siku ya wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siku ya Wanawake: Bi. Titi Mohamed mahojiano na waandishi maalum

  2. Siku ya wanawake: Bi. Titi Mohamed alipounguruma tononoka hall Mombasa na Pumwani, Nairobi

  3. J

    Siku ya Wanawake: Wanawake Wajasiriamali waenda Chato kufagia kaburi la hayati Magufuli

    Nichukue fursa hii kuwatakia Wanawake wote sikukuu yenye baraka. Pili, niwapongeze akina mama Wajasiriamali waliofunga safari kutoka Dar es salaam wakielekea Chato kusafisha kaburi la hayati Magufuli wakikumbuka jinsi alivyowapambania. Mungu wa mbinguni awabariki Wanawake wote. Kwaresma njema!
  4. Wanawake mashujaa waliosahauliwa tunawakumbuka: makala maalum siku ya wanawake

    AISHA ''DAISY'' SYKES ANAVYOWAKUMBUKA MAMA NA BIBI ZAKE WALIOSAHAULIWA NA HISTORIA Utangulizi Kila ninapofikiri kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika hasa katika zile siku za mwanzo za TAA kabla ya kuundwa kwa TANU na baada ya TANU kuundwa mwaka wa 1954, nashawishika kufanya rejea...
  5. Mabadiliko ya TabiaNchi yanaathiri zaidi Wanawake sababu ya kukosekana Usawa wa Kijinsia

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani (Machi 8, 2022), inaelezwa kuwa Wanawake na Wasichana wanakumbana na athari kubwa zaidi za Mabadiliko ya TabiaNchi, kwani yanazidisha ukosefu wa UsawaWaKijinsia Umoja wa Mataifa (UN) unasema Ulimwenguni kote Wanawake wanategemea zaidi Maliasili, ilihali wana...
  6. Victoria Charles Mwanziva Leo Tarehe 3 Machi 2022 ameshiriki utoaji wa Elimu kwenye Kambi maalumu ya Mabinti

    KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA ASHIRIKI UTAOAJI WA ELIMU YA UONGOZI KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Kuelekea kilele cha siku ya wanawake Duniani Tarehe 8 machi 2022, Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu. Victoria Charles Mwanziva Leo Tarehe 3...
  7. Oktoba 15: Maadhimisho ya Siku ya wanawake wanao ishi kijijini

    Leo ni Siku ya wanawake wanao ishi kijijini, Siku hii huadhimishwa kila Oktoba 15 ikilenga kutambua Haki za Wanawake wanao ishi kijijini pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo Siku ya Kimataifa ya wanawake waishio kijijini inaweka msisitizo kwenye kushughulikia matatizo...
  8. Siku ya Wanawake Duniani jinsi ilivyokuwa ya kushangaza

    Jana ilikuwa ni siku ya wanawake duniani. Nafikiri tumeona mengi sana pia mnakaribishwa kuandika mliyo yashuhudia hiko kwenu. Upande wangu nilichoshuhudia na kunishangaza,, post nyingi mitandaoni HAPPY WOMAN DAY ililengwa kwa kumuwish mama Mzazi, bibi, shangazi, Dada, workmate wa kike, na...
  9. Leo Siku ya Wanawake: Tuambiane ukweli tu kuna Wanawake bila kipigo kidogo hawaelewi kabisa

    Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi mojawapo ambayo naomba sana dada zangu mzingatie, msilazimishe kupigwa. Please please nawaomba ile tabia ya "nipige kama wewe mwanaume kweli" si kauli nzuri. Ila pia muwe mnaelewa kiurahisi, asilimia kubwa ya wanawake ni wagumu sana kuelewa, wazito mpaka...
  10. Siku ya Wanawake: Huyu Dada alichonifanyia niliacha kabisa kuwaamini wanawake. Wengi wanapenda kutumika hivi

    huyu dada nilimuunganisha na watu wa Kampuni flani kikazi. alikuwa dada mzuri ila sikuwa na mpango naye kabisa. mara nyingi alikuwa anaonesha nia ya kutaka uhusiano. mimi niliona ni kujiongezea shida tu. hana kazi anaishi kwa walezi wake amemaliza chuo , sina mpango naye kimahusiano, sitaki...
  11. Siku muhimu

    Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf
  12. Siku ya wanawake duniani-tuishi nao kwa akili

  13. B

    Siku ya Wanawake Duniani isitumike kutengua maandiko ya vitabu vitakatifu

    Kuna hii kitu yetu inaitwa siku ya wanawake, kuna hii kitu inaitwa super woman na kuna hii kitu tumeanzisha inasema mwanamke ni kichwa cha familia. Wanawake kuna sehemu tumetumbukizwa shimoni na wapigania haki za wanawake na bila kujijua tumejaa viburi na sasa tunajitokeza hadharani kudai sisi...
  14. J

    Kuelekea siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2021 UCSAF yatoa msaada katika kituo cha Watoto yatima

    KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE UCSAF YATOA MSAADA KWA YATIMA Na: Celina Mwakabwale Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2021, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ( UCSAF) umetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Nyumba ya Matumaini...
  15. Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…