siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Septemba 5, Siku ya Kimataifa ya Hisani Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Hisani inaadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Septemba na iliidhinishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo 2012 Siku hii ilianzishwa kwa madhumuni ya kuhamasisha watu, mashirika yasiyo ya kiserikali, na wadau kote ulimwenguni kusaidia wengine kupitia shughuli za kujitolea...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kusoma hii paragraph ikifananisha utozaji kodi na ujambazi nilicheka sana. Leo naona ukweli

    The government does not, indeed, waylay a man in a lonely place, spring upon him from the roadside, and holding a pistol to his head, proceed to rifle his pockets. But the robbery is none the less a robbery on that account; and it is far more dastardly and shameful. The highwayman takes solely...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Angliakana Dayosisi ya Mpwapwa afariki siku 6 baada ya kuwekwa wakfu

    Katika hali ya majonzi na maskitiko askofu mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Mahimbo Mndolwa ametangaza kifo cha Askofu mpya wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto leo tarehe 3.9.2022 ikiwani nitakribani siku sita tangu askofu huyo alipowekwa wakfu wa kuwa askofu mkuu wa dayosisi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, Septemba 3, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day) leo tarehe 03 Septemba, 2022.
  5. JamiiForums Tanzania Mke anaunguza chakula kila siku

    Mke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana. Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku...
  6. JamiiForums Tanzania India na China iko siku kitawaka

    Haya mataifa mawili yamekua na uhasama wa mda mrefu sana. China baada ya kutoa toleo lao jipya la aircraft carrier ,India nao wamefyetua yao ili kujibu mapigo. Hahaaaa inachekesha sana mchina na mhindi kuchapana ,ukichek muvi zao ni katuni tupu hazina hata uhalisia ,je wakichapana si ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi amepoteza vifaru 23 na helikopta kwa vita vya siku moja kwenye kuukomboa mji wa Kherson

    Na humo wameuawa kweli kweli pamoja na zana zingine lukuki, ni mwendo wa mbele kwa mbele, Ukraine wanajitoa mhanga vizazi vya kesho vitaendeleza jamii ila lazima wakomboe ardhi yao.... HIMARS zinarindima balaa. Mrusi anajutia kishenzi, hajui pakutokea maana wanajeshi wenyewe wa Urusi hawana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nilivyomhamisha mtaa kwa siku saba jirani yangu mjeuri

    Habari zenu. Kuna kabila moja kanda ya ziwa wakiwa jirani zako maugomvi hayaishi. Mara kakuibia mpaka, mara ajitape yeye ni tajiri sijui nini sijui nini. Jirani yangu huyu ana tuvisenti twake akajifanya ana jeuri sana siku moja akaniambie we naweza kukuhamisha mtaa na mimi nikamwambia huwezi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi huogopa kupoteza usichana wao kwa kuhofia siku ya kwanza ya ndoa yao na si kuwa na hofu ya Mungu

    Mambo vipi Sina uwandish mzuri ila nadhan nitakuwa nimeeleweka kwenye ili. Sio wanawake wote wanaotunza bikra kwa sabab ya hofu ya Mungu wengi wao huogopa kupoteza usichana wao kabla ya ndoa kwa kuhofia endapo wataolewa na mtu tofaut ambae aliemtoa usichana wake. Mwanamke hupitia wakat mgumu...
  10. JamiiForums Tanzania Siku niliyojua mama yangu anaumwa UKIMWI mwaka 2005

    Ilikuwa kipindi Ferouz ndio ametoa wimbo wake wa starehe, mama alikuwa anaumwa ila nyumbani tulikuwa tunaambiwa anaumwa TB. Sasa siku jioni tumekaa mi nikaimba kipande cha wimbo wa Ferouz " starehe mnazipenda ila mwisho wake ni mbaya, wengi wameteketea kwa kuendekeza umalaya...." Kwa kweli...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Siku moja tajiri namba moja Tanzania atakuwa kijana mwanzilishi wa Startup

    Asilimia kubwa ya wasomaji wa andiko hili wanamjua Elon Musk na matajiri wengi wenye utajiri unaokadiriwa kufikia hadi mamia ya mabilioni ya dola za kimarekani. Kinyume na uhalisia wa hapa nyumbani ambapo mabilionea wengi utajiri wao upo kwenye akaunti za benki mbalimbali na majengo. Mabilioni...
  12. JamiiForums Tanzania Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

    Wanabodi, Makala ya leo ni Swali Sensa za nyuma tulihesabiwa ki analogia na ilichukua siku 1 tuu, sasa tunahesabiana kidigitali inachukua siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Leo ni siku ya 6, kuna kaya hazijafikiwa, kesho ni siku ya 7 ambayo ndio ya mwisho. Je, kaya zote...
  13. JamiiForums Tanzania Siku Tanzania "ilipotoa" msaada

    Wengi wetu tuna hii dhana kuwa Tanzania ni nchi ya kupokea misaada tu. La hasha! Kulikuwa na wakati Tanzania ilikuwa ikitoa misaada, tena ya kifedha! Mwaka 1975 ulikuja ujumbe wa Vietnam ukakutana na rais wa wakati huo Julius Nyerere. Ujumbe huo ulikuwa unatembelea nchi za duniani kuomba msaada...
  14. JamiiForums Tanzania Ma binti wa siku hizi hawana adabu kabisa ewe mzazi makinika nao

    '....unanitaka?! Haya basi njoo uni...kama unamuonea wivu Jofrey.' Hapo juu ni maneno ya binti mtoto wa jirani yangu aliyemfumaniwa na kijana chumbani kwake mda huu akimjibu baba yake mzazi. Mzee wa watu ni msabato na alirejea nyumbani kutoka kanisani kufuata kitabu cha dini alichokisahau...
  15. JamiiForums Tanzania Karibu Bongo sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku

    Bongo ni sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku 😂
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Siku rahisi ni jana tu (the only easy day was yesterday)

    Kwa Majina wananiita bwana Kupata Majaliwa, mtoto wa tatu kuzaliwa katika familia ya watoto wanne inayoongozwa na mama pekee. Familia yetu haikuwa familia yenye uwezo wa kifedha lakini pamoja na hayo mama yetu alijitahidi kila mwanafamilia anapata mahitaji ya kimsingi hasa elimu. Pamoja na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tarehe ya Harusi ( Ndoa ) huamuliwa kwa Mwanamke ( Bibi Harusi ) kutokuwepo 'Period' Siku hiyo?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ( hii Mada ) ni Kusoma tu Mirejesho ( Comments ) za Wana JamiiForums.
  18. JamiiForums Tanzania Siku vyombo ya ulinzi vikikaa pembeni, CCM mtajamba cheche

    Jeuri ya CCM ni kutumia mabavu. Vyombo vya ulinzi na usalama vinatumiwa vibaya Sana. CCM ni wepesi kama makopo ya plastic. Dola ndiyo inawabeba, siyo sera.
  19. JamiiForums Tanzania Zoezi la sensa 2022 lafikia asilimia 54 ikiwa leo ni siku ya 4

    Zoezi la kuhesabu watu katika sensa ya watu na makazi limefikia 54% hadi leo Agosti 26, 2022.
  20. JamiiForums Tanzania Bunge laipa TRA siku 30 kufanya maboresho ya mifumo yake

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwezi mmoja (sawa na siku 30) kuipelekea mpango kazi wa namna walivyojipanga kukabiliana na hoja za kikaguzi zilizoainishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Makamu Mwenyekiti wa PAC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…