siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lisu: Hata nikitaka kuanzisha Chama kipya Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu mimi ni mpinzani wa kweli!

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema hata kama angekuwa na Nia ya kuanzisha Chama kipya Cha Siasa kamwe Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu yeye ni mpinzani wa kweli. Lisu amesema kwa asilimia Kubwa Siasa za Tanganyika Hazina uhalisia...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Kesi za mawakili wa CHADEMA ni ishara ya CHADEMA kushindwa kufanya siasa

    CHADEMA walilamika kunyimwa fursa ya kufanya mikutano- wakapewa. Walichofanikiwa kikubwa ni kutufahamisha Samia ana mtoto anaitwa ABDUL. Sasa kwa kuwatumia wanachama wao waliojificha kwenye uwakili wamegeukia mahakamani kwa kufungua kesi zisizo na kichwa wala miguu. Lengo lao ni kuichafua...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walinifuata kunipoza niache kusemasema

    https://www.youtube.com/watch?v=ZL2V3hUw5Hg Akihojiwa na Katika Kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema “Sikuwahi kufuatwa na Mtu akaniambia anipe hela ili nisiwe na msimamo Fulani, safari hii nimefuatwa ndio maana imebidi nikemee hadharani.” Bila...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliundwa Ili Kudhibiti Upinzani ndio sababu CCM haijasajiliwa na Msajili hivyo hawezi kuwafanya lolote

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema ukisoma sheria ya Vyama vya Siasa utagundua Msajili wa Vyama vya Siasa hana nguvu yoyote ya kuishughulikia CCM kwa sababu haikusajiliwa na ofisi yake Lisu amesema CCM ilisajiliwa kwa sheria ya mkoloni wakati ikiwa TANU na ndivyo ilivyo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Sijafikiria kuhama CHADEMA kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa lakini hiyo haina maana Viongozi wake ni Malaika!

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema hana Mpango wa kuanzisha Chama kipya Cha Siasa na wala hafikirii kuhama Chadema kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa Hata hivyo Lisu amesema pamoja na ubora wake Chadema Siyo Chama Cha Malaika Soma Pia: Makalla: Lissu ni...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama 24 wa CUF na ACT Wazalendo wajiunga CCM ndani ya Saa 48

    MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa ameshuhudia wanachama 24 wa vyama vya CUF na ACT-Wazalendo wakirejea CCM ndani ya siku mbili. Majaliwa alishuhudia wanachama hao wakikabidhi kadi zao kwa Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ruangwa, Bw. Abbas Mkwenda...
  7. hitler2006

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania siasa haihitaji ushabiki, siasa inahitaji ufuasi

    Kuna shida sana ya watanzania tulio wengi,tumeathirika sana na ushabiki hasa wa namna ileile ya simba na yanga. Siasa zinahitaji ufuasi,mfuasi ni mtu anayeelewa barabara kile anchokifuata kimaono, kimtazamo, kisera Hizi siasa za kishabiki mtu anaunga mkono chama fulani kwa mihemko au kapewa...
  8. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mlo wa siku moja hauwezi kukutajirisha shtukeni vijana kipindi hichi cha uchaguzi

    Ni kawaida sana kwa vijana wa kitanzania ambao ni boda boda kutumika kila uchaguzi. Kijana yupo tayari kutumika na CCM eti kisa siku hiyo umejaziwa mafuta full tank ndio unasahau mateso miaka mitano aliyopambana mwenyewe bila msaada wa mtu ifike muda vijana tuamke kwa vitendo. Pesa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi bora anaguswa na hali duni na mateso ya walio wengi waliomuamini na kumpa ridhaa

    Maradhi yatokanayo na uoga hutuzalishia ujinga wa fikra. Ndugu zangu wanaccm na watanzania kwa ujumla ,ninamshukuru kwa baraka zake za kutuwezesha kuiona siku ya leo. Kumcha Mwenyezi Mungu ndiyo mwanzo wa maarifa. Nakumbuka mwaka 2019 katika mashindano ya Qur aan Dar es salaam Rais wetu...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu CUF: Uchaguzi Mkuu CUF Utapita Bila Mgogoro, Wanachama hawana Tamaa ya Madaraka

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Mheshimiwa Hamad Masoud amesema kuelekeka uchaguzi Mkuu ndani ya chama hicho ngazi ya Taifa, hakutakua na mgogoro wowote kwa kuwa wanachama hao hawana tamaa ya madaraka Hamad ameeleza hayo wakati akichukua fomu ya Kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa wa...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
  12. Richard mtao

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo si shwari CHADEMA

    Hellow JF. Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo sio shwari CHADEMA. Tukianza na kauli za makamu mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliwahi kusema CHADEMA kuna pesa chafu. Kwa bahati mbaya sana watanzania tunakasumba ya kupuuzia mambo na kuyachukulia poa poa mambo. Likaeenda...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo aelewe Chawa wa kisiasa siyo lazima awe Binadamu hata Taasisi kama Chama chake ni CHAWA wa CCM

    Mzee Cheyo wa UDP anahmia Machawa kama akina Lucas kuteuliwa Kuwa Wakuu wa wilaya, Mzee Cheyo anajisahaulisha Kuwa zipo Taasisi nyingi za Umma na binafsi ambazo ni chawa wa CCM kikiwemo Chama chake Cha UDP Cheyo atoe kwanza boriti Kwenye jicho lake ndipo akione kibanzi Kwenye jicho la Lucas 😂🔥...
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Siasa Tanzania ni ngumu sana kwa wazalendo na wapenda maendeleo, mabadiliko ya kifikra ni muhimu sana

    Ni ngumu sana kutetea wananchi ambao utatekwa, utateswa, utapotea au utapigwa risasi wao hawatambui mchango wako wataendelea kupiga kelele nyuma ya keyboards na story za Simba na Yanga. Anajitokeza mtu mzalendo anaibua ufisadi na kufanya maendeleo kesho anaamka mtu anakwambia mtu yule alikuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kikwete: Demokrasia ni zaidi ya Uchaguzi, Uwazi wa kuandikisha Wapiga Kura, Kupanga Vituo na Kuhesabu kura huleta Amani!

    Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete amesema Watu Wengi hufikiri Demokrasia ni Uchaguzi kumbe siyo bali Demokrasia ni zaidi ya Uchaguzi kwani ina mambo mengine mengi Mzee Kikwete amesema kukiwa na uwazi Kwenye Uandikishaji Wapiga Kura, kupanga Vituo vya kupigia kura na uwazi Kwenye kuhesabu kura...
  16. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Kuweka kumbukumbu sawa akiwa miongoni mwa wabunge kwenyr bunge la katiba awamu ya Jk ,Makonda alipongeza uwezo wa Samia Suluhu Sahan kusimamia bunge la katiba kama naibu spika.lakin pia aliona maona na kuyasema nanukui ikipenda uko mbeleni huyu mama aje awe makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano...
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumaini lililo jema kwa sasa ni kama Upinzani kutupa mbadala wa CCM au CCM kubadilika kwa maslahi ya Taifa

    Tuna vyama vya siasa lakini kiuhalisia vyama hivyo kuna wana harakati tu ndio wengi hakuna watu ambao kama chama kinaingia madarakani basi watakuwa ndio engine ya serikali Hivyo tunalalamika kuwa CCM hawafai ,ufisadi umeshamiri ,maliasili zinatumiwa vibaya lakini hakuna Chama kinachojipanga...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lukuvi ( Bunge), Prof Kabudi ( Katiba) na Makonda ( Utawala Bora) kunaifanya CCM kukamilika Idara zote kuelekea 2025

    Kama unabisha shauri Yako. Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂 Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa. Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Hapa Duniani kuna Kiongozi ambaye hazungukwi na ndugu na Marafiki katika Utawala wake?

    Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake? Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona Jumaa Mubarak 😃
  20. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo siyo mchango. Tatizo ni maneno ya uchonganishi yaliyotangulizwa

    Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu naomba unisikilize Kwa makini! Hoja na kitendo cha Katibu Mwenezi na Msigwa kuendeshea harambee kukuchangia ni cha kinafiki. Mchango ambao kwanza umetolewa baada ya tukio la Mbeya, pia umetangulizwa Kwa maneno ya kumponda Mwenyekiti...
Back
Top Bottom