sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CAF walikuwa sahihi, uwanja wa Benjamin Mkapa hauna sifa za kuhodhi mechi za CAF

    Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa. Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo. Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea. Uhalisia wa pitch ni tofauti...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mgumba anayejielewa anahitajika awe na sifa hizi

    Habari wanaJF Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi. Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta anapitia changamoto nzito sana katika mahusiano yake kisa matatizo yake ya uzazi(ugumba). Mimi sio...
  3. JamiiForums Tanzania Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  4. JamiiForums Tanzania Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndo sifa za jamaa zangu fulani waitwao mamodinyo

    Jamaa zangu fulani wanaojiita mamodinyo (modinyo akiwa mmoja) Wana sifa za kipuuzi kweli kweli, zifuatazo ni sifa zao chache:- 1.Wanaweza kukuhukumu kutokana na maneno au malalamiko ya watu hata kama hayana mashiko. 2. Hawataki uzungumzie siasa zinazoikashifu chamantawala. 3. Wanijiona Sana...
  6. JamiiForums Tanzania Wabongo mnaoshi ulaya acheni sifa za kijinga

    Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga . Mkipata wekezeni Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa Watoto wenu mnawaacha katika umasikini. Mkizeeka pia mnatia aibu. Kuna mmoja ameona amefia huko majuu...
  7. JamiiForums Tanzania Raman ya kuombea vibali vya ujenzi lazima iwe na sifa hizi

    Soma kwenye picha hapo Ukitaka tukuchoree raman ya nyumba 0743257669 au nichek whatsapp au piga sim
  8. JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya kuombea kibali cha ujenzi inatakiwa kuwa na sifa hizi

  9. JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni sifa za mwanaume anayejitambua kama ifuatavyo

    Kama ulikua hujui MWANAUME ANAEJITAMBUA anatakiwa kuwa na sifa zipi wacha nikufahamishe;- Wanaume tupo wengi sana hapa duniani, Lakini wanaume wanaojitambua niwachache sana, Sasa utajuaje mwanaume fulani anajitambua, Au utajuaje wewe mwanaume mwenzangu unatambua, 1)...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye sifa hizi.

    01.Akikukosea anakuomba msaamaha mara mbili, usipomsamehe anakausha, baadae anakuombia unataka kuombwa msamaha siku tatu kwani wewe umekamilika? 02.Mwanamke Ambae anapigia hesabu pesa ambayo hujaipata, ila kwasababu anajua kwa siku unaingiza shingapi anapiga matumizi kabisa. 03.Mwanamke ambae...
  11. JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC msiingie katika Mtego mbaya ambao Haji Manara anataka Kuwaingizeni kwa Chuki zake na Karia na kutafuta Sifa na Uungwaji mkono Wenu

    Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi. Pili alichokifanya Haji Manara ni kutafuta tu Uungwaji mkono wake wa Taasisi yake aliyoizindua kutoka kwa wana Yanga SC na hasa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mwanya mpana sana kwa wageni na wasio na sifa za kupiga kura kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

    Yaani hamna chochote unachoulizwa kuthibitisha uraia wako, afya yako ya akili NK. Hapa kwetu Warundi na Wamalawi wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha
  13. JamiiForums Tanzania Sifa za kusifika kimapato tofauti na miundo mbinu iliyomo.

    Kuna wilaya utasikia inasifika kimapato mpaka kuwa kinara ila yaliyomo ndio unaweza kuangua kicheko. Mapato yanayo kusanywa tofauti na miundo mbinu iliyopo. Kuna mada hapa JF imetolewa kuhusu wepo wa viwanda vingi na ufinyu wa barabara. Viwanda vinaweza kuwa na mapato makubwa ya wilaya lakini...
  14. JamiiForums Tanzania JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

    Habari wanajamvi! BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos. Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
  15. JamiiForums Tanzania Anastahili sifa nyingi za wana JF ili kazi iendelee

    Bongo watu wanapenda kuamini vitu vya ajabu Sana, huenda ni meneja au mfanyakazi aliyekua na shift night alimwingiza kwa lengo la kupunguza upwiru. lakutokea likatokea akaona kuliko kibarua kiote majani amwangushie huyo mtoto wa watu jumba bovu.
  16. JamiiForums Tanzania Hivi sifa ya mtu kutumikia Ubungw ni Kuwa na likitambi au mtumbo Mkubwa?

    Africa tuna matatizo sana, ukiwaangalia wabunge wengi wa Tanzania wana mivitambi mikubwa, mitumbo mikubwa, tuna wabunge matumbo tumbo. Fyuu hovyo nimeona video clip ya like libunge la malinyi nilitumbo tumbo tu. Fyuuu
  17. JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Trump na Zelensky pamoja na mataifa ya Ulaya ni kusema vita vimewashinda baada ya kutaraji kupata sifa za ushindi

    Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha. Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye mapenzi?

    Mwanadada akionyesha ,Ulimi wake Ulivyo kuwa Mrefu Sana tofauti na Wana damu wengine Wanaume Wengi Wana Penda nyash Ila kuna ulimi pia Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye mapenzi?
  19. JamiiForums Tanzania Zijue sifa za Nissan patrol V8

    Nissan Patrol V8 ni toleo la juu la Nissan Patrol, ambalo linajivunia injinia ya V8 yenye nguvu na uwezo bora wa off-road. Gari hili linatumika sana katika mazingira magumu na linalotambulika kwa uimara, uwezo mkubwa wa kuvuta, na matumizi ya kifahari. Hapa chini ni sifa muhimu za Nissan Patrol...
  20. JamiiForums Tanzania Singida BS wamsagia kunguni Uchebe, wadai hakuwa na sifa za kuwa kocha mkuu wala msaidizi

    Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…