siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shuhuda ya Mzee Sharif Kwezi: Mfugaji wa Ng'ombe Anayetengeneza Zaidi ya Laki 3 kila Siku na Milioni 9 Kila Mwezi! 🐄💰

    Mzee Sharif Kwezi kutoka Mwanza ni mmoja wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walionufaika na mafunzo bora kutoka kwetu. Kwa sasa, anafuga ng'ombe 10 na hukamua mara 3 kwa siku, akipata takribani lita 214 za maziwa. Kwa bei ya 1,500 TZS kwa lita, anaingiza 321,000 TZS kila siku—zaidi ya milioni 9...
  2. JamiiForums Tanzania Simba hata ikitoa draw kule Misri nipigwe Ban ya siku 7. Haiwezekani hata kwa Dawa

    Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana. Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo. Team ya kufika mbali ilikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya dola dhidi ya TZS kwa siku ya jana na leo yaantisha

    Hali inatisha sana soon tutafika 3000. Ila tutumba anasema uchumi unaimariks aha ha ah ha ha
  4. JamiiForums Tanzania Wasichana wa elimu ya juu miaka ya 1960, na leo utasikia watoto wa siku hizi!

  5. JamiiForums Tanzania NEMC kuadhimisha siku ya Kimataifa ya kupunguza Taka, kuanzia tarehe 28 hadi 30 Machi 2025

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa maonesho ya siku tatu kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya kupunguza taka yanayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 28 hadi 30 Machi mwaka huu...
  6. JamiiForums Tanzania Mbona hawa 'Mabodigadi' wengi wa Wasanii wa Muziki Tanzania ukiwatizama kwa Jicho Kali la 'Ndege Tai' wanaonekana ni 'Pancha' siku nyingi?

    Kwa mfano nikimuangalia huyu wa Ali Kiba hasa alipokuwa Samia Cup Mikocheni anaonekana kabisa ni Pancha zamani.
  7. JamiiForums Tanzania Muda wa matumizi ya ving'amuzi vya TV kwanini usihesabiwe kwa siku halisi za kutazama?

    Kwa mfumo wa sasa wa malipo ya ving’amuzi vya TV, kifurushi cha mwezi hukatika baada ya siku 30, bila kujali kama mtumiaji ametazama TV kila siku au la. Hii inamaanisha kuwa hata ikiwa mtu hajaangalia TV kwa muda mrefu ndani ya mwezi huo au hata mwezi mzima, bado atalazimika kulipia kifurushi...
  8. JamiiForums Tanzania Kitambulisho changu cha NIDA Kinafutika Kila siku. Je wanaweza kuniprintia kipya.

    Hapa nakitambulisho cha mpiga kura tangu 2015 hakina hitilafua hata nukta. Miezi kadhaa iliyopita nimepokea kitambulisho changu cha NIDA. Tena nawashukuru maana aliniletea mjumbe wangu wa Nyumba KUMI wa Chama cha Mapinduzi. NIDA Tanzania Jambo ambapo sijapenda haijapita hata mwaka herufi...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wa Siku Hizi na Nguvu ya Mtandao: Tunajenga au Tunabomoa?

    Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔 Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu? Kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Zijue faida za kuamka mapema kila siku

    Kuamka mapema kila siku kuna faida nyingi muhimu kwa afya yako, tija, na ustawi wa jumla. Hapa kuna baadhi ya sababu kwa nini ni muhimu kuanzisha tabia hii: * Kuongeza tija: * Saa za asubuhi mara nyingi huwa na utulivu zaidi, bila vikengeushi vingi. * Hii hukuruhusu kuzingatia kazi zako...
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya leo ngumu sana, wengine wanasubiri mshahara, wengine wasubiri PDF ya TRA

    Ni mwendo wa kuangalia notifications, Email na SMS tu, kila ukisikia mlio unashtuka
  12. JamiiForums Tanzania Wachagga wengi huwa wanafikiri mbege ni noma mpaka siku wanapojaribu togwa

    Asilimia 90 ya wanama huwa wanadhani hamna kinywaji cha asili kinachoifikia mbege kwa hapa Tanzania mpaka siku wanapofanikiwa kuonja togwa. Japokuwa togwa sio kinywaji namba moja kwa umaarufu nchini lakini kinashika namba mbili kikiwa nyuma kidogo ya gongo wakati mbege ikishika namba tatu...
  13. JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza kwenda kubeba Zege hostel za Magufuli. Moto Uliwaka

    SIKU YA KWANZA KWENDA KUBEBA ZEGE HOSTEL ZA MAGUFULI. MOTO ULIWAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nipo zangu likizo wakati nasoma, basi Taikon nikaenda Tandale kwa Mshikaji wangu, Classmate. Ilikuwa jumapili hivi, mfukoni Niko na pesa za Serikali, Bumu zinanisumbua. Baada ya kuonana naye...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Siku ya Futari kitaifa

    Kila ijumaa katika mwezi wa Ramadhan iwe siku ya Futari Kitaifa. 1. Kila Mkoa wachague Aina ya Futari wanayoipenda. 2. Kabla ya futari zitangulie dua
  15. M

    JamiiForums Tanzania kwa nini Story za Popo Bawa kaonekana Temeke na Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni siku hizi hatuzisikii ? je popo bawa amefariki ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Sheikh Kipozeo umaarufu wake huja ikifika siku ya wapendanao na karibia na mfungo ramadhani?

    Sheikh Kipozea utamsikia kwenye media kipindi cha miambatano siku ya wapendanao na kukaribia mfungo. Au ndio taaluma anayoweza kufiti na zile comedy zake.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha

    INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetoa tangazo kuhusu watu wanaohusishwa kwenye zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya push up 200 kwa siku ndani ya mwezi mmoja

  19. JamiiForums Tanzania Simba waliandika barua Moja tu, Yanga makelele kila siku

    Yaani hadi inachosha, Simba waliandika barua Moja tu, Sasa baada ya hapo Yanga kila siku ni makelele na hawajui nani wa kumlaumu. 😄😆😀😃
  20. JamiiForums Tanzania Ipo siku watapigana makonde studio

    Sikuhizi Radio za bongo zimekuwa kama vijiwe vya kahawa, NI kubishana tuu kuhusu Simba na yanga, na huu ndio mtaji mkubwa WA CCM! Nchi imeja shida sana hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…