siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwigulu Nchemba asitishe ujenzi wa shule eneo alipokaribishwa Tundu Lissu

    Katika hali ya kushangaza, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewaamuru madiwani wa Jimbo la Iramba ambao amewaweka yeye madarakani wasitishe uamuzi wa kujenga shule eneo la Ruruma kata ya kiomboi ambalo watoto wanatembea hadi kilomita 15 mpaka 20 kuzifuata shule za sekondari zilipo kwa sasa...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katika siasa za Tanzania, Kinana hana deni, kamaliza yote kwa ufanisi mkubwa

    Nadhani katika wanasiasa wenye maksi zote katika siasa za Tanzania, ni mzee Kinana, kamaliza yote, na bila shaka CCM itamuandalia sherehe kubwa za kumuaga akienda kupumzika na wajukuu. Ni nguli wa kisiasa ambaye sijui ni nani ataandika hotuba ya kusherekea maisha yake katika utumishi wa umma...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Isingelikuwa ni wazee wao, akina Nape wangekuwa wapi kwa sasa?

    Mzee Kikwete, Mzee Yusufu Makamba, na Mzee Kinana, naamini wana mchango mkubwa katika mafanikio ya kisiasa ya: 1. Nape Nnauye 2. January Makamba 3. Riziwani Kikwete Hivi isingelikuwa hao wazee, watajwa wangekuwa wapi kwa sasa? Wangekuwa juu sana kisiasa na kiuchumi? Wangekuwa chini sana...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.” Amesema hayo katika mkutano na...
  5. never-ending battle

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Huenda huyu ndie Rais anayependwa zaidi barani Africa

    Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi. Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi, "Rais Samia, People do love You Mama"
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania kwa saizi ni huru na haki mama Samia mitano tena

    Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani . Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania iko shwari. Hapa sasa nimeamini ule msemo wa mabadiliko mtayapata ndani ya CCM . Naimani 2025 Mama...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa miaka 20 Kenya wanajadili mustakabali wa nchi yao kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa Tanzania wanakwama wapi?

    Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao. Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Charles Kimei aanza ziara jimboni

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo. Kimei yupo jimboni kuzungumza na wananchi wa Jimbo hilo kusikiliza na kutolea ufafanuzi wa...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa nyomi hii 2025 wapinzani msiweke Wagombea urais. Jaribuni madiwani na wabunge

    2025 mtajaribu? Mama anakubalika.
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa aendelea kukomboa Majimbo yaliyoporwa 2020, Sasa ni zamu ya Mafinga

    Dunia nzima ikiwa ni pamoja na viongozi kadhaa wastaafu wa Nchi hii, akiwemo Mzee Warioba na Kinana wanafahamu kwamba CCM haikushinda Uchaguzi wa 2020, Iwe kwenye Urais wala Ubunge na Udiwani kwa Tanganyika na Zanzibar. Huko Zanzibar 2020 ndio Mwaka unaotajwa kuongoza kwa Mauaji ya wapinzani wa...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge yeyote anayerudi jimboni leo miaka zaidi ya 5 imepita kutembelea jimbo asichaguliwe tena

    Mbunge Damas Ndumbaro karudi jimboni kwake Songea leo kuwasalimia wananchi wake miaka mingi imepita tangu achaguliwe ubunge. Mbunge huyu katoa zawadi, kaongozana na wataalam na watu wengine wengi tu muda alowakusanya haujulikani akiwa na msafara wa magari yasozidi 10! Je, Mbunge huyu aweza...
  12. instanbul

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitawashangaa CCM mkiruhusu Serikali hii iendelee mpaka 2030. Hata 30% ya ilani 2020-2025 haijatekelezwa!

    Habari zenu. Mimi sio mwanasiasa lakini leo kama mtanzania mpenda maendeleo nilidownload ilani ya CCM 2020-2025. Ili walau nipate hope na serikali ya Sasa na kama kweli wanatimiza walichoahidi mwaka 2020 kuelekea 2025. Aisee nimesikitika sana. Kwa hali hii hatuendi popote kama nchi...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuna haja wakongwe hawa katika siasa za Tanzania kuachia ngazi au kutumikia nafasi nyingine, la sivyo Gen Z wa taasisi zao watawaondoa kwa fedheha

    Nyakati na zama mpya zina wakataa, fikra, maoni na mitazamo mipya ya urika, mvuto na ushawishi zinawapushi kwa nguvu sana kuwabandua nje ya mfumo. Kiufupi mfumo na nyakati vimewatupa mkono. Hakuna haja ya kusubiri fedheha. ni muhimu kujifunza kusoma alama za nyakati na kuvhukua hatua, kabla...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilimanjaro: CHADEMA yaingia Himo, yapokelewa kwa kishindo

    Akizungumza kwenye mkutano huo, Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe amewashukuru wakazi wa Himo kwa kuikataa ccm kwa miaka yote. Ametoa pole kwa wananchi hao kwa kuongozwa na mamluki ambao hawakuwachagua Hali ilikuwa hivi
  15. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Tumeanza ujenzi wa kiwango cha lami

    tumeanza ujenzi wa kiwango cha lami, tunategemea kumalizia mapema 2026.
  16. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamepita mitaani kuandikisha wapiga kura, je ni haki yao kikatiba?

    Wasaam, Leo nilikua mitaa ya Vingunguti nilienda salamia jamaa zangu nikashangazwa na viongozi wa CCM kupita nyumba hadi nyumba kuandikisha wapiga kura kwa kuwapa ahadi za kuja kuwagawia pesa na mikopo mbalimbali wakati uchaguzi ukiwadia. Kiukweli hii ni rushwa ya kisiasa kama sio kampeni...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania What are your opinions concerning this Presidential hopefully?

    Can Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, the chairman of Civic United Front (CUF) party, be the most Potential Presidential Candidate come 2025? Should Tanzanian oppositions, support and assemble behind him as far as general elections is concerned?🐒
  18. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Catherine Ruge: Rais Samia anahofia mageuzi yataiondoa CCM Madarakani

    8 July 2024 ‘Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) - 'Samia Anahofia Mageuzi Yataiondoa CCM Madarakani’ Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), amesema kwamba sababu kubwa ya kufeli kwa mchakato wa kuleta mageuzi ya kisiasa nchini, kama vile...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya wafuasi wa CHADEMA katika mpira wa Tanzania ?

    Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
  20. Freyzem

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika yuko wapi?

    Wanajamvi, huyu Mwamba John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa kimya sana hivi sasa! Haonekani mara kwa mara kwenye mikutano ya chama mikoani akiwa na viongozi wengine, Je nini kimempata? Hata wakati ule CHADEMA walivyotangaza maandamano katika mikoa tofauti hakuonekana sana...
Back
Top Bottom