shule

  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Shule yawavalisha wanafunzi sketi bila kuzingatia jinsia

    Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926. Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila shule ya sekondari pawepo na angalau mwalimu 1 wa somo la Ufundi stadi

    Habari! Huu ni ushauri wangu wa mwisho kwa serikali. Yaani namaanisha hapa nimetumia akili zangu zote kuwaza namna ya kuondoa ujinga na umaskini katika jamii. Sasa % kubwa ya watoto wa darasa la saba wanajiunga kidato cha kwanza. Wengi huishika kidato cha 4 kwasababu mbalimbali. Miaka 4 ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Inatosha ndugu yangu; Mshukuru Mungu kwa yote, rudisha vitabu kwa Mkuu wa shule, chukua jembe itafute njia ya Nanjilinji ukajilimie ufuta!

    Ulitoka makao makuu yetu ya wilaya kwenda huko mbali kisiwani kwa ajili ya kujitolea na umekuwa ukijitolea kuwasaidia watoto hawa eneo hili la kisiwa lenye changamoto ya elimu na linaloogopwa na kukimbiwa na watu kila siku kwa juhudi zote tangu 2018.... Ajira za 2018 zikatoka nawe...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Kibamba shule

    Nauza kiwanja Kibamba shule, karibu na Hondogo sekondari ukubwa wa eneo 35m x 15m liko vizuri sana bei 10,000,000 mawasiliano 0787503677 or 0656403680
  5. JamiiForums Tanzania Wengine walisema hii haifai kwa mwalimu wa shule ya msingi

    JE WEWE UNA MAONI GANI AU UNAFIKIRIA NINI?
  6. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Basi la shule laua Mwanafunzi muda mfupi baada ya kumshusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtendaji Kata na Mratibu Elimu Kata ya Kifuru(DSM). Kuhusu uzio Shule ya Msingi Kifuru, wafichieni aibu hawa Watoto na walimu wao

    Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha. Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
  8. JamiiForums Tanzania Kuota mambo ya shule ni nini tafsiri yake?

    Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho? Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level na advance ni kama kila siku tu. Mwanzo nilikua napuuza lakini naona sasa inakua too much, karibu...
  9. JamiiForums Tanzania MSAADA: Inaruhusiwa kuanzisha shule inayoshia darasa la 6 au kidato cha 3?

    Hapa namaanisha shule ambayo wanacover shule ya msingi kwa miaka 6 na kufanya mtihani wa taifa. Au ambayo masomo ya form one hadi form four wanacover kwa miaka mitatu na kufanya mtihani. Inaruhusiwa kuwa na shule ya namna hii?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Serikali wakopesheni wakuu wa shule magari kwa lazima

    sababu zangu ni hizi hapa; 1. Kuwapatia staha, waheshimike na kuthaminika katika shule na jamii kwa jumla. Mkuu anayeheshimika atajiamini; mkuu anayejiamini ataongoza taasisi vizuri sana.....kukimbizana kwenye mabodaboda na kuoga mavumbi kwa watu waliopewa dhamana ya kusimamia eneo linaloleta...
  11. JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Elimu; Crash program shule za msingi zinatuharibia watoto

    Hivi karibuni kumejengeka tabia ya shule nyingi za msingi, hasa za binafsi kuanzisha masomo ya ziada yanayoitwa CRASH PROGRAM. Programu hii huhusisha masomo ya ziada kwa wanafunzi wa shule za msingi wa darasa la nne na la saba (hata la sita) kwa ajili ya kuwaandaa wanafunzi kwa ajili ya...
  12. JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya serikali mixture

    Habarini....nilikua naomba kuulizia shule nzuri ya serikali ambayo ni mixture a level PCB combination.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Sare za Shule hasa za Msingi

    wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili kupata baridi, Kuna maeneo yenye udongo mwekundu sana shati jeupe haliwezi kubaki na rangi yake, na...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule za kata hapa makambako pitieni hapa

    .
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wa watoto wanaosoma shule za kata hapa makambako pitieni hapa

    .
  16. JamiiForums Tanzania Kasi ya Wanafunzi shule ya msingi kukatishwa masomo kisa michango inaongezeka kila kukicha

    Salaam Wakuu Kumeibuka tabia za waalimu wa shule za msingi kuwarejesha watoto majumbani kisa hawajatoa michango mbalimbali ikiwamo ya mitihani, ulinzi na michango mingine. Kutokana na hali hii watoto wamekuwa wakitoka shule wanazunguka mitaani bila kuwa na shughuli maalumu ya kufanya...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Global International School iliyopo Mtaa wa Vijana, Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chacha Magere (26), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kubaka, kuwalawiti na kuwashambulia kwa aibu baadhi ya wanafunzi wake anaowafundisha. Jumla amesomewa...
  18. JamiiForums Tanzania Trump: Kipaumbele cha Marekani iwe ulinzi wa shule siyo kuisaidia Ukraine

    Marekani imetakiwa kuhakikisha inawezesha kiuchumi suala la ulinzi wa shule za taifa hilo badala ya kutumia fedha nyingi kuisaidia Ukraine katika vita yake dhidi ya Urusi. Ushauri huo umetolewa na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatuliwa risasi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ongezeni Shule za A-level Watoto wetu wapate Elimu wanayoitaka

    Nilitembelea ofisi za Elimu mkoa,nilikuta utitiri wa wazazi na watoto wengi wamejazana kilio chao kikiwa ni watoto wao kupangiwa chuo wakati vijana hawa walitamani kwenda kusoma kidato cha tano lengo ambalo pia nilikuwa nalo. Cha ajabu ni kwamba jibu walilopewa kila mmoja ni nafasi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa UNICEF ataka kuchukuliwa hatua za kuwalinda watoto baada ya shambulio la risasi katika shule ya Texas Marekani

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) Bi. Catherine Russell amehoji kuwa ni watoto wangapi wanapaswa kufa kabla ya viongozi kuchukua hatua ya kuwaweka salama watoto pamoja na shule. Akitolea mfano wa vifo vilivyotokea katika shambulizi la risasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…