Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Halafu wengi wakubwa hujificha kwenye kivuli cha eidha dini ama siasa, na wahalifu wengine konki hujificha kotekote.
Hufanya hivyo hivyo ili kuuhadaa umma usihangaike na kuuchunguza upande wao wa pili wa shilingi.
Pia kwa kufanya hivyo huwapa ukaribu wa kukutana na viongozi mbalimbali wa...
Habari Tanzania!
Leo napenda kutoa wazo kwa ajili ya kulijenga Taifa letu kwa umoja na ushirikiano wa hali ya juu.
Naomba kupendekeza wazo la tozo mpya ;
Tozo ya Kwanza: Tozo itoke kupitia wanachama wa vyama vyote vya siasa tulivyonavyo hapa nchini. Mfano, kila mwanachama wa chama cha siasa...
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania........
Naamini wengi wetu tuko salama na tunaendelea kupambana na maisha. Karibuni kwenye mada tusaidiane mawazo ikiwa ni elimu kwangu mleta mada, lakini pia fundisho kwa wengi wetu tunaopenda kujishugulisha na siasa na uongozi.
Mimi ni...
Vyama vya siasa si ajira kwamba ni mahali pa kwenda kujipatia riziki.
Vyama vya siasa vina wajibu. Wajibu wake si mdogo.
Siasa ni kama mchezo wa mpira kuchukua na kuzitumia lose balls zote Ili kujipatia magoli.
Kumekuja kukapita mambo ya tozo. Kumekuja panya road. Kunafukuta ya bima ya afya...
Nitaendelea kuuimba huu wimbo Hadi DOLA (the state) wausikie!
Kama mishahara ya kufuru na maposho ya makubwa yataendelea kumwagwa kwenye siasa zetu tusahau MAENDELEO ya kweli KWA nchi yetu!
Kama ma PhD holders na maprofesa wataacha kufanya tafiti zao na kukimbilia siasa Ili wapate MAPESA...
Siasa za Tanzania zinatoa somo zuri sana juu ya karma na namna ya kuwa mtu mwema na wa kufata sheria.
James Mbatia
Huyu alitumiwa na Magufuli kufanya siasa za hila Mbeya, leo hii yeye kafukuzwa NCCR Mageuzi!
Huyu mtu mbona Mamlaka za nchi hii zinazo heshima kubwa kwake?
Yupo bungeni leo lakini unaweza kuona mara zote hukaa kwenye viti vya watu mashuhuli kabisa!
Ni nani huyu mtu kwenye siasa za Tanzania?!
Ana nguvu gani mtu huyu kwenye siasa zetu hapa Tanzania?!
Wana JF,
SALAAM!
Nawauliza kuna tatizo gani nchini KWETU hususan kwa hawa wanaojiita watetezi wa wananchi kupitia forums za vyama vya siasa. Naona kila jambo linaloanzishwa na Serikali liwe zuri au baya linapita bila kikwazo.
Mfano:-
(a). Tozo. - hizi zimeanzishwa kimzahamzaha lkn mwisho wake...
Nimefuatilia tangu kifo cha Queen Elizabeth II mpaka sasa, nimeona Waingereza wanautukuza sana tena kutoka kwenye mioyo yao, the innermost chambers of their hearts u-monarch. Bado wana imani sana na hadhi ya Monarch katika mila zao, maisha yao na utawala/siasa za nchi yao. Na wala...
Maria Sarungi, Mwanaharakati na Mwanachama hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekuwa akiendesha kampeni za kutukana na kudhalilisha Viongozi/Mamlaka halali kwenye mitandao ya kijamii kwa mgongo wa kudai katiba mpya.
Sio tatizo kudai anachokiamini, tatizo ni namna anavyoendesha hizo...
TANZANIA IWE NA VYAMA VYA SIASA VICHACHE ILI KUIMARISHA TAIFA.
Mfumo wa vyama vingi vya siasa unaboresha demokrasia ya nchi kwa kuifanya Serikali chini ya chama tawala iliyopo madarakani kutimiza majukumu kwa ufasaha na uangalizi zaidi. Nchini Tanzania mfumo wa vyama vingi vya siasa ulianza...
Habari JF
Kumekuwa na Tabia ya kususia Chaguzi kwa baadhi ya Vyama hususani CHADEMA, kwa namna navyoelewa kususa haijawahi kuwa suluhu ya tatizo labda kipindi cha utoto tu napo wazazi walikuwa wanaweza kukupotezea tu.
Hivyo nikawaza kwa kina sana nikapata tafsiri zifuatazo zinaweza kuwa sahihi...
Yapata majira ya jioni siku ambayo bibi yangu alirejea toka kazini akiwa na malalamiko sana na akiwa mwenye kuwaza mambo mengi yanayosumbua akilini mwake pasipo kupata ufumbuzi. Ndipo niliamua kumuita bibi yangu nakuanza kumuuliza kitu gani hasa kinamsibu 'Bibi shikamo, pole na mihangaiko ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ni miongoni mwa viongozi walioshiriki Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Magu.
Kikao hicho ngazi ya Wilaya kimefanyika leo tarehe 11 Septemba, 2022 katika Ofisi ya CCM Wilaya.
Viongozi...
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mimi; BENEDICT FAUSTINE
KIKOVE
Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya...
Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais.
Lakini...
1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina.
2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k...
Wasaidizi wa sasa wa Mheshimiwa Rais mnafeli mno, na hata wewe CDF mpya umefeli. Kwanini kuruhusu Mama kuzungumzia Siasa Jeshini? Ni hatari mno, na wenye akili kuwazidi tulidhani mngeliona hili na kumzuia asilijadili huko kwenu. Bali ajikite zaidi katika mada za kimedani (kijeshi), hasa...
Mh. Lissu kwa risasi alimiminiwa alipaswa kufa ila katika hali ya giza nene na mtikisiko katika siasa za Tz msg ikarudi marehem amefufuka. Wengi wetu tunaweza kusema mengi sana ila kiza kinene kimefunika hili tukio ambalo naamini limeandikwa kwa pen ya moto.
Uwenda kikawa moja ya kisa...
Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu.
Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam.
Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora?
Ni mimi huyuhuyu...
Mkutano wa hadhara wa Act Wazalendo huo hapo chini.
Tena wanatishia kuvunja muungano na kurudisha kiti cha Zanzibar Umoja wa Mataifa.
Wakati huohuo huku Tanganyika vyama mbadala vinazuiwa kufanya mikutano ya hadhara.
Je, zuio hili la upande mmoja wa muungano kutokufanya mikutano, huku upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.