Pre GE2025 Kumbe bado kuna siasa za kuleta lami na madaraja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

-ArkadHill

JF-Expert Member
Nov 1, 2023
657
1,201
Kumeanza kuchangamka sasa. Slogan ni ile ile tetea ugali wako mapema.

Sisi Watanzania hakika tulirogwa. Makofi tafadhali.
 
huwezi epuka hio siasa sababu hivyo vitu tunauhitaji navyo utaofauti upo "who is the man for the job" na sisi ndo wakuamua miaka mitano ni mingi kwa mtu ambaye hafanyi kitu ila ni michache kwa ambaye anafanya mambo ya maana ....uamuzi ni wako
 
Kumeanza kuchangamka sasa. Slogan ni ile ile tetea ugali wako mapema.

Sisi Watanzania hakika tulirogwa. Makofi tafadhali.
View attachment 3224961
Zipo sana.
Kuna mheshimiwa alienda Kijiji Fulani akawaambia atajenga daraja kwenye Barbara kuu ya kuingilia kijijini hapo.
Wanakijiji wakamwambia mheshimiwa hatuna mto Wala mfereji hapa kijijini.
Mheshimiwa akaropoka. Nitaleta greda nichimbe mto niweke daraja.
Watu:: we we weeeeee🎵🎶🎵🎵🎶
😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
THIS IS AFRICA.
 
Mbona kama anongea kwa jazba sana tofauti na watu wa pwani ilivyozoeleka?!
 
Zipo sana.
Kuna mheshimiwa alienda Kijiji Fulani akawaambia atajenga daraja kwenye Barbara kuu ya kuingilia kijijini hapo.
Wanakijiji wakamwambia mheshimiwa hatuna mto Wala mfereji hapa kijijini.
Mheshimiwa akaropoka. Nitaleta greda nichimbe mto niweke daraja.
Watu:: we we weeeeee🎵🎶🎵🎵🎶
😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
THIS IS AFRICA.
Hii inchi sasa imeshakua ya wachache, yaani wa koo fulani tu, acha tuone.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Yaani raisi atoe BILLION 2. 5 kwaajili ya daraja kijijini huko hata dsm ni haiwezekan
Mungu atusaidie
Uongo hadi yeye mwenyewe anajistukia kimoyo moyo anasema hapa wapiga kura ni wapumbavu kwel kwel
 
Illiteracy na ufukara ni vitu vibaya sana mkuu
 
Zipo sana.
Kuna mheshimiwa alienda Kijiji Fulani akawaambia atajenga daraja kwenye Barbara kuu ya kuingilia kijijini hapo.
Wanakijiji wakamwambia mheshimiwa hatuna mto Wala mfereji hapa kijijini.
Mheshimiwa akaropoka. Nitaleta greda nichimbe mto niweke daraja.
Watu:: we we weeeeee🎵🎶🎵🎵🎶
😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
THIS IS AFRICA.
😂😂😂@grahams gombea ubunge
 
Back
Top Bottom