siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    Mgawanyo wa Afrika Mashariki ya awali ulikuwa Tanzania Siasa, Kenya Viwanda na Uganda Elimu

    Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977. Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano. Kenya iliaminiwa katika eneo la uzalishaji na viwanda Uganda iliaminiwa katika eneo la Elimu Je, tumebadilika? Jumaa kareem!
  2. Siasa ni nini?

    Kwanini wewe unachangia jukwaa la siasa? Siasa kwako ina maana gani, hasaa; na upo tayari kusimamia msimamo wako muda wowote na kwa gharama yoyote. Siasa kwako ni utu? Siasa kwako ni sheria na mipaka ya kutaka kuongozwa (katiba). Siasa kwako ni sera zenye kuinua jamii? Siasa kwako ni njia...
  3. Mkutano kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini waahirishwa

    Mkutano wa kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini uliopangwa kufanyika Dodoma wiki hii. Sababu za kuahirishwa kwake inaelezwa ni ili kutoa nafasi zaidi kwa wadau wengi zaidi kushiriki kikamilifu. Mkutano huo uliolenga kujadili maudhui ya utekelezaji wa...
  4. Ni wakinga wachache tupo kwenye mambo ya Siasa, Siasa ni kazi ya ziada kwa wakinga

    Mimi Gussie nimezaliwa kaskazini na watu wananijua ni wa huko, Mimi ni Mkinga kamili wa Ikonda. Nimekaa sana Nchini Rwanda pia Anayesemwa sana na watu Mzee Mwakipande aliyekuwa anatoa utajiri alikuwa mjomba wangu na alikwishafariki zamani, Hivi sasa anayefanya kazi za uganga ni mtoto wa mjomba...
  5. Watu weusi, tunafanana sana Kitabia kuliko tabaka lingine zote duniani

    Mara 3 nilipata nafasi ya kuhudhuria mikutano ya kisiasa South.. kwa kiasi kidogo kuna kitu nilikigundua kuhusu Siasa za Africa kusini na Africa kwa ujumla. Mara zote hizo nilihudhuria mikutano ya Chama cha Malema tu. Upande wa ANC sikuwai hudhulia mikutano yao labda kutazama katika runinga...
  6. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na kuongea na Vyama vya Siasa Oktoba 21 - 23

    Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa. Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
  7. S

    CCM iliendaga na hawa mgwiji wawili wa siasa. Hivi Sasa CCM iko mochwari

    Hawa jamaa ndiyo walijua namna ya kufanya siasa na kuifanya ccm ichanue tena ndani ya mioyo ya watanzania. Walijua waseme nn, wakati gani na kwa faida gani? CCM ilinga'ara na kupendwa sana. Chaguzi zilipofika kulikuwa na mtifuano wa haki wa kisiasa baina ya CCM na wapinzani. Baada ya wao...
  8. J

    Kwanini Wabobezi wa siasa za CCM na wasomi wa falsafa Dkt. Bashiru Ally na Dkt. Wilson Mukama wamesahaulika haraka sana?

    Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD. Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani. Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa...
  9. R

    Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

    Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu. wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao. Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua. Nani...
  10. Rais Samia mtu mkweli asiyeyumbishwa

    Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa. Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na...
  11. T

    Rais Samia ataleta siasa muafaka.Ni mtaalamu wa siasa ila wengi hawajui

    Nimefuatilia Sana nyendo za Rais Samia Suluhu Hasan,anajua siasa Sana Ila anajua namna ya kuwa mtulivu na anajua kuwasoma wapinzani ndani na nje ya chama chake,subirini muone
  12. Siasa ya Kenya ina ucheshi sana

    Kuna hii video nimepatana nayo huko youtube nakuambia imeniwacha hoi, nimecheka kweli. Siasa ya Kenya kweli ina ucheshi sana. Halafu huyu jamaa aliyeunda hii video namvulia kofia. Hongera kwake.
  13. T

    Prof. Mbwiliza, Natamani uongelee awamu 6

    Kama kuna mstaafu wa kisiasa utavutiwa kusoma maoni yake pindi afanyapo mahojiano na waandishi wa habari ni Prof. Joseph Mbwiliza. Huyu ni mbunge wa zamani wa Kasulu kabla ya kugawanyika na kuwa majimbo 3, Mjumbe wa NEC akiwakilisha mkoa wa Kigoma enzi hizo, RC wa Kilimanjaro na Naibu waziri...
  14. F

    CCM jifunzeni siasa za kistaarabu toka kwa majirani

    Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa. Nimejuliza sisi tunakwama wapi? Mbona wa kwetu alikuwa huko huko juzi tu, nini mbaya Haya naambiwa pia Uhuru atamkampenia...
  15. J

    Shaka Hamdu Shaka: Sukuma ndani! "Mkibaini mchwa yeyote popote wa fedha za miradi ya Umma"

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi...
  16. C

    Nawakumbusha viongozi wote wa ngazi za juu Serikalini na kwenye Vyama vya siasa. Urais hautafutwi bali urais ndio unakutafuta. Haki itamalaki kote

    Kwenye Taifa hili mimi ni mtu mdogo sana, sina mamlaka yeyote yale. Hata kwenye familia yangu sina nguvu yeyote ya ushawishi, naonekana wa kawaida sana sina maajabu yeyote. Lakini leo hapa nazungumza kitu kimoja kwa viongozi wa juu wa serikali na Vyama vya siasa kwa nguvu na mamlaka makubwa ya...
  17. CHADEMA watangaza kutoshiriki majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa na polisi

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, atakapoachwa huru bila masharti yoyote. Sharti hilo limetajwa leo...
  18. Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu?

    Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu!? Mathalani Marehemu alikuwa anamiliki: MAGOROFA YA HOTELI 7 MAGARI 6 aina ya BENZI NYUMBA ZA KUPANGA 100 DAlADAlA 1000 BARABARA ZA JUU (PRIVATE FLY OVER 7) Na Mengineyo Lengo ni...
  19. CHADEMA acheni kujiingiza kwenye siasa za chuki kuelekea uchaguzi 2025

    Unamsema vipi mtu ambaye hawezi kujitetea Kama Hayati Magufuli, Mkapa au Nyerere? Mimi binafsi Hawa watu siwadai Kama Mungu kashafanya hukumu yake waachwe wapumzike!! Natoa angalizo tu kwa chadema kuelekea uchaguzi 2025 hasa Tundu Lissu na Mbowe wajitaidi kuepuka Mambo yafuatayo. 1: Acheni...
  20. T

    Besije alienda kenya kupata ushauri wa kuendesha siasa za upinzani. Angetaka kujifunza kwetu angeambulia nini!?

    Nimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda muungano mpya wa kisiasa dhidi ya nrm, alilipata nchini kenya ambako alifanya ziara hivi karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…