siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Mwenendo wa siasa za CHADEMA na Rais samia kupitia CCM. Nani anapoteza nani anapata kati ya CDM na CCM?

    Simple sana. Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM. Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM. Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM. Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
  2. JamiiForums Tanzania Uhakiki wa Wanachama Chama Kipya Cha Siasa 1993

    WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993 Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama chetu kipya cha siasa. Ukumbi huu una historia kubwa sana katika siasa za kudai uhuru wa...
  3. JamiiForums Tanzania Uhakiki wa Wanachama Chama Kipya Cha Siasa 1993

    WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993 Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama chetu kipya cha siasa. Ukumbi huu una historia kubwa sana katika siasa za kudai uhuru wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
  5. JamiiForums Tanzania Umetimiza ndoto zako?

    Nakumbuka nilipokuwa form 2 nilianza kupenda sana majibizano na wenzangu kuhusu siasa, yaani ilitokea napenda sana kukosoa serikali kwa kuwa ndiyo kitu simple sana kuliko kusifia sababu ni kwamba toka tunavyopata uhuru fikra zetu zimejengwa kuwa Wazungu(watawala) ni wanyonyaji na wabaya sana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Naona CHADEMA wanamtengenezea Umaarufu wa Mchongo Godbless Lema, nini matarajio au ndiye Mwenyekiti ajaye?

    Naona kila kukicha mabango na vipeperushi vya Mapokezi ya vinazidi kuongezeka mitaani, kwani kuna nini? Mbona kwa Tundu Antipas Lissu haikuwa Hivi? Au ndiye anayeandaliwa na chama kubeba mikoba?
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanafurahia sana misururu ya watu wanapopita mijini. CCM wao wanajijenga mashinani na hawana mbwembwe

    Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita! Ninyi jidanganyeni na hizo nyomi!
  8. J

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi Chanzo: ITV habari
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga anachofanya kwa sasa ni uasi sio siasa. Anajaribu kutaka kufanya mapinduzi. Ruto hapaswi kuwa mpole kupitiliza

    Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya Odinga na kuwashawishi watu wapindue Serikali sio ya kuyafumbia macho hata kidogo! Kama katiba ya Kenya...
  10. JamiiForums Tanzania Tathmini ya siasa za CHADEMA mara baada ya kuruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa

    Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa. Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema. Ingizo jipya? Lipo. Linatoka CCM. CCM inawanyoosha sana wananchi right, left and centre. Hata wale wabishi nao...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya uchaguzi Nigeria, Ijue Nigeria kwa jinsi makundi ya ukanda, udini na ukabila yanavyopewa uzito kwenye siasa

    Ukanda na ukabila Kanda ya kaskazini wapo wahausa ambao wanaongoza kwa wingi, hawa ni kama wasukuma hapa kwetu, asilimia kubwa sana ni waislamu, hawa wahausa wengi hawana elimu lakini wanajya kucheza power game, wana influence kubwa hata kwenye jeshi, Kanda ya kusini maghahribi wapo wayoruba...
  12. JamiiForums Tanzania Bi. Titi Awafichua Waalim Wake wa Siasa

    BI. TITI MOHAMED AWAFICHUA WALIOKUWA WAKIMUONGOZA KATIKA HOTUBA ZAKE ZA KUHAMASISHA WANANCHI Makala hiyo hapo chini nimeandika baada ya kusona video fupi ya mahojiano ya Bi. Titi. Haya yaliyomo katika mahojiano haya ya Bi. Titi Mohamed kwangu mimi ni mageni mno kwani sikupata kuyasikia popote...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA ni Siasa au hupewa watu maalum

    Tafadhali naomba kuuliza mimi ni mkazi wa mkoa wa Mwanza wilaya ya Ilemela kata ya Ibungilo nilikuwa miongoni mwa watu waliovumilia jua Kali nikipanga musululu mrefu ili kupata huduma ya NIDA. Leo miaka Mingi imepita bila matumaini ni metembelea ofisi za kata zaidi ya mara 50 siyo Mimi wala...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa kuna mtu hamwelewi Rais kweli?

    Mimi naona huyu Mama kaletwa na Mungu kuwa Rais for a purpose. Hebu angalia yafuatayo; 1. Ameondoa retention fee ya loans board kwa wanafunzi ambao tulikuwa tunasuffer kwelikweli. Kila mwaka mkopo ulikuwa unakua whether unafanya kazi au hifanyi. JPM hakufilia kabisa hilo japo inasemekana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto hujawahi kuwa na siasa za engagement. Unatumika na CCM kuhujumu watanzania. Record zipo

    Tunajua unalipwa na CCM kuhujumu maisha ya watanzania. Ndio maana hata hko nyuma ulikamatwa live ukila milungula ili kuhujumu watanzania. Hutaki CCM iondoke madarakani Hizi porojo acha kutuletea 👇
  16. JamiiForums Tanzania Endapo Kivuko kingekarabatiwa Tanzania kwa zaidi ya bilioni 7.5, haya yangetokea...

    Kwenye manunuzi huwa hatuangalii bei peke yake labda uwe mwehu wa kutupwa! Kuna factors nyingi zinakua considered na mara nyingi price inakua ndio ya mwisho, mnaweza mka-negotiage price. Sasa, tunaambiwa kuwa Kivuko kipelekwa Kenya kwenye ukarabati kwa Bei ya 7.5B kwakua wale competitors wa...
  17. JamiiForums Tanzania Lema, hii siyo kuomba Asali CCM kiaina?

    Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  19. JamiiForums Tanzania Mpira wa miguu siyo uchawi, siyo porojo, wala siyo siasa bali ni Sayansi

    Wiki nzima timu ya Simba walilinda uwanja wa Taifa (Kwa Mkapa) kabla ya mechi yao na Raja Casablanca iliyofanyika jana jioni. Matokeo yake Simba wamechapwa mabao 3 kwa sufuri hapo hapo kwenye uwanja walioulinda kwa wiki nzima huku wakifanya ushirikina na imani za kishenzi za Kiswahili. Ifike...
  20. JamiiForums Tanzania Haya ndio CHADEMA waliyoyazungumza toka mkutano ya siasa imeanza

    Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake. Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza. Hiki chama kimeshajifia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…