siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    JamiiForums Tanzania Siasa ni Itikadi Chama kinakataliwa Mioyoni na siyo kwenye mikutano ya Waandishi wa Habari

    Nakumbuka mbunge wa Ndanda Cecil Mwamba na John Shibuda walikuwa Chadema lakini muda wote walikuwa wanatembea na Katiba ya CCM mifukoni G 55 ni njaa tu inawasumbua lakini hata uongeaji wao utajua wana Imani kubwa sana Chadema Mzee wangu Hashim Rungwe kuwa makini unavyowapokea akina Mrema...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kenya waishangaa Tanzania kuona Rais anayegombea ndiye anaisimia Tume ya Uchaguzi

    Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo! We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo? Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025

    Bunge la Ulaya linatarajia kufanya mjadala wa dharura tarehe 7 Mei kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini ambayo yanaweza kupelekea hukumu ya kifo, baada ya kukamatwa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Padri Muchunguzi: Tunaachaje kuzungumzia siasa wakati waumini wetu ni wanasiasa? Tutawafundishaje?

    Wakuu, Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli? Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwekeze katika matumizi ya akili katika ku-deal na watu na sio nguvu

    Ntaandika kwa uchache Ila kwa kutumia falsafa . Kwanza nakemea mambo yote yanayoendelea katika nchi yetu kuanzia kukamatwa kwa viongozi wa vyama vya upinzani, kushambuliwa kwa Father Kitima, kuchukuliwa kwa Mdude kinyemela n.k. Mambo yote haya ni kinyume dhidi ya haki ,utu na sheria za nchi...
  6. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Kisa cha panya na hali halisi ya siasa za Tanzania

    Siku moja panya katika pita pita zake nyumbani kwa binadamu(chumbani),aliona kitu na haraka akang'amua kuwa ulikuwa mtego(alishawahi kuona kitu kama hicho kimenasa wenzake nyumba tofauti tofauti na akahudhuriq mazishi...mtego ulikuwa mbaya haukuacha manuscript Kwa hofu alienda kumdokeza kuku...
  7. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtu makini sana, huwezi kujihusisha siasa za Tanzania

    Sina matatizo na watu makini ambao wapo kwenye siasa hapa nchini, lakini, unapojihusisha na siasa, hakika umakini wako uta hojiwa. Siasa za Tanzania ni kama zimelaaniwa, waliopo ndani ya siasa hawaamini wanachokisema na kile wanachokiamini hawakisemi Uchawa umetamalaki, hofu za kupoteza mkate...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Tunaishi: Lakini Hatufikiri: Nakerwa na Watu Wasiotafakari Maisha Yao, Kwa Nini Watu Wengi Hawajiulizi Maswali Muhimu?

    Kuna kitu kimoja huwa kinaniumiza ndani kabisa ya moyo wangu: watu wanaoishi bila kufikiria matendo yao, bila kujiuliza maswali ya msingi. Watu wanaoishi kwa mazoea, kwa haraka, bila kujali mambo yanavyowaathiri wao na wengine. Mimi ni mtu wa kutafakari sana. Nikiwa peke yangu, huwa nafikiria...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Silaa: Mmiliki wa nchi hii siyo chama chochote cha siasa bali ni Watanzania wote

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amesema mmiliki wa nchi hii siyo chama chochote bali ni Watanzania wote. Amesema kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kugomea uchaguzi mkuu, ni makosa na pengine wamefanya hivyo kwa sababu wamekosa...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anguko la Chadema kwenye Medani za Siasa za Tanzania hukukukiwa na mgawanyiko mkubwa kuelekea Uchaguzi, nani wa kulaumiwa?

    Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe. Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa? Ni G55 au ule upande wa no reform no elections? Je, ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
  11. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdomo huponza kichwa - Tundu Lissu

    Kama mtanzania ambaye nimempigia kura Mheshimiwa Lissu mara mbili kwenye chaguzi zilizopita (jimboni na uraisi), naamini hajafanya kosa la uhaini na hayo ni mashtaka ni ya kutengeneza na hewa, THAT BEING SAID sikubaliani na kauli ambazo Mh. Lissu amekua anazitoa kwenye mikutano hivi karibuni...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea tusije kulaumiana!!

    Nasema hili kwa dhati kabisa Rais Samia Na CCM mnakotupeleka tusije kulaumiana Nchi hii toka mwaka 2010 inataka mabadiliko Ila nyie mnazuia Wananchi wapo tayari kwa mabadiliko!! WanaCCM ni ndugu zetu pia na police ni ndugu zetu huko mtaani. watu wakichoka wataana na Wana CCM na police...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni zipi hasa sababu za kwanini Tundu Lissu haaminiki ndani ya CHADEMA na katika siasa za Tanzania?

    Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono? Halafu my friends, ladies and...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa weledi na umahiri mkubwa sana, Stephen Wasira amezidhibiti siasa za Tanzania kwa kiwango kikubwa mno

    Hali ya siasa ni shwari zaidi kwa upande wa CCM na ushindi wa kishindo uchaguzi ujao ni wa uhakika na unanukia vizuri sana kwa ngazi zote za urais, ubunge na udiwani. Na mpaka sasa hakuna anae furukuta tena ndani na nje ya CCM kwenye medani za siasa za Tanzania, mbele ya mkongwe huyu na jembe...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Namuona Lissu kama Nabii/Mtume namimi kama mfuasi wake

    Hivyo ndivyo ninavyomuona Tundu Lissu kama nabii au mtume namimi najiona kama mfuasi wake. Yani kama wale wanafunzi 12 wa Yesu ndio Mimi na Lissu ndio Yesu.
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kama USA Wabunge Wasio na Nidhamu Hutolewa Nje ya Bunge ,Kwa Nini Wakwetu Wakitimuliwa Inakuwa Nongwa Kwa CHADEMA?

    Toka Trump awe Rais amesaidia sana kuonesha mambo yafuatayo; 1.Kwamba kumbe Urais ni One Man Show (Matakwa ya Rais) tofauti na Chadema wanavyodanganyaga eti ni taasisi 2.Kumbe Kila Chama kinatekeleza na kufuta ya Watangulizi wake tofauti na tunavyodanganyagwa eti Rais Mpya anaanza alipoishia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Mungu ukiingia katika siasa za nchi yetu, hakuna mtu atatekwa tena

    Hellow Tanganyika!! IPO Ile Sala ambayo Mungu katika mwili wa mwanadamu, Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake akisema, Msalipo,semeni hivi: BABA yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe, "UFALME WAKO UJE", Mapenzi Yako yatimizwe hapa duniani kama huko Mbinguni... Sasa wanasiasa ukiwagusa...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania wasije matumaini hewa kanakwamba siku CCM ikifurumushwa basi Tanzania ndio itaendelea kwa kasi jibu ni hapana!

    Watanzania wana ongea ongea sana maneno mengi, lawama nyingi kwa serikali iliyopo madarakani(CCM) Ni jambo zuri kwa sababu ni haki yao na mdomo ni mali yao. Lakini Watanzania wengi kujifanya kwao sijui wazalendo, wana uchungu sana na nchi ni maigizo tu ya kukosa vipande vya mate katika keki ya...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hivi huu uchawa ni njaa kali? Upungufu wa akili? Au ni vyote kwa pamoja.

    Aiseee, Yani sasa hivi hata thamani ya utu imepotea, Naamini hata babu yako akiamka leo toka kaburini akute jinsi unavyo samabaratisha moyo wako kwa kuunda uongo uongo ndani yako ili mtu fulani aone jinsi unavyo mtukuza mtu ili tu ubahatike kujipatia kakitu fulani, aisee atarudi tena kusinzia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Trump inavyoathiri harakati za Lissu na CHADEMA

    Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama. Kwamba Maria angewasawishi international NGOs na Diaspora kumchangia fedha bwana Lissu. Kwamba kupitia...
Back
Top Bottom