siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Balozi Dkt. Slaa na siasa za 2025 na kuendelea

    Inaelekea ukaonekana ni uzi wa ambao ni ngumu kuuelewa kama lilivyo lile neno refu kuliko yote la lugha ya kimalkia yaani Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosi. Nina iangalia kwa kuichungulia 2025 kuelekea mbio za urais, na balozi dkt w.slaa anaweza akaja kivingine na kuushangaza umma wa...
  2. Siasa za Mafuta na Gesi: A Performance Audit Report On Produced Graduates in Oil and Natural Gas Industry in Tanzania

    A PERFORMANCE AUDIT REPORT ON PRODUCED GRADUATES IN OIL AND NATURAL GAS INDUSTRY IN TANZANIA EXECUTIVE SUMMARY All personnel either directly or indirectly employed by International Oil and Natural Gas companies have to meet certain professional standards and levels of qualifications. Therefore...
  3. SoC01 Makosa ya Serikali kufuatia mapambano dhidi ya UVIKO-19 na chanjo yake

    Utangulizi Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
  4. USHAURI: Tufute vyama vyote vya siasa tuanze upya.

    Tuanze na CCM chama ninachokipenda. Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe nikiwemo. Alipoichaguliwa Magufuli nikaona chama ndo kimepoteza muelekeo kabisaaaa, lakini watu...
  5. CHADEMA, Vijana someni sana ili kuongeza ufahamu

    Habari Tanzania! Leo napendezwa niongee na enyi vijana kizazi kipya kwenye masuala ya Utaawala na Siasa Kazi. 1. Siasa; Unapobomoa " Legacy " ya utawala wowote/ yoyote ukumbuke utawajibika kiutawala na utapata adhabu yenye kukupa adabu aidha uache nia ovu uliyonayo kwa kujua au kutokujua; au...
  6. Kinatakiwa Chama kipya cha Siasa cha Ukombozi hasa. CHADEMA na CCM hamna kitu

    Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala. Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania. CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
  7. J

    Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

    Msajili wa Vyama vya Siasa amemtaka Katibu Mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo. Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili. Mnyika ameandika katika ukurasa...
  8. P

    Ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa

    Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa. Nchi inavyoenda kwa mfumo huu bila chombo madhubuti ni sawa na kuendesha kikada na fikra za mtu binafsi bila...
  9. Msajili wa Vyama vya Siasa adaiwa kumtaka Mnyika aandike barua ya maelezo kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu Rais Samia

    Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania. Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!
  10. N

    Miraruano ndani ya vyama vya siasa ni ishara ya nyufa

    Habarini wadau, Wiki hiii naona miraruano na mitifuano ndani ya vyama vya siasa yote haya yanatokea kama vile vyama havina viongozi. Ni wakati wa kujitathmini kwa viongozi wa vyama hivi vikubwa. Tumeona jana gazeti pendwa limetoka na habari ya kimtifuano ndan ya chama mpaka gazeti linakwenda...
  11. Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
  12. Ushauri: Utumishi waache siasa kwenye kazi

    Habari za wakti huu; Naandika uzi huu kwa nia nzuri kabisa ambayo najua Ndugu XAVIER DAUDI pamoja na Waziri anayehusika na UTUMISHI pia wanayo. Utumishi wa serikali/umma ni heshima kubwa sana kwa yeyote anayepata fursa ya kuajiriwa huko. Hata ni ukweli usiopingika kwamba sio kila mtu ana sifa...
  13. Taratibu Polisi inachukua nafasi ya CCM kwenye siasa za Tanzania

    Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola. Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema. Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa...
  14. Siasa za Tanzania zimejaa vituko

    Nimecheki hili bango nimeishia kucheka ingawa jambo lenyewe ni zito .
  15. Siasa za uwekezaji na uwezeshaji, tofauti na uhalisia wake

    Baada ya kuwa msomaji na mfuatailiaji na mchangiaji mzuri sana wa Jamii Forums kwa muda mrefu, ingawa uchangiaji wangu hapa JF umejikita katika mambo ya biashara, ujasiriamali na mengineyo machache, leo nimeona nitoe dukuduku langu kwa uchache kwenye siasa. Lakini mada yangu hii ya siasa...
  16. Ushauri: Askofu Gwajima aanzishe Chama cha Siasa

    Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19. Inavyoonekana Askofu...
  17. Siasa inavyochangia Uchafu ndani ya Jiji la Dar es Salaam

    Habari za leo wanabodi, Ni matumaini yangu tupo salama na tunaendeleza mapambano dhidi ya Uviko 19, ni vyema tukachanje ndugu zanguni!!! Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Swala la usafi katika jiji letu la dar isalaam linaendelea kuwa kitendawili kigumu kwa wakazi wa jiji hili na mamalaka...
  18. Nchi za kijamaa (communist) na siasa za vyama vingi huwa haviivi

    Duniani leo nchi za kijamaa (communism) zimebaki chache sana. Imebaki China, Vietnam, Cuba, Tanzania na zingine mbili tatu. Mtu anayesema Tanzania siyo nchi ya kijamaa anakuwa anakosea sana. CCM chama kinachoongoza nchi yetu ni chama cha kijamaa. Katiba yetu inasema hivyo, na hata sheria na...
  19. Kabla ya chanjo jitafakari kwanza, usikurupuke kisiasa

    Ukichanjwa bado unaweza kuambukizwa, kwa Mujibu wa ushahidi sehemu mbalimbali duniani. Bado itabidi uendelee kujilinda na amshambulizi ya vijidudu hivyo kama yule ambaye hajachanjwa. Leo covid 21 tunaiita Delta, akibadilika akija mwingine labda Covid Dec 21 siamini kama kinga itamtambua...
  20. Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

    Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…