siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Kuchanganya dini na siasa ni pale viongozi wa dini wanapokosoa waovu ila waovu wanapofanya siasa madhabahuni si kuchanganya dini na siasa

    Ukiona namna wanasiasa wanavyoingia makanisani kuhubiri siasa na namna hao hao wanavyowazuia viongozi wa dini wawe wa kweli au feki kama Gwajima, unashangaa kama wanajua dhuluma wanayofanya. Je kuchanganya siasa na dini ni kwa viongozi wa dini tu au inawahusu wanasiasa wanaofanya hivyo tena bila...
  2. JamiiForums Tanzania Gwajimanized na Samialization ya Siasa Zetu: Serikali Imelikuza la Gwajima

    Na. M. M. Mwanakijiji Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe wanasiasa wanaruhusiwa kuchanganya siasa na dini?

    Alichokifanya mwanasiasa Samia Suluhu Hassan leo kumbe kinaruhusiwa au ndiyo mkuki kwa nguruwe? Mimi ni Ponjoro ila kwahili HAPANA.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vyeo / kazi nje ya siasa lakini maisha yake ni kama peponi Tanzania

    Makamishna wa TRA Wakurugenzi wa miradi ya wafadhili (donor-funded projects) Wakuu wa vyuo vikuu vya umma Maafisa wa ubalozi (diplomats) Wakurugenzi wakuu wa manunuzi (chief procurement officers) Wakuu wa idara ya uhamiaji, polisi, magereza Wakurugenzi wa bodi za mikopo au elimu wafanyakazi...
  5. JamiiForums Tanzania Hajatokea na hatatokea Manipulator kwenye siasa kama Mobutu Seseko ila ngebe zake zote zilikoma baada ya Nyakati kumkataa

    Alitengeneza mamia ya vyama vya siasa ili kuidanganya dunia kuwa Congo kuna demokrasia na vyama vingi. Vyama vya siasa vya kidalali vilikuwa vinajifanya kushindana nae kwenye uchaguzi alafu vinatangaza kumuunga mkono. Alitegeneza machawa wa kumsifia kila kona na kwenye kila jambo kiasi kwamba...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Si kwa Siasa, Bali kwa Moyo – Tamko kwa Rais Samia

    Mheshimiwa Mama Yetu Samia Suluhu Hassan, Wapo wanaoongoza kwa mikono, wachache kwa akili, lakini wachache sana huongoza kwa moyo. Wewe ni miongoni mwa hao wachache uliyesimama si kwa nguvu, bali kwa upendo. Katika historia ya taifa letu, jina lako limechipua kama mti wa mkaratusi wakati wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ukristo ni siasa ya kimwili na kiroho; Ukristo ni umoja; Kama Kristo na Mungu walivyo wamoja. Umoja katika Haki ya Mungu

    Hamjambo! Falsafa ya Yesu ni Mungu katika Ukristo haipo katika personality na ID. Wakristo huamini Yesu ni Mungu sio kwa sababu Mungu ni Mtu au alizaliwa na binadamu. Uungu wa Kristo ni umoja wao katika baadhi ya Majukumu na utendaji. Kwa wasioelewa, nitawapa Mfano rahisi, Mwanamke na...
  8. JamiiForums Tanzania Nadharia na viapo vya serikali kuficha mambo yao ya siri na kutumia siasa kuficha siri zao

    Bill Cooper alikuwa mwanaharakati na mwandishi maarufu kwa kazi yake ya "Behold a Pale Horse," ambapo alijulikana kwa kuandika kuhusu nadharia mbalimbali za njama na masuala ya serikali. Katika kitabu chake, aligusia mada nyingi, ikiwa ni pamoja na mauaji ya Rais John F. Kennedy. Cooper alidai...
  9. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kumshtaki Msajili wa Vyama vya Siasa Kupinga Kutengua Viongozi Walioteuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025. Soma pia: Heche amvaa Msajili Mei 13, 2025, Msajili wa Vyama vya...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu/Dini na Siasa kipi kilianza duniani na kipi kina nguvu kuliko mwenzie!

    Ningekuwa Rais, muda huu ningekuwa nimeshamla kichwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Bashungwa) kwani button aliyogusa ni nyeti mnoo na huwa haiguswi ovyo ovyo. Bila Dini, hakuna siasa. Kumbuka watu wako tayari kufia dini lakini siyo chama cha siasa. Waumini wanawaamini viongozi wao wa dini zaidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Lema asema Gwajima alitakiwa kupewa kesi ya uhaini, asema amefanya kitu kibaya hauwezi kuchanganya siasa na dini

  12. JamiiForums Tanzania Siasa za Uonevu

    Tanzania 🇹🇿 Ni sehemu ya kisiwa cha Amani. Lakini Amani Yetu Inaweza kuondolewa na Tawala inataka kutawala kimabavu, kwa kuziba Watu midomo. Polisi ni wachache kwa Raia na Ikumbukwe kuwa hao polisi Wanaotumika na watawala kuwanyanyasa Raia wanaishi Kwenye Jamii, Binafsi sitokubali Ndugu...
  13. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  14. JamiiForums Tanzania Samahani mimi ni mgeni wa Siasa kwa upole na utaratibu bila kutumia matusi na kejeli naomba nieleweshwe kosa la mbunge wa Kawe na Askofu Gwajima

    Ndugu wanajamvi, Leo tarehe 3 Juni 2025, nimesoma na kusikia mengi yanayoendelea kuhusu Mbunge wa Kawe, Mheshimiwa Josephat Gwajima, ambaye pia ni Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Kwa mujibu wa habari zinazozagaa, kuna tuhuma au hatua mbalimbali zinazochukuliwa dhidi yake, lakini mimi bado...
  15. JamiiForums Tanzania Itungwe Sheria kupiga marufuku viongozi wa dini KUWA wanachama wa vyama vya siasa. Hapa ndipo kosa lilianzia.

    Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro. NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa. Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
  16. JamiiForums Tanzania Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala siasa

    Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala sio suala la kisiasa ni suala la kupinga ugaidi sasa uagidi na siasa wapi na wapi ? Lawama hizi za uminyaji mkubwa wa wananchi atabeba Samia hata kama kuna watu wanamjaza...
  17. JamiiForums Tanzania Mahubiri yamekuwa siasa je,mnajua athari zake??

    Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
  18. JamiiForums Tanzania Embu tuchambue Siasa kidogo kutokana na haya matukio

    Sipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu Nianze kwa lissu Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea na upepo wa kupigwa lisasi kama ni kigezo cha yeye kuwa kiongozi au kupata sapoti Kwanini Lissu...
  19. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kawaida kuona wana siasa wanaigiza tupate burudani mfano kule Kenya ila Tanzania wamezidi

    Hapa natoa mfano ila wenzetu Stive Nyerere aka lucas mwashamba kazidi mpaka tumemfahamu kwa kushiriki misiba mpaka kububujikwa na machosi. Sasa angalia movie. Unajua kwa nini lucas mwashamba kuwa na kuweka dot to dot.
  20. JamiiForums Tanzania Gen z wa bongo hawana time na siasa za nchi yetu

    Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu. Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…