“Siasa siyo nguvu ya misuli, bali ni busara ya akili. Haitaki mkurupuko, bali inahitaji utulivu na subira. Haitaki ufuate upepo au uongozwe kiholela, bali inataka uzingatie miongozo na kanuni. Siasa siyo kubebwa kuvuka daraja, bali ni kuvuka kwa juhudi na uwezo wako mwenyewe. Maana ukishindwa...