siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. L

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku kutoka kwa Rais Samia iliyoteka anga la siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Tuna Rais mbele yetu kama Taifa, Tuna kiongozi mwenye upendo na Taifa hili, tuna Jemedari hodari ambaye wakati wote ni Mshindi,tuna kiongozi mwenye maono ,maarifa na akili kubwa mbele yetu,tuna Rais ambaye anajua wajibu wake na kufurahia kazi yake. Tuna...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu pamoja kwamba umri umeenda ila hawajui kuelewa maana ndani ya neno analozungumza mtu ona sasa yule mama diplomatic anavyotoswa !.

    Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje" It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics . Sasa kwa age yako Wasifu wako Maisha kijumla. Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki . Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
  4. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania; Mchezo wa Viti, Nguvu na Hila Kama Tamthilia ya Game of Thrones

    Katika siasa za Tanzania, tumeona mwendelezo wa mapambano ya mamlaka yanayofanana na tamthiliya maarufu ya Game of Thrones. Ingawa hatuna mapanga na mizinga ya kale, tuna hila, mikakati ya kisiasa, mapambano ya madaraka, na mapatano ya siri yasiyoeleweka kwa wananchi wa kawaida. Kama ilivyo...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema ni imekaushwa na CHAUMMA au imejikausha yenyewe kwenye medani za siasa za Tanzania kuelekea Uchaguzi mkuu wa October 2025?

    Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Siasa za fitna haziwezi kuijenga Tanzania, tushikamane na Rais Samia kwa maendeleo

    Siasa za fitna haziwezi kuijenga Tanzania, tushikamane na Rais Dk. Samia kwa maendeleo
  8. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015, ni Mwaka ambao utakumbukwa sana kwenye Siasa za Tanzania.

    Kuanzia 2015 kuja hadi sasa, ni tofauti sana na hapo kabla. Ni kama vile wakubwa waliona wakicheka na nyani watavuna mabua, Kilichofuata ni vibano kila sehemu. Media, free speech, n.k Ila kama ilivyo 1995, 2015, 2025 nayo wenda ikakumbukwa sana kwenye historia ya Siasa za Tanzania.
  9. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zinafikirisha

    Nawasalimu wanabodi. Watanzania tunacho cha kujifunza kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka kutokana na aina ya watia nia ambao mpaka sasa wamejitokeza. Bunge lililoisha muda wake naona wana mchango katika hili maana kimsingi ni bunge la ajabu na ovyo kupita mabunge yote niloyafahamu...
  10. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kuhusu Posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani: Warumi 13:1–5 na Maudhui Yake Katika Siasa za Tanzania

    Great Thinkers wa JF, Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ukaribu wa Mwalimu Nyerere na familia ya Freeman Mbowe

    Kama ulikuwa hujui kuwa FREEMAN MBOWE jina lake alipewa na MWALIMU NYERERE, basi wacha nikufahamishe. Watu wengi hudhani kuwa familia ya MBOWE na ile ya MWALIMU NYERERE ni maadui kwa sababu FREEMAN MBOWE ni mpinzani wa kisiasa. Hili si kweli. Ukweli ni kwamba familia hizi mbili ni marafiki wa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Bora Ya Siku iliyoteka Mitandaoni na anga la Siasa Za Tanzania. Inatembea mitandaoni kama Upepo wa Baharini

    Ndugu zangu Watanzania, Ni raha na kuna raha kubwa sana pale unapoishi mioyoni mwa watu,pale unapoleta furaha na tabasamu machoni na mioyoni mwa watu,pale unapoonekana tumaini la watu,pale unapoonekana jawabu la matatizo ya watu,pale unapoonekana faraja kwa Maisha ya watu,pale unapoonekana...
  14. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka mitano ijayo namwona John Heche mbali sana kwenye siasa za Tanzania

    Jamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae. Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini huwa anatoa mifano hai, juu namna lasirimali za nchi zinavyoibiwa, na serikali ya ccm...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani vyama vya siasa wamejifunza nini kutokana na anguko la CHADEMA?

    Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe. Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kishindo cha Hashim Rungwe: Aendelea kutamba anga za siasa za Tanzania, asema CHAUMMA iko tayari kumpokea Mbowe awe Mwenyekiti

    Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani Tanzania kaongea tena. Ni mwaka wa bilionea Hashim Rungwe, atamba na kusema yuko tayari kumuachia Mbowe uenyekiti wa chama. Piga picha mabilionea wawili wakae mahala pamoja! Watu waliooukwaa ubilionea tangu senti hamsini iko kwenye mzunguko wa fedha Tanzania...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania

    Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ? watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
  18. meningitis

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya# hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina. mfano: 1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya. 2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
  19. Elly official

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya, Acheni Kufuatilia Siasa za Tanzania na Kuitusi Nchi Yetu na Kiongozi Wetu

    Kumekuwa na mwenendo unaotia wasiwasi katika mitandao ya kijamii, ambapo baadhi ya Wakenya wamejipa mamlaka ya kuingilia na hata kudhalilisha masuala ya ndani ya siasa za Tanzania. Hili si jambo geni, lakini linalotia huzuni zaidi ni pale tunaposhuhudia matusi ya waziwazi, dharau na kejeli dhidi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ijayo siasa za Tanzania zinaweza kuamuliwa na Wasukuma kama ilivyo wakikuyu Kenya

    Hawa jamaa ni wengi na bado wanazaliana kama siafu Kisiasa inawapa advantages ya kiutawala yani wanaweza kuamua Rais awe nani Wakiamua kuitoa CCM madarakani itakua kazi rahisi sana. Ponapona ya CCM ni kutoruhusu upinzani utie kambi mikoa husika vinginevyo itabaki story Siasa za Kenya huwa...
Back
Top Bottom