siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Kwa tamko hili la Dr. Nchimbi inamaanisha Intelijensia ya CCM ndiyo inayotumiwa kukamata viongozi wa upinzani?

    Hata sina haja ya kujieleza, Dr Nchimbi ametufumbua macho kwamba Intelijensia ya Chama chake ndiyo iliyoelekeza kwamba Mbeya hapakaliki na kusababisha kukamatwa viongozi wa CHADEMA kinyume cha sheria. Mfano mzuri nini kilichosababisha Mbowe akamatwe uwanja wa Ndege kama watangulizi wake...
  2. JamiiForums Tanzania TLS Yatoa Tamko Kulaani Ukamataji Holela wa Viongozi wa Siasa, Wanaharakati na Makundi ya Kiraia , na Kuonya Kuhusu Hatari ya Kuvuruga Amani ya Taifa

    https://youtu.be/FfitG5qRW2M?si=HcUhPfFnt9Wh7XCX Katika taarifa iliyojaa msisitizo na ufundi wa kisheria, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi katika kukamata viongozi wa kisiasa, mawakili, waandishi wa habari, na wanaharakati...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitaweza kukuwa kimaendeleo kwa siasa za kifamilia na kujuana hivi

    Tanzania bila kuweka nchi kwanza na kuweka mfumo ambao sio wa kinafiki au wakifamilia tulionao sasa hatutatoka hapa tulipo. Siasa za kuwapa Uwaziri ndugu wa wanasiasa na mifumo ya kufikiri Polisi ndiyo wataleta amani nchini na sio mifumo tutabaki na matabaka na tunaenda kwenye mapigano ya jamii...
  4. N

    JamiiForums Tanzania THRDC: Kukamatwa kwa viongozi, wafuasi wa Chadema kuna lenga kuwazuia kufanya shughuli ya maadhimisho ya vijana duniani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania(THRDC) umelaani vitendo vya kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwemo Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bara, Tundu Lissu, Katibu Mkuu John Myika,Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, Wakili Deogratias Mahinyila...
  5. JamiiForums Tanzania Wito kwa ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa pingeni manyanyaso wanayofanyiwa CHADEMA

    Nimeitaja ACT-WAZALENDO kama chama ambacho kidogo kina muonekano kwa jamii leo hii japo siyo kikubwa kuliko CHADEMA. Kinachoendelea kati ya jeshi la polisi na CHADEMA si uhai kwa vyama vya siasa hasa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kuna kila dalili polisi watatumika...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani ilipoteza muelekeo ilipoanza kuchanganya dini na siasa kinyume na malengo ya waanzilishi wake

    Historia ya Marekani ilianza kwa raia walioondoka Ulaya hasa Uingereza kuanzia karne ya 16 kwa sababu mbalimbali lakini kubwa zaidi zikiwa ni mbili, fursa za uchumi na mkandamizo wa dini. Kipindi cha karne ya 15 hadi 17 kulikuwa na mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali Ulaya ikiwemo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa CHADEMA mlioingia kwenye siasa hivi karibuni kimihemko

    Natoa ushauri kwenu kwa nia nzuri tu, mkitaka chukueni msipotaka endeleeni na harakati zenu, mimi nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii wakati nikiwa form 2 mwaka 1992, enzi hizo ndio kumepamba moto siasa za vyama vingi yaani democratization process. Hali ilikuwa moto kipindi kile, chama chenye...
  8. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma na masuala ya siasa

    Inakuaje watumishi wa UMMA wanalazimishwa kudhulia mikutano ya SIASA
  9. JamiiForums Tanzania Endapo Tundu Lissu akiamua kuondoka CHADEMA, ni athari zipi zinazoweza kuikumba?

    hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho.. haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini...
  10. JamiiForums Tanzania Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

    Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa! Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka. Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu. Hivi hilo tukio n la kwanza ? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina...
  11. JamiiForums Tanzania Embu Watanzania tuache Siasa kwenye mambo ya msingi

    Sijajua kwa nini Jeshi la Polisi limechelewa hivi kutoa taarifa kwenye tukio la kinyama lililofanywa na Watanzania wanaume wanne dhidi ya mdada mdogo wa Kitanzania. Ukisikiliza ile video anaongea victim kuwa amefanyiwa vile kwa sababu ya kutembea na mume wa mtu. Sasa kunashindikana vipi...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024 Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi. Taarifa yao kwa Umma hii hapa ======
  13. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aomba jengo la Maabara Jumuishi SUA kuitwa Samia, Rais Samia aridhia

    My Take Chadema wataumia sana Kwa hili. In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe. Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Kilimo ya Nchi hii,walioko fields na kwenye tafsiri wanajua...
  14. JamiiForums Tanzania TFF mmeruhusu siasa za CCM kwa Mkapa, leo msiwaonee CHADEMA

    Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu. Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya chama Chao au hata wakati mwingine wakiwa wamevaa sare za chama Chao. Hayo yote yakiendelea huku TFF...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa inalipa!! Angalia unaodaiwa kuwa utajiri wa Baraza la Mawaziri Kenya!

    Ushawahi kujiuliza wanasiasa mfano mawaziri wana utajiri kiasi gani? Je unajiuliza kwanini matajiri wakubwa duniani wanaingia kwenye siasa? Siyo nchi za kiafrika tu, hata Ulaya?Fuatana nami nikupe uhondo! Hivi majuzi Rais wa Kenya William Ruto aliteua majina ya mawaziri wateule, hii ni baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hatutarajii Kuona Mabango ya Wanasiasa kwenye Simba/Yanga Day, TFF na Polisi liangaloeni hili kwa Umakini

    Kwenye Michezo, ikiwemo soka ndiyo sehemu pekee wanapokutana watu wa Itikadi Tofauti, wanaweza kuwa Chama kimoja cha Siasa lakini wakakutana uwanjani wakiwa Timu tofauti, Na waweza kuwa Mahasimu kisiasa lakini wakawa wanashabikia timu moja. Hii ni kwa sababu Michezo haihusiani na Siasa wala...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nape atahadharisha kufanywa kwa siasa za kijinga, asema zitagharimu roho na damu za watu

    Nimekutana nahii post kwenye mitandao ya kijamii kwenye akaunti yenye jina la mbunge wa Mtama ikitahadharisha watu kufanya siasa za kijinga akidai zitagharimu roho za watu na damu. Je post hii ni hali halisi na imechapishwa na Nape mwenyewe?
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: JE? siasa ni mchezo mchafu

    Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi 2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais 3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu 4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri 5. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Mkuu wa majeshi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Idara ya...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpaka sasa mdomo wa Nape umeshafukuzisha kazi vigogo saba serikalini, wengine wanafuata

    Chunga sana ulimi wako. Mdomo huumba Maneno yakishatamkwa hayarudi tena mdomoni. Ulimi hauna mfupa Mdomo uliponza kichwa. Mdomo kiwanda cha maneno Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Ulishangaa siasa za Makonda na Ally Hapi? Ya Nape na Makamba utayapata uchaguzi wa 2024 na 2025

    Tukumbushane zile kelele zenu za DP world ziliishia wapi? Na zile kelele za report ya CAG ziliishia wapi? Kwa ufupi watanzania wengi ni wasahaulifu na bendera fuata upepo, Ni vyema vijana wakaendelea kujikita kwenye mambo ya simba na Yanga , Vichekesho ni pale watu wa upinzani badala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…