananchi wasota na kivuko kwa siku 21. Waiangukia Serikali

    Wakazi wa Kata ya Kitumbikwera katika manispaa ya Lindi, wameiomba Serikali kuharakisha matengenezo ya kivuko kilichopo katika eneo lao ili waendelee na shughuli za uzalishaji mali. Kuharibika kwa kivuko cha MV Kitunda, kumesababisha wananchi hao kutumia boti zinazodaiwa si salama zenye...
  10. Kiafya, nguo ya ndani inataka kuvaliwa siku ngapi?

    Kwema Ndugu zangu, Naomba kufahamu jambo hili muhimu tunalo linalofanya sote kila siku na linalofahamika pakubwa na Jamii duniani pote. Kiafya, nguo za ndani za kike na kiume, mathalani chupi, boxer, sidiria, singland socks na kadhalika zivaliwe siku ngapi kisha ubadili au kuzifanyia usafi ili...
  11. Mkubwa siku zote hubaki mkubwa, mashindano ya Yuan, Ruble kuipokonya soko Dollar ya marekeni kiko wapi?

    Mashabiki wa Putini na China, vipi kuhusu Ruble na Yuan zimefikia wapi sokoni? Vipi, Dollar imeanguka? Mzungu atabaki mzungu tu! Nimekuwa nikijiuliza, siku Marekani aache kabisa kutoa misaada yoyote duniani awe kama nchi zingine, kila kitu afanye kwake tu! Sjui china na Urusi watafanya...
  12. Naona Wema siku hizi anazidi kutakata ule Utanzania sweetheart unamfiti vyema

    Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka. Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali...
  13. Tembo Nickel yapewa siku 30 kulipa fidia kwa wananchi wanaoguswa na mradi

    Tarehe 14/11/2023 maelekezo hayo yametolewa kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Kuanza zoezi la ulipaji fidia Waguswa wa mradi huo ambapo wananchi wa vijiji vitano vya Kata ya Bugarama na Muganza wataanza kulipwa fidia zao hivi karibuni. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
  14. B

    Makonda anatoa maagizo mazito kila siku, ni lipi limetekelezwa hadi sasa au ni maigizo?

    Wanabodi, Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
  15. TMA yasema mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam kwa siku 4 kuanzia Jumatano Nov. 15, 2023

    Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar...
  16. Waliovamia uwanja wa ndege Moshi wapewa siku saba kuondoka

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameagiza kuondolewa mara moja kwa wananchi waliovamia na kujenga nyumba za kuishi ndani ya eneo la la uwanja mdogo wa Ndege uliopo Soweto Manispaa ya Moshi. Agizo alilitoa Jana mjini Moshi baada ya kukagua upanuzi wa uwanja huo unaotarajiwa kigharimu...
  17. Maisha ya mateka 70 kwa kusitisha vita siku 5. Nini faida na hasara ya utekelezwaji wake?

    Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza. Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa...
  18. Z

    Gharama ya vita ya Israel ni US dollar 260 milioni kila siku

    Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali. Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na...
  19. Leo ni siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, hauna tiba zaidi ya Insulin for life. Je, tiba asili na tiba mbadala ni Effective?

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, huu ugonjwa uko kwenye kundi la magonjwa yasiyo ambukiza, ugonjwa huu hauna tiba za kihospitali zaidi ya kudungwa sindano ya Insulin for Life! kwa maisha yako yote. Kuna wanganga wa kienyeji wa tiba asili na riba mbadala ambao...
  20. HAMAS waomba Israel ikisitisha mapigo kwa siku tano wataachia mateka 70

    Jamaa wameongeza idadi, mwanzo walisema wataachia 15, sasa wameongeza idadi hadi 70. --- Hamas Says Ready To Release 70 Hostages In Return For 5-Day Truce The armed wing of Palestinian group Hamas said on Monday they told Qatari mediators that the group is ready to release up to 70 women and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…