siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kukiwa na serikali ya majimbo ndio mwanzo wa kuigawa Tanzania kwa misingi ya ukabila na dini ?

    Mfano kwa hapa Tanzania kila mkoa uwe na serikali yake, Kuna ukweli huu mfumo unaweza kuleta ukabila au udini ?
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM mnaikumbuka hii?

    ..
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
  4. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka upinzani wenye nguvu ili serikali ifanye kazi yake vizuri

    Gap limekuwa kubwa kati ya wenye nacho na wasio nacho kwa sababu ya Upinzani dhaifu Kutekwa watu hovyo Rushwa kila kona Kupotea kwa watu Mauaji bila sababu Viongozi walarushwa Viongozi wazembe Viongozi mafisadi Jamii ya kichawa Huduma za kijamii mbovu
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Athari za TAL kwa siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

    Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kutokana na historia yake ya kisiasa na mbinu zake za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na utawala. Hivyo, ni muhimu kwa...
  6. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA na kutawala siasa za Tanzania

    Bila kujali nani atashinda ama kushindwa na nini kitatokea baada ya uchaguzi, nimeona ukubwa wa CDM katika siasa za Tz. Uchaguzi wa Mwenyekiti CDM Taifa umetawala siasa za Tanzania kwa wiki kadhaa. Hakuna Chama tawala wala vyama vingine vya upinzani ambavyo vina-trend kwa sasa. Hili ni jambo...
  7. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuwa mpinzani sio ujanja na kuwa CCM sio ujinga , bila fair political battle ground chuki itatumaliza

    CCM , CHADEMA,NCCR MAGEUZI na vyama vingine vyote vinaundwa na watanzania ingawa hawa watanzania wanakuwa na mitazamo tofauti kulingana na sera za vyama vyao . Kipindi nakua nlikuwa naichukia sana CCM na kuwaona wale walio upinzani ndio wa maana sana ,nlikuja gundua yale ndio yalikuwa mawazo ya...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Usultani na Umangi au Uchifu: Hatari zake katika Maendeleo yetu kwa siasa za Tanzania

    Utangulizi: Katika jamii zetu za Kiafrika, dhana za usultani, umangi, na uchifu zimekuwa na mchango mkubwa katika utawala na usimamizi wa mambo ya kijamii. Hata hivyo, wakati mwingine, mifumo hii inaweza kuleta changamoto kubwa kwa maendeleo yetu. Katika muktadha wa kisasa, tunashuhudia mifano...
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Freeman Mbowe anavyoenda kumfuta Lissu kwenye siasa za Tanzania

    Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga. Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia Mbowe ni Maalim Seif. Ni mwanasiasa wa mfano na role model kwa kuwa anaweza kukusanya pesa na raslimali...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu zangu ni CCM, walikuwa wakinishangaa kwa nini siwaungi Mkono. Jana sabato wakaniuliza kichokozi vipi mwanamageuzi!

    Hahahaha! Nimeona niwasalimu kwa kicheko. Miaka kadhaa iliyopita, ndugu zangu ambao baadhi Yao ni wananafasi za uongozi huko CCM walikuwa wakichukizwa Sana na Tabia yangu ambayo kwao waliona haina Tija. Mara kwa mara walikuwa wakinishinikiza niwe upande wa CCM kama wao walivyo. Robert huko...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mkomavu katika siasa za Tanzania ni mtu wa kuigwa ni kijana wa Mbowe ameanzisha chama amestaafu mbowe Bado yupo

    Zitto Zuberi Kabwe Mwami! Mtu wa watu kijana mkomavu ameamua kuwa mzee angali Bado ni kijana mdogo ili kuipa nafasi demokrasia. Yeye ni Nyerere wa ACT Wazalendo muasisi wa chama mwenye umri mdogo zaidi. Navutiwa na siasa zake japo akina freeman walijaribu kuizima hii nyota ikashindikana...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania CCM hawakurupuki kwenye mambo yao na mtu akizingua anafinywa ndani huwezi kuta wanaparuana nje. Hapa ndio CHADEMA mnafeli

    Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh: Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani. CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au...
  13. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania hazitabiriki, Kwa mara ya kwanza Mbowe anaingia katika uchaguzi wa mwenyekiti Taifa kama underdog

    Pole Sana Mh Mbowe na hongera Sana , sikutegmea Kama ungeingia katika uchaguzi huu wa mwenyekiti Taifa Kama Underdog Yericko Nyerere achana na kuafanya ibadi zisizo eleweka maana dua za mizimu yako haifanyi Kazi tena. Lucas Mwashambwa pole Sana na utaratibu wenu wa nusu mkate unaenda kukomeshwa
  14. L

    JamiiForums Tanzania Lissu ni Taasisi inayotembea, tukimpoteza tutapoteza mengi, akosolewe bila matusi

    Uwa siandiki Mara nyingi Kumbukeni wananchi Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la...
  15. Apollo tyres

    JamiiForums Tanzania Endapo Mbowe atagombea uenyekiti , naachana na kufatilia siasa za Tanzania.

    Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu. Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Lissu kaangukia pua, ahame chama au aunde chama?

    Uchaguzi una matokeo mawili makubwa, kushinda na kushindwa, na katika hayo kuna mambo mawili pia, kuridhika (kukubali) na kutoridhika (kukataa kukubali). Lissu ninayemfahamu, huwa haamini katika kushindwa, bali kushinda. He's such a people who believes they are always right. Sasa ikitokea...
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa aliusoma mchezo mapema juu ya siasa ya Tanzania

    Poleni kwa uchaguzi walioshidwa, na hongereni, kwa washindi . Ukiwa mwanasiasa ni muhimu sana uwe smart na creative sana katika kufanya mamuzi sahihi na wakati sahihi. Lengo la kuwa mwasiasa mwisho wa siku lazima upate fedha,au uweze kunufaika na hizo siasa, asikudanganye mtu,eti mimi...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

    Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa kama Kuna ubaya alikutendea Mbowe mimi Yohana namuombea Msamaha, Unamsema mno nawe ni Mchungaji wa kondoo!

    Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara...
  20. Patriot missile

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema kwa heshima aliyojijengea kwenye Taifa hili hawezi kwenda CCM ila haridhishwi na Uongozi wa kaka yake Freeman Mbowe

    Lema anatofauti za wazi kati yake na Katibu wake wa Kanda za Kichadema ya Kaskazini Bw AMANI Golugwa akimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa ndani ya CHADEMA anayekingiwa kifua na Freeman Mbowe. Amani ambae ni swaiba mkubwa wa Freeman Mbowe wa muda mrefu anatajwa kumpigia kampeni za kuchaguliwa tena...
Back
Top Bottom