siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Jinsi maandamano ya CHADEMA 23/9/2024 yatakavyozimwa kirahisi

    Zingatia matukio matatu yafuatayo: 1) Tarehe 21/9/2024 (Jumamosi) Muda: 08:30 pm Tukio: Young Africans (TZ) vs CBE (Ethiopia) Competition: 2024-25 CAF Champions League 2) Tarehe 22/9/2024 (Jumapili) Muda: 04:00 pm Tukio: Simba SC (TZ) vs Al Ahli Tripoli (Libya) Competition...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania UVCCM ni wakati wa kuingia kwenye Social Media na kueleza ukweli!

    Haiwezekani kuwaacha vilaza waliofeli eti ndio news makers huku mitandaoni na kuchukua credits eti wao ndio wasemaji wa Taifa. Wito wangu kwa vijana makini na waliolelewa na kufunzwa vyema na wazazi pamoja na vyombo vya chama cha Mapinduzi na Serikali kuingia rasmi mitandaoni na kuwapa...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali isiogope na wala isiendeshwe na posts za mitandao ya kijamii!!

    Wapo wanaoamini kuwa Serikali inaogofya na kuendeshwa na posts za wanaharakati wa mitandaoni. Wapuuzi hawa wanaamini kuwa wakipost tu Serikali inahamaki na kuchukua hatua. Bado wanajiaminisha kuwa posts zao tu zinaamsha hisia za wananchi na jamii ya kimataifa. Wamelekewa hivyo na wameamini...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Chadema imedhihirisha kuwa haiwezekani kuwaamini wapinzani

    Hata iweje wapinzani wanabaki kuwa wapinzani tu.hawana zuri bali ni watumia fursa tu.Ni mafisi wanaosubiri mfupa. Hawana sera na hawataki kujielekeza kwenye hoja ya kuikwamua nchi kutoka kwenye makucha ya kikoloni. wapinzani ni zao la ukoloni. Hata wapewe nini watabaki hivyo tu. Je...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Wapinzani Wanauza Malalamiko, CCM inauza Mafanikio

    My Take Wapinzani wa Tanzania ni uchwara na hawajitambui . 👇👇 "Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza miradi mingi ya maendeleo hasa kwenye Jimbo letu la Ubungo ndio sababu tunasema wapinzani wanauza malalamiko lakini sisi CCM tunauza mafanikio" Prof. Kitila...
  6. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nchimbi na Makalla Jiandaeni hamtakiwi CCM, Sabaya kuwa Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro na Musiba kuwa mkuu wa mkoa wa Mara

    Kuna mabadiliko kidogo ya kiuongozi yatafanyika hivi Karibuni. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa Sabaya na Musiba kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara huku Paul Makonda akitazamiwa kuwa katibu mkuu mpya CCM, na Polepole Humphrey atakuwa Waziri wa Tamisemi. Dr Bashiru Ally kuwa waziri wa Mambo ya ndani na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia huenda kuna watu wanatumbuliwa hivi karibuni; vita ya uchaguzi ni kubwa kuliko tunavyodhani

    Vita ya uchaguzi ni kubwa sana ndani na nje ya CCM . Upo uwezekano wenye nguvu na wanaotaka madaraka wanatumia mbinu nyingi kupata uungwaji mkono. Hasira ya Mhe. Rais siyo ndogo na si yakipuuzwa. Kuna wanadamu wamesambaza sumu au baadhi mchana wapo CCM usiku wanafadhili mipango ya uchaguzi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia inaashiria kuwa CHADEMA hawako salama ndani ya chama hicho wapo vijana wake wa "Kitengo"

    Akihutubia kwenye maazimisho ya miaka 20 ya jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro Septamba 17, 2024 rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa uovu wote uliopangwa kwenye mkutano wa chama kimoja cha upinzani (CHADEMA) anazo taarifa zote Rais amesema kuwa interenjesia ya vijana wake ina uwezo mkubwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu wengi sana. Pale alipoelezea juhudi zake kubwa za kuliunganisha Taifa na kuwaleta pamoja watanzania...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa siku mbili

    Hii hapa ndio Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida. Kikao hicho cha siku mbili kitaanza kesho Jumanne, Septemba 17 mpaka 18, 2024 Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe mwanasiasa, mfanyabiashara na mkulima asiye ogopa hasara

    Miaka 64 iliyopita familia moja ya kitajiri mkoani Kilimanjaro ilipata mtoto wa mwisho wa kiume ikamuita "Freeman" kwa maana ya mtu huru. Jina lake na mazingira yake ya malezi na makuzi ndiyo kitu kinachovutia watu wengi kutaka kumfahamu zaidi. 1.Imewezekanaje mtoto wa familia ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Ingekuwa Magufuli pasingekuwa na kauli mbili za" Hali siyo shwari" na " Hali ni Shwari kabisa" kutoka Serikali hiyo hiyo

    Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli. Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji. Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari. Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Msaidieni ndugu yenu Tundu Lissu. Demokrasia ina gharama zake

    My Take: Hii Kauli inatuma ujumbe Fulani ,wajuzi watujuze. Moja ya tukio lililovuta hisia za washiriki wa kilele cha Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki ni hili la wanasiasa wa CCM na Chadema kuwa pamoja. Kilele hicho kimefanyika leo Jumapili, Septemba 15, 2024 katika...
  14. Sking zone

    JamiiForums Tanzania 𝐌aandamano ni Haki Kikatiba na msingi muhimu kwenye nchi yenye Demokrasia. Waandamaji wapewe ulinzi

    Ni haki na inahitajika wapewe ulinzi wa hakika, kwani ni moja ya misingi kidemokrasia, maandamano hahajafanyika hivyo uovu wa maandamano haujaonekana. Watakapofanya maandamano yao kwa kusababisha vurugu, hapo sheria ndipo ifate mkondo wake lakini pindi maandamano bado hata kufanyika sheria...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

    Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki. Kuna matukio mengi sana kwa sasa...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ili upinzani Nchini uwe na nguvu ya ushawishi kisiasa ni sharti waachane kabisa na kujiongoza kwa hisia, ghadhabu, mihemko na matamko ya bila maono

    Ni muhimu sana wakafanya tafiti za kutosha na kuibua sera, mipango mikakati, na uelekeo mahususi utakao washawishi wananchi wengi zaidi na kukonga nyoyo zao, na hapo ndipo watakua na maana, uhalali na nguvu ya kupambania wananchi. Na sio kukurupuka kama ilivyo sasa kwa mfano kama Chama cha...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Uadui siasani uko huku chini kwa akina Mdude vs Lucas kule Juu Dr Nchimbi amesema " Mbowe alinipigia Simu mara 5"

    Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa...
  18. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Rais Samia yupo kwa mujibu wa katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa katiba

    “Kuna vitu ukisema unavyojua kabisa haviwezekani, Rais Samia yupo pale kwa mujibu wa Katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba, tunaweka uchaguzi miaka mitanomitano ili wale watakaokuwa hawaridhiki ndani ya miaka mitano wapate nafasi nyingine ya kuja kuchagua sio katikati ya msimu" “Na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe nje ya Utumishi wa Umma alianza kumiliki kikundi Cha Burudani ( Disco) na Sasa ni Mkuu wa Upinzani nchini!

    Tupo Hapa Mwananyamala Komakoma kwa Baharia Mani opposite na alipokuwa anaishi Makongoro Nyerere tukijadili Siasa za Nchi yetu Kwa hakika Kati yetu Hakuna aliyewahi kufikiria Freeman atakuja Kuwa Mwanasiasa achilia Kuwa Kiongozi wa Chama kikuu Cha Upinzani Tunajiuliza huyu Freeman Mbowe...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

    Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji. Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa...
Back
Top Bottom