siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Frontnn

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Siasa za Tanzania: Mustakabali wa Taifa Katika Mazingira ya Sasa

    Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikisifika kwa utulivu wa kisiasa na mwelekeo wake wa maendeleo. Hata hivyo, kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko kadhaa katika uwanja wa siasa yanayoweza kuashiria mustakabali mpya wa taifa. Katika uchambuzi huu, tunaangazia hali ya kisiasa ya...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Njombe: Kuna wanasiasa wameifanya Tanzania kama Gheto. Wanavuruga amani alafu kesho anakata tiketi anaondoka!

    Lengi la kauli kama hii ni kumlenga nani? Kuna wanasiasa hapa Tanzaniq familia zako ziko nje ya nchi. Naomba kujuzwa ====================== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein, anasema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama 'gheto' na siyo makazi rasmi...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Pale tutakaporuhusu kupenya kwa mrengo wa kushoto na itikadi kali katika hapa Tanzania, tutakwisha

    Hii mihimili miwili ipo juu zaidi katika list ya vitu vya kitapeli kuwahi kutokea hapa duniani. Kama mnataka watoto wenu kufundishwa elimu ya ushoga ya awali, kubadirishwa jinsia, wake zenu kuuguzwa ugonjwa wa feminism, wahamiaji kuingia kwenu kiholela kupelekea uharifu kuongezeka, kufanyika...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Siasa inavyoathiri maisha ya Mtanzani wa kawaida katika maisha yake ya kila siku

    Siasa ina athari kubwa kwenye mfumo wa maisha ya mtu wa kawaida katika maisha ya kila siku kwa njia mbalimbali, ikiwemo: 1. Uchumi na Ajira: Sera za kisiasa, kama kodi, ruzuku, na sheria za ajira, huathiri uchumi wa nchi. Hali ya kisiasa inaweza kuathiri upatikanaji wa ajira, kiwango cha...
  5. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je Media za Tanzania zitaipa chadema Airtime ya kutosha kwenye mkutano wao kama ilivyofanya kwa CCM?

    Wakuu kesho ndio kesho.. Je serikali itakubali chadema ionekane? Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live" Kama walivyofanya kwa CCM? Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Zitto Kabwe wakati anahama CHADEMA

    Itakumbukwa kwamba mwaka 2013 nilivuliwa nafasi za uongozi ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, na Machi 2015 nilifukuzwa rasmi na chama hicho. Katikati ya kufukuzwa kwangu ni waraka ulioandikwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa chama mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Profesa Kitila...
  7. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatuonyesha Hakuna Mbadala wa CCM Katika Siasa za Tanzania

    Katika mazingira ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania, chama ni kimoja tu kinacho weza ongoza Watanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichozaliwa kwa misingi ya umoja, maendeleo, na mafanikio ya kitaifa, CCM kimekuwa kikiongoza Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Kwa miaka mingi...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kukiwa na serikali ya majimbo ndio mwanzo wa kuigawa Tanzania kwa misingi ya ukabila na dini ?

    Mfano kwa hapa Tanzania kila mkoa uwe na serikali yake, Kuna ukweli huu mfumo unaweza kuleta ukabila au udini ?
  9. S

    JamiiForums Tanzania CCM mnaikumbuka hii?

    ..
  10. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
  11. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka upinzani wenye nguvu ili serikali ifanye kazi yake vizuri

    Gap limekuwa kubwa kati ya wenye nacho na wasio nacho kwa sababu ya Upinzani dhaifu Kutekwa watu hovyo Rushwa kila kona Kupotea kwa watu Mauaji bila sababu Viongozi walarushwa Viongozi wazembe Viongozi mafisadi Jamii ya kichawa Huduma za kijamii mbovu
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Athari za TAL kwa siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

    Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kutokana na historia yake ya kisiasa na mbinu zake za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na utawala. Hivyo, ni muhimu kwa...
  13. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA na kutawala siasa za Tanzania

    Bila kujali nani atashinda ama kushindwa na nini kitatokea baada ya uchaguzi, nimeona ukubwa wa CDM katika siasa za Tz. Uchaguzi wa Mwenyekiti CDM Taifa umetawala siasa za Tanzania kwa wiki kadhaa. Hakuna Chama tawala wala vyama vingine vya upinzani ambavyo vina-trend kwa sasa. Hili ni jambo...
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuwa mpinzani sio ujanja na kuwa CCM sio ujinga , bila fair political battle ground chuki itatumaliza

    CCM , CHADEMA,NCCR MAGEUZI na vyama vingine vyote vinaundwa na watanzania ingawa hawa watanzania wanakuwa na mitazamo tofauti kulingana na sera za vyama vyao . Kipindi nakua nlikuwa naichukia sana CCM na kuwaona wale walio upinzani ndio wa maana sana ,nlikuja gundua yale ndio yalikuwa mawazo ya...
  15. milele amina

    JamiiForums Tanzania Usultani na Umangi au Uchifu: Hatari zake katika Maendeleo yetu kwa siasa za Tanzania

    Utangulizi: Katika jamii zetu za Kiafrika, dhana za usultani, umangi, na uchifu zimekuwa na mchango mkubwa katika utawala na usimamizi wa mambo ya kijamii. Hata hivyo, wakati mwingine, mifumo hii inaweza kuleta changamoto kubwa kwa maendeleo yetu. Katika muktadha wa kisasa, tunashuhudia mifano...
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Freeman Mbowe anavyoenda kumfuta Lissu kwenye siasa za Tanzania

    Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga. Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia Mbowe ni Maalim Seif. Ni mwanasiasa wa mfano na role model kwa kuwa anaweza kukusanya pesa na raslimali...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu zangu ni CCM, walikuwa wakinishangaa kwa nini siwaungi Mkono. Jana sabato wakaniuliza kichokozi vipi mwanamageuzi!

    Hahahaha! Nimeona niwasalimu kwa kicheko. Miaka kadhaa iliyopita, ndugu zangu ambao baadhi Yao ni wananafasi za uongozi huko CCM walikuwa wakichukizwa Sana na Tabia yangu ambayo kwao waliona haina Tija. Mara kwa mara walikuwa wakinishinikiza niwe upande wa CCM kama wao walivyo. Robert huko...
  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mkomavu katika siasa za Tanzania ni mtu wa kuigwa ni kijana wa Mbowe ameanzisha chama amestaafu mbowe Bado yupo

    Zitto Zuberi Kabwe Mwami! Mtu wa watu kijana mkomavu ameamua kuwa mzee angali Bado ni kijana mdogo ili kuipa nafasi demokrasia. Yeye ni Nyerere wa ACT Wazalendo muasisi wa chama mwenye umri mdogo zaidi. Navutiwa na siasa zake japo akina freeman walijaribu kuizima hii nyota ikashindikana...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania CCM hawakurupuki kwenye mambo yao na mtu akizingua anafinywa ndani huwezi kuta wanaparuana nje. Hapa ndio CHADEMA mnafeli

    Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh: Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani. CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au...
  20. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania hazitabiriki, Kwa mara ya kwanza Mbowe anaingia katika uchaguzi wa mwenyekiti Taifa kama underdog

    Pole Sana Mh Mbowe na hongera Sana , sikutegmea Kama ungeingia katika uchaguzi huu wa mwenyekiti Taifa Kama Underdog Yericko Nyerere achana na kuafanya ibadi zisizo eleweka maana dua za mizimu yako haifanyi Kazi tena. Lucas Mwashambwa pole Sana na utaratibu wenu wa nusu mkate unaenda kukomeshwa
Back
Top Bottom