siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

    Hello Great Thinkers.... Moja ya vitu vilivyojirudia kutoka kwa wachangiaji kwenye hii topic niliyoiandika siku chache zilizopita ni jinsi Tanzania kulivyo na Maigizo kwenye uchaguzi... unaweza kupitia Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais Kwamba kila Uchaguzi ni...
  2. JamiiForums Tanzania Huu udini utaligharimu hili taifa siku Moja. Shekh PONDA Anapaswa kubadilika huku tuendako si salama

    Mheshimiwa DPP “watumwa” wa serikali yako wanakufa gerezani. Salum Khamisi kafa usiku na wengine wamedhoofika sana. Hawa ni mamia ya Waislam unaowashikilia Dar Tanga Moro Arusha Shga MZA Mtwara kwa zaidi ya miaka 9 ukidai unatafuta ushahidi. Muogopeni Mungu watendeeni watu haki. Wanaofungwa...
  3. JamiiForums Tanzania Job Ndugai aliposema ipo siku mtapigwa mnada mlijifanya hamuelewi na mkafurahi alipofanyiwa fitina. Sasa mnapigwa mnada huku mnaona

    Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana. Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta watu ili afanikishe mambo yake kwa nguvu. Mikopo inayofanyika ina siri kubwa na hatujui ipo vipi...
  4. JamiiForums Tanzania Putin: Hawawezi kukataa nishati ya Urusi siku zote

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Nchi za Magharibi haziwezi kuendelea kugomea nishati ya mafuta na gesi kutoka katika taifa lake wa miaka mingi ijayo. Amedai kuwa makampuni ya Urusi yanaendelea na mchakato wa kuchimba visima kwa kuwa wanajua biashara ya nishati itakuwepo. Kauli hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Juni 8: Siku ya Bahari Duniani

    Kila mwaka ifikapo Juni 8, Siku ya Bahari Duniani huadhimishwa ili kuwakumbusha watu umuhimu wa bahari katika maisha ya kila siku na matishio mbalimbali yanayoikabili bahari zikiwemo shughuli za kibinadamu Katika nafasi ya mtu mmoja mmoja, tunaweza kulinda na kutunza bahari kwa kupunguza au...
  6. JamiiForums Tanzania Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

    Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini.... A second Russian general is reportedly dead after heavy fighting in Ukraine’s eastern Donbas region over the weekend. Lt. Gen. Roman Berdnikov, formerly the...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha yangu ni chaguo langu, maisha yangu yamekuwa ni hadithi ya kusimulia. Kila baada ya mwaka mpya. Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

    Habari za leo rafiki naitwa Jumanne Mwita, Leo ni tarehe 06/06/2022 Kila ifikapo siku yangu ya kuzaliwa, huwa naandika moja ya makala kwa ajili yangu, kwa sasa nimetimiza miaka kadhaa ambayo kwangu mimi ni miaka mingi kidogo sihaba hapa nilipofikia pia namshukuru Mungu niko hai bado. Miaka hii...
  8. JamiiForums Tanzania Siku nyingi sijasikia wabunge na madiwani wakiunga mkono juhudi na kuhamia CCM

    Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
  9. JamiiForums Tanzania Siku 100 zimepita tangu Urusi ianze operesheni Ukraine, hizi hapa takwimu ya ilichopoteza

    Urusi ilianza kwa mbwembwe za kutieka Kyev na wakampa rais wa Ukraine masaa aondoke akimbie la sivyo wanakuja kumpindua, Zelensky akawa jeuri akasema haondoki katu, akaomba apewe silaha, hapo Urusi wakalianzisha, wakajaribu mbinu zote ila Kyev ikashindikana. Wakatia limsafara la vifaru na zana...
  10. JamiiForums Tanzania Ni siku zipi mwanamke anashika Mimba baada ya kutoka hedhi?

    Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari?
  11. JamiiForums Tanzania Kwa yeyote mwenye kibarua mimi nipo tayari kufanya naombeni msaada wenu

    Maisha ni fumbo,fumbo ambalo linahitaji kufumbuliwa, wachache wameweza kulifumbua fumbo hili sasahivi wanakula kuku kwa mrija kama wengine wasemavvyo. Mimi ni miungoni mwa wale ambao tumeshindwa kulifumbua fumbo la maisha na kuishia kusindikiza wengine kama dunia hii iliyojaa shida. Kiukweli...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    Habari za ndani kabisa zinasema: 1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa 2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa siku kila mwanadamu anatumia bidhaa ya Marekani

    Kama sio Airbus, utatumia Coca-cola au Pepsi, utakwepa huko utakamatwa Kwenye Colgate. Haya utakimbia iphone lakini utabanwa Kwenye fb, insta, Whatsapp. Kama uko kijijini, una kitorch Cha mchina utapiga tu cm na network na ya beberu. tasema Mimi ctumii cm lakini utavaa mtumba wa mu America...
  14. JamiiForums Tanzania Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Ndo kama hivyo, halafu nikiangalia maendeleo niliyonayo daah. Inabidi niwe serious na nirudi kwa muumba wangu ndo nilivyoamua hivyo, ili mwaka ujao tarehe kama ya leo panapo majaliwa niwe mahali fulani penye afadhali. Asanteni.
  15. JamiiForums Tanzania Flaviana Matata Foundation, Marie Stopes Tanzania Watoa Elimu Usherekea Siku Ya Hedhi Duniani 28, Mei 2022

    Siku ya hedhi duniani huadhimishwa kila mwaka, siku ya tarehe 28 Mei ikiwa na lengo ya kuwakutanisha wadau mbalimbali kwa dhumuni la kuongeza uelewa kuhusu masula ya hedhi kwa msichana na kuhamaisha msichana kupata maji safi na taulo. Hii hasa inawalenga wale walio katika mazingira ya hali ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wasanii wetu wa kiume wana agenda gani na mavazi yao siku hizi? Wanahamasisha 🏳️‍🌈? Mtazame Harmonize!!

    Huyu ni role model wa vijana wengi hapa nchini. Inasikitisha!
  17. JamiiForums Tanzania Siku 1: Watanzania Waangukia Pua kwenye Mashindano ya EAAR, Dar

    Watanzania Waangukia Pua Kwa siku ya kwanza kwenye mashindano ya Riadha ya EAAR kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 18 na chini ya miaka 20 inayoendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar. Matokeo yanaonyesha Ethiopia na kenya ndizo zinashikilia usukani kwa siku ya kwanza (Jana), Leo...
  18. JamiiForums Tanzania Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi

    Siku mbili baada ya kuibua tuhuma za watoto 8 wenye umri kati ya miaka 6-8 kufanyiwa ukatili wa kingono na mwalimu wao katika Shule ya Msingi Global iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam zimetolewa siku 7 za uchunguzi wa kina wa tukio hilo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii na Makundi Maalumu, Dkt...
  19. JamiiForums Tanzania Simba SC siku zingine msilirudie tena Kosa hili la Kiufundi na Binafsi mmenikera

    Watu tunaojua kuwa Kesho Kipa Aishi Manula hatocheza tunawashangaa kabisa Kutwa mnavyohangaika kututia Moyo. Yaani badala ya kutumia muda wenu mwingi kumjenga Kisaikolojia Kipa wangu bora Simba SC Beno David Kakolanya nyie mnahangaika na Aishi Salum Manula wenu kana kwamba ni mzuri kivile...
  20. JamiiForums Tanzania Zimebaki siku 50 Giniki Gisamoda na Gabriel Geay kutuwakilisha Kimataifa

    Emanuel Giniki Gisamoda na Gabriel Gerald Geay ni Wanariadha Wawili mpaka sasa wanaotarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Dunia yatakayofanyika Eugene, Oregon nchini Marekani, kuanzia Tarehe 15 julai Hadi Agosti 25. Zimebaki takribani siku 50 kabla ya wao kwenda kutupa karata yao ya Kusaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…