siku 7

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

    COUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. -US President, Donald Trump. Daily Iran News. BREAKING NEWS The US Carrier USS Abraham Lincoln has entered strike range of Iran amid escalating tensions...
  2. Mwigulu atoa Siku 7 kwa TANROADS, TARURA Lindi, ataka watengeneze kwa haraka daraja la dharura lililoanza kutitia

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku saba kwa Mameneja wa TANROADS na TARURA wa Mkoa wa Lindi wakae na kutafuta suluhisho la ujenzi wa daraja katika eneo la Congo kwenye barabara inayoenda Masasi kutokea Nachingwea. Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza...
  3. Siku 7 zatolewa kwa wamiliki wa viwanja Kigamboni kuvifanyia usafi au kutozwa faini, utaifishaji au umiliki wa viwanja husika kufutwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
  4. Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

    Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
  5. N

    Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

    Mimi ni kijana umri miaka 28 niko Dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... Tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nilikuwa najisomesha mwenyewe na kwa sasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nilikuwa nahitaji msaada wa kazi yoyote (isipokuwa...
  6. Wananchi wachukua maamuzi magumu kuvunja chungu waliopora kibabe watoa Siku 7 wajisalimishe

    https://www.youtube.com/watch?v=F3Hn_d8HLas
  7. Mkuu wa Mkoa wa Songwe amvaa mkandarasi Tunduma, atoa siku 7

    https://www.youtube.com/watch?v=HkDDYR59Gj4
  8. Simba hata ikitoa draw kule Misri nipigwe Ban ya siku 7. Haiwezekani hata kwa Dawa

    Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana. Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo. Team ya kufika mbali ilikuwa...
  9. W

    Baba anayepata Mtoto Njiti kupata Likizo ya Siku 7

    Bunge la Tanzania limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi (NA.13) wa Mwaka 2024 ambao umeongeza likizo ya uzazi kwa wanaojifungua Watoto njiti ambapo itaanza kuhesabiwa wiki 40 baada ya Mama kujifungua huku Baba wa Mtoto njiti akipewa likizo ya siku saba badala ya likizo...
  10. M

    Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

    Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi? Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
  11. Ufunguzi wa Siku 7 za Kubeba Kila Kitu

    UFUNGUZI WA SIKU 7 ZA KUBEBA KILA KITU 📍20 Novemba, 2024 Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) leo amekuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa Kampenzi za Uchaguzi wa Serikali za...
  12. Dirisha la Masahihisho maombi ya mikopo 2024/2025 kuwa wazi kwa siku 7

    Tunawataarifu waombaji wa mikopo ya Wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 kuwa baada ya kufanya uhakiki wa maombi yao, tumebaini baadhi ya maombi hayo yanahitaji kufanyiwa masahihisho ili kuruhusu kuendelea kwa hatua inayofuata. Dirisha la kufanya masahihisho litakuwa wazi kwa siku 7 kuanzia Septemba 15...
  13. Vijana kenya watangaza siku 7 za hasira dhidi ya serikali

    Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya maiti ya City kutoa heshima kwa mmoja wao Rex Kanyeki Masai aliyeuwawa kwa risasi jijini Nairobi...
  14. Sierra Leone, Kampuni za Umeme hazijalipwa, zakata Umeme, Raia wabaki gizani kwa Siku 7

    Wananchi katika Mji Mkuu wa Freetown, na Miji mingine nchini humo wamelazimika kukaa gizani kwa Siku 7, baada ya Watoa huduma za Umeme kusitisha Huduma kutokana kutolipwa kwa muda mrefu Kampuni ya Kituruki ya Karpowership, inayotoa sehemu kubwa ya umeme wa Freetown, imesimamisha huduma zake...
  15. Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7 na Kupata Ujauzito

    Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7. Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi. Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili mimba iingie. Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote akijua yeye ni mgumba. Credit: Dr. Kala
  16. Israel yakiri Iron Dome zimeshindwa kuzuia maroketi kutoka Gaza kutua Tel Aviv. Hii ni baada ya ukimya wa siku 7 kubadilishana mateka

    Tangu vita vianze upya baada ya ukimya wa siku 7 wakati wa kubadilishana mateka Hamas imeendelea kurusha maroketi ya masafa marefu kutokea ndani ya Gaza ambayo yanaufikia mji mkuu wa Israel wa Tel Aviv. Kwa mujibu wa Allan Fisher ,mpashaji habari wa aljazeera makombora kadhaa yaliyorushwa hapo...
  17. JWTZ: Baada ya siku 7 atakayepatikana amevaa, anatumia au anauza mavazi ya Jeshi atapatiwa adhabu kali

    https://www.youtube.com/watch?v=Z3MzD0q8MMA Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limebainisha hatua hiyo inatokana na ongezeko la raia wanaotumia mavazo hayo wakikinzana na Sheria ya Ulinzi wa Taifa, Sheria ya Taifa na Sheria ya Kanuni ya Adhabu zinazokataza raia kuvaa au kutumia...
  18. Waziri Mkuu Majaliwa atoa siku 7 kwa TARURA, DAWASA kukamilisha barabara Muhimbili

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam, Godfrey Mikinga na Mkurugenzi wa Usafi wa Usimamizi wa Usafi wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingiza (DAWASA), Lydia Ndibalema wawe wamekamilisha...
  19. Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

    Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi. Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
  20. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atoa siku 7, watoto 24,000 waandikishwe shule

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda, ametoa siku saba kwa uongozi wa Wilaya ya Maswa mkoani humo, kuhakikisha unakamilisha kuandikisha watoto 24,000 wanaotarajiwa kuanza masomo ya darasa la kwanza na awali wilayani humo. Aidha, Dk. Nawanda amemuagiza Mkuu wa Polisi pamoja na Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…