siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Malazi ya £10 kwa siku kwa wasio na nyumba huko Ulaya

    Rafiki yangu mahusiano yake yalipovunjika ilibidi aondoke nyumbani akimuacha mke na watoto watatu. Anasema ndoa ilivunjika zamani sana kuasi cha yeye kuwa na ki camp bed chake chumbani ila alikaa kulea watoto wake. Hali ilifikia kuwa mbaya, aliondoka nyumbani. Aliweka mizigo yake storage...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatujaambiwa Ziara ya Rais Samia huko Marekani itakuwa ni ya Siku ngapi?

    Tumeishia kuambiwa tu anasafiri Kikazi nchini Marekani ila walipa Kodi ( Watanzania ) hatujaambiwa Rais wetu atakuwa huko kwa Siku ngapi. Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu hapa mmeteleza kidogo kwani Watanzania wana Haki ya kujua Rais wao atakuwa huko nchini Marekani kwa Siku ngapi hasa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

    Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR). Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo. Pamoja na kwamba Wanasema saa...
  4. JamiiForums Tanzania Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Salaam Wakuu, Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri. Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa. Haji kadai Wakati...
  5. JamiiForums Tanzania DRC: Watu 30 wauawa katika mashambulizi ya siku mbili

    Zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na Vikundi vya Jihadi, Aprili 11 na 12, 2022, Kaskazini Mashariki mwa DR Congo, Shirika la Msalama Mwekundu limetoa taarifa hiyo. Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) ni moja ya makundi yenye silaha, waliwashambulia watu katika...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani: Kuchunguza ulimwengu ni ndoto ya wanadamu wote

    Leo Aprili 12 ni Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani au kwa jina lingine ni Siku ya Kimataifa ya Binadamu Kwenda Angani. Kutoka "mazungumzo kati ya mbingu na dunia" na wanaanga wanaotekeleza majukumu kwenye anga za juu, kujibu barua za wanasayansi wazee walioshiriki katika operesheni ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni Salama kuzima friji kwa siku kadhaa kama halitumiki?

    Wakuu habari Nauliza je kama situmii friji ni salama kuzima? Mfano limeisha vitu au nasafiri nikalizimaa wiki au mbili Maana kuna ambayo yanazimwa kisha baadaye yanakuwa yameharibika
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa, utamaduni wa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa viongozi waliokwishafariki ulianzia wapi?

    Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa jamii za kiafrika; kusherehekea siku za kuzaliwa kwa viongozi waliotangulia mbele za haki au hata kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu dada kanitapeli Tsh. 1,500 siku yangu imeharibika kabisa, sina hata raha

    Huyu dada nilionana naye Hotel Flani Arusha tukawa marafiki. Ana issues nyingi sana sana za kusafiri kwenda Dubai n.k ni lidada hasa la ukweli aisee, toka kanda ya Ziwa huko. tukawa karibu na kadhalika. Leo asubuhi kaniambia ameishiwa vocha nimtumie some amount nikamwambia nipo ofisini sina...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nchi imekosa maono, kila Rais anakuja na lake, ipo siku tutajuta

    Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki. Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi? Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii. --------------------- Ikumbukwe:
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kilisababisha Magufuli kupiganiwa na makabila matatu ?

    nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa...
  13. JamiiForums Tanzania Hakikisha kabla hujamuoa Ajue kuwa siku Akiku-cheat utamfukuza bila Mjadala

    Kwema Wakuu! Andiko hili linawahusu Vijana ambao hawajawahi pata kuishi na Wababa wenye tabia za Uanaume, ambao hawajawahi kushauriwa mambo ya kiumeni hasa katika kipengele cha Mahusiano na namna ya mwanaume kulinda heshima yake. Kabla sijafika mbali; moja ya kanuni ya kiumeni katika mfumo...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Nini nifanye niweze kusahau makosa niliyofanya kwa kujitakia yanayonihukumu kila siku?

    Kwa miaka sasa ninatumia nguvu kubwa kutumia njia mbali mbali japo tu, nisahau makosa yangu yaliyo haribu njia ya maisha yangu lakini naishia kupata ahueni kwa muda tu na baadaye najikuta niko na yale maumivu. Wakuu nisaidieni mbinu mbadala mlizotumia kusahau makosa yenu kwenye safari zenu za...
  16. JamiiForums Tanzania Wasomi wa vyuo siku hizi hamna kitu, wanafuata mkumbo tu

    Yaani ovyo tu, wengi wanaenda kusoma vyuoni kwa ajili ya kufuata mkumbo tu ili jamii iwachukulie kama vile wamesoma sana. Ila huko chuoni aisee, ukiwaona utachoka. Yaan kichwani hakuna kitu😬 kuna mmoja alisoma IT nilimpa kazi ya kunipigia Windows 10 kwenye PC yangu,akabaki ananikodolea macho tu...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi siku Hizi Jinsia gani wana Aibu!!

    Hivi Siku Hizi bado kuna Jinsia au Rika lina Hulka ya kuwa na Aibu kweli au Ndio Ule Mshipa ushakosa kazi,Siku Hizi Mi binafsi mpaka Naogopa navyokodolewa huko kitaa!!
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, gharama za maisha zinazidi kupanda juu. Penye njaa na mateso hapawezi kuwa na amani

    Mama Mpendwa Shalom Mwenendo uliopo mpaka sasa, japo tunakupongeza kila kona kwamba unaupiga mwingi mambo ni magumu. Hawa walioko vijijini ambao ndo hasa wapiga kura wako hawajui habari ya Ukraine na Putin wao, wanachokihitaji wapate maisha ahueni, wakati nchi nyingi zilizoathirika kama sisi...
  19. JamiiForums Tanzania Mfungo wa Ramadhani ufanywe kuwa utaratibu wa kila Siku wa ulaji. Soma Faida hizi za pendekezo hili.

    Mimi ni mkristo. Nimewahi kushiriki kama wiki nzima kushiriki Mfungo huu. Asubuhi SAA 9-11 tulifuturu Msosi mzito. Wali, nyama,samaki,tambi,uji,juice,matunda mbalimbali, maji ya kunywa, mboga za majani na Kachumbari mzigo. Jioni SAA 12 tulifuturu vitu simple simple tu futari. SABABU KWA NINI...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini mechi CAF Klabu Bingwa Afrika zichezwe siku ya Pasaka?

    Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo. Simba isipofuzu Kateni rufaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…