Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Kichaa kapewa rungu .
Tuuseme ukweli Maza hakutosha kuwa hata Mwl wa Primary .
Reasoning Capacity yake ni ndogo mnoo.
Kunamengine yanayotokea hadi unajiuliza ,hivi hadi hili nalo lilikuwa na sababu gani hasa ?
Kama Taifa tunanufaikaje na huu upuuzi?
tusipokubali kuungana kumkabili tujiandae...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, ametembelea na kujionea maandalizi ya ujenzi wa vituo 83 kati ya 90 vya wapiga kura vilivyotengwa maalum kwa ajili ya wakazi wa maeneo ya zamani ya Kata za Ilangu, Ipwaga, Bulamata na Mishamo, zilizokuwa...
Ukisikia Vijana wa Kitanzania wanavyohamasishana,wanavyofundishana,wanavyopeana mbinu kwa ajili ya maandamano,kwa ajili ya kukabiliana na polisi waziwazi huwezi kuamini kama Tanzania yangu imefikia hapa.
Sikuwahi hata siku moja kufikiria kama Watanzania watakuja kufikia Hali hii.
Hali hii...
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma za kuhusika na kupanga mikutano na maandamano kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda, amethibitisha kukamatwa kwa viongozi hao na kueleza...
Watanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndio tatizo kubwa sana la wananchi wa Tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila...
Ni suala la muda tu. Unaweza ukawatisha watu kila muda washughulikiwe.
Unaweza ukajiita amiri jeshi mkuu, lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kushinda nguvu y umma.
Tusubiri October 29
Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000...
Watanzania wameamka mno
Story za Yanga na Simba hazitambi mtaani
Story za udaku za sijui Diamond kaachana na nani hazitambi
Magazeti ya siasa yananunuliwa mno
Watu wanahoji mambo ya msingi Kwa uchungu
Mtanzania wa Sasa sio wa kipindi cha Mzee Mwinyi
Ati kwamba Mtanzania wa Sasa...
Usulutani na ufalme ndani ya Chama ambacho kiliundwa kutetea maslahi ya wakulima na wafanyakazi.
1. Salma Kikwete
2. Ridhiwan Kikwete
3.Wanu Hafidh Ameir
4. Abdul
5. Adul Mwinyi
6. Jesca Magufuli
7. Fred Lowassa
8. Mathayo David
9. Karume
10. Karume
11. Karume
Orodha ni ndefu sana.
Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini na Kada wa chama cha ACT Wazalendo, Selemani Bungala almaarufu "BWEGE" amesema Profesa Ibrahim Lipumba ni moja Kati ya watu wabaya Katika siàsa za Tanzania Kwani yeye ndio aliyechangia kudumaza Chama cha wananchi CUF.
Mgombea Ubunge Jimbo la Muhambwe kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Florence Samizi, ambaye anatetea kiti chake amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita Jimbo la Muhambwe lilipokea zaidi ya Bilioni 50 ambazo zimejenga miundo mbinu mbalimbali ikiwemo sekta ya Afya hivyo kuboresha...
Mgombea uraisi kupitia ticket ya Chama cha National Reconstruction Alliance (#NRA) Hassan Almas amewaahidi watanzania kuwa baada ya kuwa Rais atawalipa watanzania wote GB 200 kama fidia kwa wizi wa bando uliokuwa ukifanyika miaka yote ya nyuma.
Ameyazungumza hayo leo Septemba 05, 2025 alipokuwa...
Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi hatopunguza matumizi ya Serikali wala mishahara na posho za watumishi wa umma. Alisema hatua hiyo inalenga kuongeza morali kazini na kuzuia tamaa ya rushwa ambayo mara nyingi huzaliwa...
Watoto wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamini William Mkapa na John Pombe Magufuli hawana kabisa ushawishi kwenye siasa za Tanzania.
Tofauti na wenzao watoto wa Ali Hassan Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete na sasa Samia Suluhu Hassan, ambao wote wazazi wao kwa nyakati tofauti wameshika...
maombi yangu kwa Mungu mnapoanza kampeni muanze kuwapa msamahq baadhi ya wafungwa
kama tunavyowapa siku za sherehe kadhaa
mungu wa majeshi awakumbuke kwenye msamaha huu
damu ya Yesu ikawafunike mnapowaachia nje wenye haki na wasio na haki
amen
Amen
Amen
Hamjambo!
Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto..
Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
Huko zamani.
Mbwa alikuwa anamfukuza Paka.
Na Paka anamfukuza Panya.
Uadui huo ulikuwa kila mtu anauona kiuhalisia na kwa vitendo.
Nadhan ni kwasababu ya chakula/posho waliyokuwa wanapata.
Au pengine kwasababu ya faida waliyokuwa wanapata kwenye makaz ya sisi Binadam(muajiri wao).
Ila...
Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, akiwemo Amos Makalla aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ili kuanza rasmi majukumu yao mapya katika utumishi wa umma nchini.
Katika hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dodoma leo Agosti 26, 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.